Hivi hawa wanaotangaza wanatafuta wachumba mitandaoni wajaona njia ambayo sahihi kama hizi:

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
kama muislamu au mkristo ukifika eneo lako la ibada ukitangaza kuwa unataka kuoa au kuolewa watajitokeza wengi na utafanya kuchagua.

Kama unaangaishwa nenda kijijini kwenu huko kuna watu wapo tayari kuoa au kuolewa wakisubiri.

Kwenye maharusi,misibani na sheree za ccm mnaweza kuwapata kibao.

Sio mnaanza kusumbua watu hapa JF.
 
Ni kweli... wanaojitangaza mitandaoni hawapo serious, bali ni umalaya.
 
Nimecheka had bas, niliwahi kuwa MC wa graduation shuleni kwetu, nilivyo wachachua wahitimu hadi walijuta kabisa.

😂😂😂😂😂😂
si unaona mambo yako,,, sikuzote haupendi amani kheee😁😁😁😁,,,
 
Waambie ndugu zako ,zungumza na wazee wa mtu , wazee wa kweny nyumba za ibadi ..Haichukui muda wanakuletea mke.
 
Amani naipenda sana, tatizo hulka unashangaa naanza kuchachua hapo.

Bas tafrani, 😂😂😂😂😂

ila na saivi umepoa mnoooo,, zamani ulikua unapenda ugomvi,, yani kwenye ugomvi wowote lazima uwepo shooo 🤣🤣🤣🤣 plus kusutwa woiii ila haukomi
 
Back
Top Bottom