mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Siasa za mtandaoni na mtaani ni tofauti!

    Kuna baadhi ya mambo ukiyaangalia juujuu bila kufungua mlango wa sita wa fahamu kuyafahamu zaidi, unaweza kuhisi ndivyo yalivyo. Moja ya mambo hayo ni siasa zetu huku mitandaoni na mitaani. Kwa mara ya kwanza kama hujawahi kabisa kufuatilia siasa na ukaanza kuzifuatilia mitandaoni, utagundua...
  2. TRC watoa majibu kuhusu uwapo wa Treni zenye Vichwa vilivyochongoka

    TRC wakiwa kwenye ukaguzi wa Vichwa Nchini Korea Kusini wametoa ufafanuzi wa uwapo wa treni ambazo Vichwa vimechongoka kutokana watu kuhoji utofauti wa picha zilizopo kwenye matangazo ya TRC kutofautiana na Vichwa vilivyoonekana wiki iliyopita. Soma: Vichwa vya Treni za SGR vyawekwa hadharani...
  3. Profesa Abdulkarim Mruma hana kosa kwa ile clip inayosambaa mitandaoni

    Kwenye suala la Makinikia na ile ripoti ya professorial rubbish ni sawa kumlaumu Profesa Abdulkarim Mruma. Lakini kwa hiyo clip nakataa. Waliosaini BIT na Canada wanajulikana. Waliofuta leseni hodhi za Bafex Tz Ltd (Kampuni tanzu ya Winshear) wanajulikana. Yamkini tunazo sababu lukuki za...
  4. R

    FARAGHA: Waziri amwagiza Mganga Mkuu wa Serikali kufuatilia suala la Taarifa Binafsi za Mgonjwa kuanikwa Mtandaoni

    Kufuatia tukio la mwanaume mmoja anaesemekana kuwa na mataizo ya akili kukata uume wake, ambapo toka tukio hilo limetokea mpaka baada ya matibabu waandishi wametoa taarifa zote juu ya hali yake, ikiwemo jina, umri, jinsia, makazi na ugonjwa wenyewe. Wadau mbalimbali wamelalamikia kitendo cha...
  5. Rais Samia, tuelewe wananchi wako na rekebisha mkataba, ili tukutetee humu mitandaoni!

    Contradictions zilizomo katika mkstaba/maelewano/MOU ya Tanzania na DP World ni za kimsingi kabisa. Kama mababu na baba zetu walipigania uhuru, misingi hiyo isikiukwe kwa namna yoyote ile. Hilo ndilo suala katika malumbano yote haya ya Bandari kubinafsishwa. Naamini Mama Samia utarejesha...
  6. Microsoft na OpenAI zafunguliwa kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 7.24 kwa kuiba Taarifa Binafsi za Watu Mtandaoni

    Kampuni ya OpenAI inayoendesha mfumo wa Akili Bandia (AI) wa 'ChatGPT', inadaiwa kuchukua 'Bila Ridhaa na Kutumia Vibaya' Taarifa Binafsi za Watumiaji Mtandao kwa lengo la kutoa mafunzo katika mfumo wake wa AI. Katika hati ya Mashtaka yenye kurasa 160, OpenAI na Microsoft zimeshtakiwa kwa...
  7. Makubwa(Kijana anayetrend Mitandaoni kwa kuuza Condom Mtaa kwa mtaa

    Hii Nchi ngumu sana ... nauliza hivi kondom zinarusiwa kuuzwa hadharani? Kama anavyofanya kijana huyu. Doooh
  8. K

    Nakubaliana na Serikali kuanzisha Kodi kwenye matangazo ya biashara mitandaoni. Wataanzani wanaharibu dhana nzima ya "digital marketing"

    Leo nimesikia kitu kilichonifurahisha sana kutoka wa waziri wa fedha wakati akiwasilisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2023/2024 nalo ni kuja na mpango wa kuanza kukusanya Kodi kwenye matangazo ya biashara mitandaoni. Sijajua kwa upande wa Serikali ukiachana na kukusanya Kodi kwenye...
  9. Ingekuwa Kenya kingeumana !! Sisi hatuna upinzani upo TU WA mitandaoni!

    Ingekuwa Kenya pasingekalika saa hii !! Ccm itatawala miaka 1000 mpaka kizazi Cha WAOGA kifutiliwe mbali ,wenzetu wamepiga hatua kubwa sana kisiasa ...sisi hata mlio wa gitaa tunakimbia hovyo kama kuku wa kisasa ! Ingekuwa Kenya muda huu raila angekuwa anaelekea ikulu na Mitaa yote imefungwa...
  10. P

    Marais wanacheka na kuteta kirafiki sisi mtandaoni tunaandikiana laana na kila aina ya matusi

    Kanisani mara nyingi Padre anayeongoza ibada huweka msisitizo wa kuiombea dunia nzima. Hukataza ile aina ya maombi yenye kunihusu mimi na watu wa familia yangu pekee. Huwa anasema tupunguze zile 'yangu' kila tunapoongea na Mungu. Kazi yangu, mume wangu, mke wangu, watoto wangu, nyumba yangu...
  11. Wanachapana mitandaoni Mwigulu na Makamba itakuwaje Rais akawa Mwinginee kama ilivyotokea kwa Lowassa na Membe

    Nimewaza yale ya Lowassa Vs Membe alafu mwingine ndo akaongoza nchi! Kwa kifupi hawa vijana hawajaiva kushika madaraka makubwa kivile ya nchi wanatakiwa kuwa chini ya Uangalizi, wana familia na kila kitu Ila Uvulana bado unawatawala sana Mtu ambaye umeshakuwa unakuwa na Dalili zifuatazo 1...
  12. Kwanini polisi wanapenda sana kujipost mitandaoni?

    Nauliza tu mbona wao sio kama wale wa TPDF kidogo picha kidogo kujisifia
  13. P

    Mnaoshinda mitandaoni mnafanya kazi saa ngapi?

    Umofya kwenu members! Umofya tena !!! Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni. Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ? Tutafikia...
  14. S

    Kuweni wakweli tu. Sura zenu mbaya ndiyo maana hampost picha zenu mitandaoni

    Wale wote wenye muonekano mbovu ndiyo huwa wanajifanya wana maadili mema, eti ndo maana hawapost picha zao mitandaoni. Lkn ukiwachimbua deep down ndani ya mioyo yao ni kwamba wanatamani nao kufanya hizo show off lkn sura zao mbovu. Mitandao ndiyo mbadala wa albums za picha mnato tulizokuwa...
  15. Unafikiri Tanzania imefikia sehemu unaweza kununua bidhaa na huduma mitandaoni kwa urahisi?

    Je unapitia changamoto zipi unaponunua bidhaa mtandaoni? Je nini kifanyike kusuluhisha suala hili kwenye nchi yetu Tanzania?
  16. Kilwa Lindi: Miaka 30 jela kwa kukiri kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile

    Mahakama ya Wilaya ya Kilwa masoko mkoani Lindi imemuhukumu Muharami Ngayoma maarufu Kibwege (30) kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile. Hukumu hiyo ya kesi namba 27 ya mwaka 2023 imetolewa Aprili 17,2023 na hakimu mkazi wa mahakama hiyo Carolini Mtui...
  17. M

    Sababu ya wafanyabishara kulalamika biashara mbaya kipindi cha pasaka kimenifanya nijue wa Tanzania sio wa'DINI mitaani km inavyoonekana mitandaoni

    Sikuu kuu imenifunza mengi na pia nimeangalia maisha halisi toka utotoni nikaunganisha dot nikapata huu ukweli Nikianza na wafanyabiashara wa chakula masokoni Wao walisema mauzo yalikuwa ya chini sana katika bidhaa zao za vyakula tofauti na sikuu zingine.hii imetoka na ukweli kwamba kipindi...
  18. Usumbufu wa kumtafutia mwanao Mitandaoni shule bora sasa umekwisha

    Kutokana na usumbufu uliokuwepo wa kutafuta shule nzuri kwa ajili ya mwanao. Kama mzazi au mwanafunzi ulikuwa na ndoto za kupata shule nzuri. Iwe ni shule ya private au government au ulikuwa ukijiuliza nichague shule gani iliyo na ufaulu mzuri kimkoa au kitaifa kwa ujumla. Tatizo hili kwa sasa...
  19. Mitandao unayoweza ukapata kazi za mitandaoni

    Hizi nimezipata mahala so na wewe weka zako watafutaji vijana wanaweza wakazipata mana . 1.flexjobs.com 2. who is hiring .io 3. remoteml .com 4. freelancer .com 5. upwork.com 6. remoteok .io 7. devsnap .io 8. remote .co 9. dice .com 10. angel .co
  20. Madaktari wa JamiiForums huu Ugonjwa Hatari na Mpya Mitandaoni unaitwaje?

    Unakuta kuna Member Mmoja Maarufu mno Mitandaoni mpaka Rais Samia anamjua na Kufurahishwa nae na Wengine baadhi ila anachukiwa na Members kadhaa lakini hao hao Members Wanaomchukia huyo Member maarufu kila mara na kila Saa tu Wanamfuatilia na Kumsoma huku Wengine hata wakiwa Wanamfolo vile vile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…