mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waliotapeli kwa jina la Dr. Abbas na kuzusha kifo cha Dr. Mwakyembe wakamatwa

    Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi watuhumiwa hao ni Innocent Adam Chengula na Tarzan Alfan Mwambengo wanaodaiwa kutumia picha na jumbe za simu zinazomuhusisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo kwa lengo la kutapeli pamoja na kuzusha kifo cha Dr. Mwakyembe. Baada ya upekuzi walikutwa na Kadi za Simu...
  2. Tuwe makini na taarifa za mitandaoni

    Matumizi ya mitandao ya kijamii inazidi kuongezeka kila siku na usipokuwa makini utaishia kuamini taarifa za uongo kila siku. Leo tumeona Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akikanusha taarifa za kwamba serikali imeunda kamati ya watu 200 kupitia tozo na kusema kwamba si kweli kwani...
  3. Mwigulu Nchemba: Tumefuta baadhi ya tozo, nyingine tumepunguza kwa asilimia 10-50

    Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi. Marekebisho yafuatayo...
  4. Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Aibu! Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi. Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
  5. Waziri Bashe punguza kelele za mitandaoni, bei ya mchele kilo moja imefika Shilingi 3,000

    Hawa mawaziri wetu wamekuwa kama yule mpuliza filimbi wa Hamelin I kelele nyingi sana; wanashindana na MITANDAO leo nimeona kwenye tangazo moja mchele supaa kabisa kilo 1500 kutoka mikoani , akini kwa madukani na rejareja hapa Dsm Mchele unaofaa kula Sasa hivi ni 2800 na 3000. Kwaninj tumefikia...
  6. S

    Ili akili zitukae sawa, napendekeza serikali ije na tozo za kufungua pages za watu maarufu mitandaoni

    Yaani ukitaka ku- access akauntiz(mfano ya twitter au Instagram ) ya mtu kama Diamond, Ali Kiba, Mayele, Sakho, Chama, Wema, n.k, ukiwa humu nchini, shariti kwanza ulipe 500, then kupitia simu yako, unatumiwa password maalumu itayokuruhusu kuingia katika akaunti ya huyo mtu maarufu . Nadhani...
  7. M

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally tafadhali kama huna Taarifa za Kutosha kuhusu Ujio wa Manzoki acha Kututamanisha nae Mitandaoni Kwako

    Kila ukihojiwa na Media Outlets mbalimbali kuhusu Ujio wa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki unaruka Kimanga na Kukanusha Ujio wake, ila katika Social Media Platforms zako kila mara unafanya Teasing ( Unatutamanisha ) kuwa anakuja au utamtangaza muda Wowote. Ama ubaki na Kauli yako kuwa haji au...
  8. USALAMA MITANDAONI: Unashiriki vipi katika matumizi ya Intaneti ya Mtoto wako?

    Kuwapa Watoto Mwongozo wanapotumia Majukwaa la Kidijitali ni njia mojawapo ya kudhibiti hatari za mtandaoni zinazoweza kusababishia madhara Kwa mujibu wa Shirika la UNICEF. inakadiriwa Mtoto Mmoja kati ya Watatu ni Mtumiaji wa Intaneti. Aidha, Mtumiaji wa Intaneti Mmoja kati wa Watatu ni Mtoto...
  9. Tabia ya Wazazi/Walezi kuwarekodi Watoto video zinazotwezwa Utu wao na kusambaza Mitandaoni

    Ulinzi na usalama wa mtoto mtandaoni haumaanishi kudhibiti mambo mtoto anayoyaona mtandaoni au watu anaoongea nao pekee, lakini ni pamoja na vitendo vyote vinavyomuhusu mtoto vinavyofanyika mtandaoni kumdhalilisha au kuutweza utu wake. Kushea, kupakia na kudaunlodi picha au video zenye maudhui...
  10. Ghafla chuki na dhihaka dhidi ya waalimu zimeongezeka mitandaoni na mitaani, chanzo ni nini?

    Huenda labda mambo ni mengi au yako kasi kupita maelezo mpaka yamenipita au nimeshindwa kuyaelewa. Hili la kuibuka ghafla mitandaoni na mitaani, chuki na dhihaka dhidi ya waalimu bado sijalielewa kabisa. Nimehisi huenda labda limeletwa na mojawapo kati ya haya mambo mawili lakini bado sioni...
  11. R

    Hivi hawa wanaosifia sana Serikali mitandaoni wanatoka wapi?

    Habari wana JF, Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita. Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila sehemu malalamiko ikiwa ina Maana hii serikali bado inahitajika kufanya kitu cha ziada kwa Wananchi...
  12. Vijana waliopo Tanzania wanashangilia ubabe wa Putin

    Kijana mmeba box nikipata nafasi ya kupumzika huwa napitia sana mitandaoni si unajua huku hauli bila kazi, kilichonishangaza ni update za Vijana waliopo Tanzania wakishangilia ubabe wa Putin na story kuhusu uharibifu wa Putini. Nikajiuliza Vijana hawa wanafahamu balaa lililopo mbele Yao hawa...
  13. S

    Wajinga ndiyo wanaoparurana mitandaoni. Wenzenu wanacheka na kumwagilia mioyo wakikutana

    The photo below explains all.
  14. Wana Simba SC hatutaki kuwa Bingwa wa Umaarufu Mitandaoni, bali tunataka Ubingwa wa NBC, CAFCC au CAFCL tu

    Leo Klabu ya Simba imekabidhiwa Tuzo ya Klabu Bora kwenye Mitandao ya Kijamii Tanzania ambayo imetolewa na kampuni ya Serengeti Bytes. Tumeshinda tuzo hii baada ya kuvishinda kura vilabu vya Azam FC, Mbeya City, Ruvu Shooting na Yanga SC. Chanzo: Simba SC Tanzania Mnatumia nguvu Kubwa kufanya...
  15. Riadha: Baada ya Failuna Abdi Matanga Kufukuzwa Kambini, Gidabuday acharuka, Ashusha Cheche Mitandaoni.

    Baada ya Shirikisho la Riadha Tanzania, Kamati ya ufundi na Kocha wa timu ya Taifa , Suleiman Nyambui kumfukuza Mwanariadha Failuna Abdi Matanga, Gidabuday alihoji uhalali wa kumfukuza Mwanariadha huyo, ndipo alipopata Vitisho na Mengine. Gidabuday Anasimulia hapa; Juni Mosi nilibishana sana...
  16. Wanawake mitandaoni mnalalamika hamuolewi wakati huku kitaa mnatuambia 'mimi nina mtu wangu'

    Inashangaza sana ukikutana nao huku kitaa utasikia "MI NINA MTU WANGU" lakini wakiingia mitandaoni wanalalamika hawapati wanaume na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuwalaumu wanaume wanaoishi na mke mmoja kwa kuwataka waongeze idadi! Jamani wanawake mnachokitafuta ni nini hasa?
  17. Serikali kurekebisha Sheria ya Watoto ili kudhibiti ukatili mitandaoni

    Katika kukabiliana na ukatili dhidi ya watoto mitandao Serikali imeunda kikosi kazi cha taifa cha ulinzi na usalama mitandaoni pamoja na kuifanyia marekebisho sheria ya mtoto ili iakisi mazingira ya sasa. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema: “Malezi bora katika familia...
  18. Tulioona mapema kuwa Bernard Morrison hatufai Simba SC na aachwe, ila 'tukatukanwa' na 'kudhihakiwa' Mitandaoni tuombwe Radhi tafadhali

    Binafsi naanza kusubiri Kuombwa Radhi zenu hizo kwani nilishaona Kitambo matatizo ya huyu Mchezaji, nikapaza sana Sauti hapa Jamiiforums kuwa aachwe mara moja na nikaishia Kutukanwa na Kudhihakiwa kama kawaida ya 'Mapopoma' wengi waliojazana. Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Maono.
  19. Tabia ya Wadada wa mitandaoni kuomba bando imekaaje?

    Wanajamvi habarini za majukumu. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Hivi karibuni nilifanya utafiti wangu mdogo na katika utafiti wangu niligundua asimilia 50% au 60% ya Wadada mitandaoni wanauza papuchi. Ingawa baadhi yao ni vigumu kuwagundua kirahisi. Picha zao zimekuwa...
  20. Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha. Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…