mizigo

  1. 5

    Naomba kujuzwa kampuni bora ya kusafirisha mizigo kutoka china kuja Tanzania Kwa ndege (zinazosafirisha simu)

    Wakuu naomba msaada wa kampuni Bora inayosafirisha simu za viswaswadu na smart phones Kwa haraka kuja Tanzania Kwa haraka Kwa njia zote mbili ndege na meli angalau mwezi mmoja niwe nimepokea mzigo. Kuna kampuni Zina ahadi hewa Hadi inaboa, tumia uzoefu wako. Itapendeza ukiambatanisha na gharama...
  2. I

    Jeshi la Marekani lakamata magaidi 5 walioteka meli ya mizigo ya Muisraeli

    Jeshi la Marekani limewakamata washambuliaji watano waliokamata meli ya mizigo yenye uhusiano na Israel katika Ghuba ya Aden huku kukiwa na mashambulizi ya makombora kutoka Yemen inayodhibitiwa na Wahouthi. Mwangamizi USS Mason alijibu siku ya Jumapili wito wa SOS kutoka kwa meli ya kibiashara...
  3. Lexus SUV

    INAUZWA Pallet kwa ajili ya kubebea mizigo inauzwa. Zipo Moshi Mjini

    Habari , ninauza pallet mahususi kwa ajili ya kubebea mizigo ni imara na zinadumj maana zimetengenezwa na ni mpya Zipo hapa. Moshi mjini Mawasiliano ni. 0672701329 Bei 25,000 kwa kila pallet.... Na pia zinafaa hata kutumika madukani kuwekea mizigo , friji na kazalika... Karibuni wandugu.....
  4. M

    Wabeba Mizigo Mlima Kilimanjaro Wanalipwa Kiasi gani kwa siku?

    Wakuu swali langu ni hilo wale wagumu aka ma-porter wanaopanda Mlima Kilimanjaro Wanalipwa Kiasi gani kwa siku au kwa mwezi?
  5. Kariakooking1978

    SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

    NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI. HUDUMA ZA ZIADA 📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta. 📌Nafanya ukaguzi na kuhakiki ubora wa bidhaa uliyonunua kariakoo kupitia...
  6. Roving Journalist

    TAZARA yatoa taarifa ya ajali ya Treni ya abiria na mizigo zilizogongana uso kwa uso maeneo ya Mwakanga, 62 wajeruhiwa

    Pia soma: TAZARA: Treni ya abiria na mizigo imegongana uso kwa uso maeneo ya Mwakanga, 62 wajeruhiwa
  7. JanguKamaJangu

    Treni ya abiria na mizigo imegongana uso kwa uso maeneo ya Mwakanga, Oktoba 18, 2023

    Kuna ujumbe huu unasambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya ajali ya treni kugongana uso kwa uso, mwenye taarifa kamili atupatie, inasemekana imetokeo usiku huu Jumatano Oktoba 18, 2023. Ujumbe unaosambaa na video hiyo unasema "Ajali hii imetokea usiku huu hapa station ya Mwakanga, treni ya...
  8. DUMEGUY

    Mwenye kujua Wasafirishaji mizigo kwa anga kutoka UK to Tanzania?

    Habari, mwenye kujua kampuni kongwe inayohusika na usafirishaji mizigo kutoka Uk ilionunuliwa kupitia ebay au amazon ama duka lolote, nitashukuru kwa msaada
  9. Webabu

    Ndege yatua Uhispania na abiria kamili bila mizigo yao

    Usafiri wa ndege ni usafiri wa raha na wa haraka zaidi. Pamoja na hivyo ni moja ya usafiri wenye vituko vingi zaidi. Wiki mbili zilizopita ndege moja huko Marekani ilibidi irudi ilikotoka baada ya abiria mmoja kuchafukwa na tumbo na kuichafua ndege nzima. Juzi tena tarehe 11 ndege ya shirika...
  10. Erythrocyte

    Na sisi Wasafirishaji wa abiria na Mizigo tutatangaza nauli mpya

    Kwanza naomba nikiri kwamba mimi ni miongoni mwa wasafirishaji wa mizigo na Abiria ndani na nje ya nchi . Nimetumiwa Private message kwamba kutakuwa na kikao Alhamisi hii cha kujadili ongezeko la Nauli kutokana na kupanda kwa gharama za mafuta . Nitawajulisha kitakachojili . Usiku mwema .
  11. L

    Mtwara - Tandahimba "Wanajeshi wanakagua vitambulisho na mizigo" Kama huna jiandae kuruka kichura chura!

    Mtwara - Tandahimba "Wanajeshi wanakagua vitambulisho na mizigo" Kama huna jiandae kuruka kichura chura!,kubebana na kukoana makwenzi. Ni lazima ,kila mtu kubeba kitambulisho. Wenyewe wanasema Ni kwa ajili ya usalama wetu Note:Kama unapita mitaa hiyo beba vitambulisho vyako
  12. K

    Stendi ya Mizigo Bariadi ya Bilioni moja, inakusanya Sh. 0 Mwezi mzima

    Kuna vitu huwa vinachekesha sana kwenye hii nchi yetu, unafikiria kweli tunao watalaamu wa kutosha? Wanaoweza kung’amua mambo na yakawa sawa? Yakaleta tija kwa taifa? Angalieni hiki kituko, uko katika Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Mji wa Bariadi ndani ya Mkoa wa Simiyu. Halmashauri hiyo...
  13. K

    Stendi ya Mizigo Bariadi ya Tsh. Bilioni moja, inakusanya Tsh 0 Mwezi mzima

    Kuna vitu huwa vinachekesha sana kwenye hii nchi yetu, unafikiria kweli tunao watalaamu wa kutosha? Wanaoweza kung’amua mambo na yakawa sawa? Yakaleta tija kwa Taifa? Angalieni hiki kituko katika Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Mji wa Bariadi ndani ya Mkoa wa Simiyu. Halmashauri hiyo...
  14. MK254

    Kama mbwai iwe mbwai: Ukraine kupiga mabomu meli zinazopeleka mizigo Urusi

    Urusi juzi ilitangaza kupiga meli zinazoenda Ukraine, haya na Ukraine wamejibu, watapiga meli za mizigo zinazopita baharini kwenda Urusi. KYIV, July 20 (Reuters) - Ukraine's Defence Ministry said on Thursday it would consider all ships travelling to Russian ports and Ukrainian ports on the...
  15. mirindimo

    Tetesi: Mizigo ya wafanyabiashara imekwama Swiss port airport JK Dar

    Inadaiwa marekebisho ya mfumo yamepelekea mizigo kukwama airport kwa wiki sasa na hakuna taarifa ya lini mfumo utakaa sawa.
  16. R

    Hayati Magufuli aliweza kuondoa ucheleweshaji mizigo bandarini? Mbona hakutuambia Watanzania hatuwezi? CCM kwanini tunajidhalilisha?

    Hoja iliyopo midomoni mwa watumishi wa serikali na watawala nikutuaminisha kwamba mizigo inacheleweshwa bandarini. Lakini miaka miwili nyuma tulisifia sana ufanisi wa bandari. Je haiwezekani kwamba tuliopo sasa tumeiua bandari? Magufuli aliwezaje kuwatumia watu hawahawa akapata tija hadi sote...
  17. benzemah

    Ndege Mpya ya Mizigo ya ATCL imeanza rasmi safari zake leo 7 Julai 2023

    Kampuni ya Ndege Air Tanzania (ATCL) leo imeanza safari yake ya kwanza ya ratiba ya kusafirisha mizigo kwa kutumia ndege yake ya mizigo Boeing 767-300F iliyowasili nchini mapema mwezi Juni 2023 ambapo mzigo wa leo unasafirishwa moja kwa moja kwenda Dubai kwa muda wa saa tano tu. Mkurugenzi wa...
  18. Exorcist

    Watanzania milioni 60 tumeshindwa kununua Crane za kushusha mizigo kwa ufanisi bandarini?

    Tanganyika tunalipa Trillion 12 kila mwaka ikiwa ni pamoja na riba za madeni tuliyokopa. Sasa najiuliza katika mikopo yooote hii tunayolipa, hakuna hata trillion 1 iliyotumika kununua Crane kubwa kama za DPWorld? Zinauzwa trillion ngapi kwani hizi mashine?
  19. Lord denning

    Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

    Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa...
  20. Smith Rowe

    Naweza kupata gari la mizigo linalotoka Morogoro to Moshi.?

    Habari wazee, Nahitaji usafiri ijumaa ijayo nina vitu vichache(vitu vya ndani) vya kusafirisha kutoka Morogoro(mzumbe) kwenda Moshi(himo) siku ya ijumaa ya wiki ijayo ya tarehe 7 mwezi wa 7. Usafiri wa magari ya mizigo inayotoka mikoa yoyote ila inapita morogoro au hata kama gari linaanzia...
Back
Top Bottom