Kuna baadhi ya mambo ukiyaangalia juujuu bila kufungua mlango wa sita wa fahamu kuyafahamu zaidi, unaweza kuhisi ndivyo yalivyo.
Moja ya mambo hayo ni siasa zetu huku mitandaoni na mitaani. Kwa mara ya kwanza kama hujawahi kabisa kufuatilia siasa na ukaanza kuzifuatilia mitandaoni, utagundua...
TRC wakiwa kwenye ukaguzi wa Vichwa Nchini Korea Kusini wametoa ufafanuzi wa uwapo wa treni ambazo Vichwa vimechongoka kutokana watu kuhoji utofauti wa picha zilizopo kwenye matangazo ya TRC kutofautiana na Vichwa vilivyoonekana wiki iliyopita. Soma: Vichwa vya Treni za SGR vyawekwa hadharani...
Kwenye suala la Makinikia na ile ripoti ya professorial rubbish ni sawa kumlaumu Profesa Abdulkarim Mruma. Lakini kwa hiyo clip nakataa.
Waliosaini BIT na Canada wanajulikana. Waliofuta leseni hodhi za Bafex Tz Ltd (Kampuni tanzu ya Winshear) wanajulikana. Yamkini tunazo sababu lukuki za...
Kufuatia tukio la mwanaume mmoja anaesemekana kuwa na mataizo ya akili kukata uume wake, ambapo toka tukio hilo limetokea mpaka baada ya matibabu waandishi wametoa taarifa zote juu ya hali yake, ikiwemo jina, umri, jinsia, makazi na ugonjwa wenyewe.
Wadau mbalimbali wamelalamikia kitendo cha...
Contradictions zilizomo katika mkstaba/maelewano/MOU ya Tanzania na DP World ni za kimsingi kabisa.
Kama mababu na baba zetu walipigania uhuru, misingi hiyo isikiukwe kwa namna yoyote ile.
Hilo ndilo suala katika malumbano yote haya ya Bandari kubinafsishwa.
Naamini Mama Samia utarejesha...
Kampuni ya OpenAI inayoendesha mfumo wa Akili Bandia (AI) wa 'ChatGPT', inadaiwa kuchukua 'Bila Ridhaa na Kutumia Vibaya' Taarifa Binafsi za Watumiaji Mtandao kwa lengo la kutoa mafunzo katika mfumo wake wa AI.
Katika hati ya Mashtaka yenye kurasa 160, OpenAI na Microsoft zimeshtakiwa kwa...
Leo nimesikia kitu kilichonifurahisha sana kutoka wa waziri wa fedha wakati akiwasilisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2023/2024 nalo ni kuja na mpango wa kuanza kukusanya Kodi kwenye matangazo ya biashara mitandaoni.
Sijajua kwa upande wa Serikali ukiachana na kukusanya Kodi kwenye...
Ingekuwa Kenya pasingekalika saa hii !! Ccm itatawala miaka 1000 mpaka kizazi Cha WAOGA kifutiliwe mbali ,wenzetu wamepiga hatua kubwa sana kisiasa ...sisi hata mlio wa gitaa tunakimbia hovyo kama kuku wa kisasa ! Ingekuwa Kenya muda huu raila angekuwa anaelekea ikulu na Mitaa yote imefungwa...
Kanisani mara nyingi Padre anayeongoza ibada huweka msisitizo wa kuiombea dunia nzima. Hukataza ile aina ya maombi yenye kunihusu mimi na watu wa familia yangu pekee. Huwa anasema tupunguze zile 'yangu' kila tunapoongea na Mungu. Kazi yangu, mume wangu, mke wangu, watoto wangu, nyumba yangu...
Nimewaza yale ya Lowassa Vs Membe alafu mwingine ndo akaongoza nchi!
Kwa kifupi hawa vijana hawajaiva kushika madaraka makubwa kivile ya nchi wanatakiwa kuwa chini ya Uangalizi, wana familia na kila kitu Ila Uvulana bado unawatawala sana
Mtu ambaye umeshakuwa unakuwa na Dalili zifuatazo
1...
Umofya kwenu members! Umofya tena !!!
Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni.
Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ?
Tutafikia...
Wale wote wenye muonekano mbovu ndiyo huwa wanajifanya wana maadili mema, eti ndo maana hawapost picha zao mitandaoni.
Lkn ukiwachimbua deep down ndani ya mioyo yao ni kwamba wanatamani nao kufanya hizo show off lkn sura zao mbovu.
Mitandao ndiyo mbadala wa albums za picha mnato tulizokuwa...
Mahakama ya Wilaya ya Kilwa masoko mkoani Lindi imemuhukumu Muharami Ngayoma maarufu Kibwege (30) kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile.
Hukumu hiyo ya kesi namba 27 ya mwaka 2023 imetolewa Aprili 17,2023 na hakimu mkazi wa mahakama hiyo Carolini Mtui...
Sikuu kuu imenifunza mengi na pia nimeangalia maisha halisi toka utotoni nikaunganisha dot nikapata huu ukweli
Nikianza na wafanyabiashara wa chakula masokoni
Wao walisema mauzo yalikuwa ya chini sana katika bidhaa zao za vyakula tofauti na sikuu zingine.hii imetoka na ukweli kwamba kipindi...
Kutokana na usumbufu uliokuwepo wa kutafuta shule nzuri kwa ajili ya mwanao. Kama mzazi au mwanafunzi ulikuwa na ndoto za kupata shule nzuri. Iwe ni shule ya private au government au ulikuwa ukijiuliza nichague shule gani iliyo na ufaulu mzuri kimkoa au kitaifa kwa ujumla.
Tatizo hili kwa sasa...
Unakuta kuna Member Mmoja Maarufu mno Mitandaoni mpaka Rais Samia anamjua na Kufurahishwa nae na Wengine baadhi ila anachukiwa na Members kadhaa lakini hao hao Members Wanaomchukia huyo Member maarufu kila mara na kila Saa tu Wanamfuatilia na Kumsoma huku Wengine hata wakiwa Wanamfolo vile vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.