Hivi hawa wanaotangaza wanatafuta wachumba mitandaoni wajaona njia ambayo sahihi kama hizi:

Samahani ndugu zangu, mimi ni mgeni humu jukwaani. Natafuta mke wa kuoa. Awe mnene kiasi, mweupe kiasi, mrefu kiasi, mwenye macho ya gololi, mama wa makamo, mwenye pesa zake, nk.
Nipo seriazi. Kipaumbele awe anatokea Tanga, na awe ni bingwa wa mapishi.
Naomba kuwasilisha.
 
😂eti macho ya gololi jamani!
 
Back
Top Bottom