Basi la Abiria la Nguruka T545 D/W imegonga Treni ya Mizigo Y611 na kusababisha mabehewa matano kati ya 30 ya treni hiyo kuanguka na abiria 14 wa basi hilo kupata majeraha madogo
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika la Reli Tanzania (TRC) imesema ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia...
Habari ya uzima.
Kwa MTU yeyote au Kampuni inayohitaji huduma ya usafirishaji mizigo , Local cargo au transit cargo , naomba tuwasiliane .
Tunayo Magari Aina ya flatbed pamoja Tipper
Haya magari yote maximum yana uwezo wa kubeba 30-32Tons.
Waweza kutupigia kwa +25565812488 call and WhatsApp...
Magari mawili ya mizigo (Semi-trailer), yamegongana na kuwaka moto jioni ya leo October 20,2024 katika barabara kuu ya Tanga- Dar es salaam eneo la Kwedikwazu Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ambapo inahofiwa kuwa baadhi ya Watu wamepata madhara ikiwemo Madereva wa magari hayo.
Taarifa zinasema...
Nina muda kidogo nimekuwa mteja wa mabasi kwa kusafirisha vifurushi na mizigo midogo kutokea Arusha kwenda Dar na Morogoro, nimebaini mapungufu mengi na ubora wa huduma kati yao, the best nime baini ni kampuni ya BM ni seme kwanini:
1.Wao hawalazi mizigo na vifurushi endapo kuna basi la...
Habarini Wadau?
Nina semi-trailers 2 moja inabeba mizigo Tani 31 na nyingine Tani 32. Natafuta Mdau/Wadau wenye mizigo ya uhakika ya kusafirisha ndani na nje ya Nchi jirani. Awe tayari tuingie Mikataba ya Kisheria ili tuweze kufanya kazi kwa uhakika zaidi.
Aliye tayari tuwasiliane inbox.
Wadau za Jumapili? Jana nikiwa na ndugu yangu tulipeleka mzigo pale Shekilango kwenye ofisi za Bus la Ally's. Kulitokea sitofahamu kati ya mbeba mizigo mmoja na abiria ambaye na yeye alipeleka mzigo.
Kilichonisikitisha, ni mzozo wao kusimamiwa na matusi kutoka kwa mbeba mizigo huyo kwenda kwa...
Habari boss, kampuni ya PM TRADING AND LOGISTICS inapenda kukutaarifu kuwa inaendelea na zoezi la kupokea mizigo itakayosafiri Kwa njia ya ndege kutoka China kuja Tanzania.
Wiki hii ndege itasafiri Jumatano ya tarehe 25 mwezi wa 9.
Tafadhali mpatie supplier wako address yetu
OUR CHINA ADDRESS...
Al-Ahli Tripoli wamegoma mizigo yao kuingia kwenye gari kubwa na mizigo yote wamepakia kwenye gari ndogo aina ya Kenta wameweka vifaa vyote vya kufanyia mazoezi na vyakula vyao wametoka navyo nchini Libya.
Hivi ndivyo klabu ya Al-Ahli Tripoli ilivyowasili Tanzania kucheza mchezo wa marudiano...
Wakuu
Nafanya biashara ya kuchukua mzigo Dar. Changamoto ni gharama za usafiri unajikuta faida inaishia kwenye nauli.
Nielekezeni njia rahisi ya kusafirisha mizigo kutoka Dar kuja Mwanza kwa bei rahisi ila uhakika.
Achana na magari vishoka, wale wa kuunganisha unganisha wezi sana.
NAHII SIO KWENYE NDOA TU
HATA WEWE UNAETESEKA NA MAGONJWA MAISHA MAGUMU
NENDA KAANGALIE CHUNGUZA WAZAZI WAKO BABU ZAKO WALIISHI MAISHA GANI WAPI WALIWAHI KUKOSEA TUBU KWA AJILI YAOOOO
KUNA FAMILIA ZINATESEKA NA LAANA ZA UKOO MABABU KWA MABABU YAAN KWA SASA LABDA WANA VIZAZI VYA SABA
HAKUNA WA...
Wanakumbi.
⚠️🚨Ndege kubwa zaidi ya kijeshi ya Urusi ya kubeba mizigo aina ya An-124 imewasili Tehran
Ndege hii hapo awali ilipeleka ndege za kivita aina ya Yak-130 nchini Iran miezi michache iliyopita.
https://x.com/resistance151/status/1823658374384509124?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hello great thinkers,
Kuna mwenye anajua utaratibu wa kusafirisha mizigo kwa kutumia treni, kutokea Dodoma hadi Dar?
Nmejaribu kupitia kwenye website yao sijapata majibu
Naomba mwenye maelekezo au idea anisaidie.
Asanteni
Ndege ya mizigo ya Jeshi la Russia inashusha zana za Kivita huko Tehran ikiwa ni katika kuhakikisha package ya kipigo kwenda Israel kinafanyika kinatekelezwa kiustadi..
A military transport aircraft operated by Russia's 'Gelix' airline, known for transporting weapons and military equipment...
Inasikitisha kampuni kubwa kama hii watu wa mizigo badala ya kushusha wanaanza kuuliza watu mzigo wako ukohapa ndio wanashusha
Aibu kubwa sana
Mbadilike ati
Habari boss , kampuni ya PM TRADING AND LOGISTICS LTD inapenda kukutaarifu kuwa tunaendelea na zoezi la ukusanyaji wa mizigo katika Warehouse zetu za China🇨🇳 kwa njia ya ndege (Express)🛫.
Wiki hii Kuna ndege🛫 itaondoka China 🇨🇳kuja Tanzania 🇹🇿 alhamisi ya tarehe 02 August .
Tafadhali...
Shalom,
Mishaa mishangazi na maisha matamu, amua utakavyo mapenzi ni maisha kupanga ni kuchagua Usibebe mizigo inayokuzidi akili yako.
Tuendelee na maisha matamu
Wadiz
Habari watanzania,
Naomba kujua kama uwekezaji wa DP world bandari umeongeza speed ya ufanisi kazi au ndio kwanza mambo yamekuwa taratibu.
Nime experinece kutoa container mbili.
Meli nyingii sasa zinachukua zaidi ya wiki 3 naa mpaka kufunga na kushusha Mizigo. Wakati zamani ilikuwa ndani ya...
Habari,
Ni jambo la kusikitiaha kuwa watumiaji wengi wa Noah za Namanga Arusha Wanasafirisha bidhaa za Magendo
Na wenye bidhaa hizo hawavuki border Kwa kihalali.
Nina video ya Mzee mmoja hapa alichukua Rushwa jioni hii ila nimeingiwa na huruma huyu Mzee asije anapoteza kiinua mgongo chake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.