kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Mimi wa mtandaoni ndiyo nawapenda
Huku wanatafuta njia za kutoza watu ushuru tu😂😂kama muislamu au mkristo ukifika eneo lako la ibada ukitangaza kuwa unataka kuoa au kuolewa watajitokeza wengi na utafanya kuchagua.
Kama unaangaishwa nenda kijijini kwenu huko kuna watu wapo tayari kuoa au kuolewa wakisubiri.
Kwenye maharusi,misibani na sheree za ccm mnaweza kuwapata kibao.
Sio mnaanza kusumbua watu hapa JF.
kama mimi tu 🤭😎Mimi wa mtandaoni ndiyo nawapenda
Dating Apps ni madanguro yaliyochangamkaDating apps si zipo? Km hizo ulizotaja hazisadii.
JF matangazo ya wachumba ni kero, naunga mkono hoja.
KashesheDating Apps ni madanguro yaliyochangamka
Safi sana😁😁kama mimi tu 🤭😎
Kila raheli line dating app 😆Safi sana😁😁
Kufanya nini na huku kuna wachumba jamaniKila raheli line dating app 😆
Ndio wapo na evidence zipo😂Kufanya nini na huku kuna wachumba jamani
📱📲 humu tu au vipi 😂😂Safi sana😁😁
Ndio wapi na evidence
join ze chain basi fabian😂Kila raheli line dating app 😆
Ila kwer nami napenda unakutana na pisi ime edit mpk unabakikujigamba moyo nimependa😂join ze chain basi fabian😂
na mimi nishamkataa maana anakimdomo sana,, bora umekazia husband to be🤗😂😂
Ilq watu, lol 😂😂😂😂😂
Aaaah kumbee?!Dating Apps ni madanguro yaliyochangamka
Kwa kweli, 😂😂😂😂Itakuwa majukumu 🤣
Ninae mbona, Nalea hapa.na ukipata mtoto sindo utaacha kukanyaga huku sasa mama viimoji😉☺️