mizigo

  1. Analogia Malenga

    TPA: Tumechagua DPW kwa kuwa mizigo mingi inatoka Mashariki ya Kati

    Katika Club House inayoendelea, Mkurugenzi wa TPA, Prostus Mbosa amesema wameichagua DP-World kwa kuwa mizigo mingi ambayo Tanzania inapokea inatokea Mashariki ya kati ambapo DPW alionekana ni msihirika bora ukilinganisha na Maersk na wengineo Amesema kwa sasa bandari katika high season huwa...
  2. Stephano Mgendanyi

    Serikali Iwasimamie Wasafirishaji wa Mizigo Kutoka Nje ya Nchi ili Ipate Kodi Halisi Kutoka kwa Wafanyabishara

    MHE JULIANA MASABURI AISHAURI SERIKALI IWASIMAMIE WASAFIRISHAJI WA MIZIGO ILI KUPATA KODI HALISI KWA WAFANYABIASHARA Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa Mhe. Juliana Didas Masaburi tarehe 23 Juni 2023 amechangia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023-2024 na kutoa mapendekezo...
  3. comte

    Iko hatari ya bandari kubaki bandari bila mizigo

    Ukiingia kwenye mtandao wa SPLASH 247.COM utaona makampuni ya usafirishaji wa mizigo duniani yanavyoshidana kumiliki pia bandari maeneo mbalimbali duniani. Hii inaashiria kuwa kila mwenye mizigo atapeleka kwenye bandari zake tu labda alazimike kufanya pale ambapo hatakuwa na namna...
  4. benzemah

    Ndege Mpya ya Mizigo ya ATCL Kuanza Kazi Wiki Ijayo

    Ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 767-300F iliyonunuliwa na serikali itaanza kazi ya kusafirisha mizigo nje ya nchi Juni 26, mwaka huu. Hayo yalibainishwa na Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Sarah Reuben Reuben alisema kuanzia Jumatatu ijayo, ndege hiyo itaanza kusafirisha...
  5. polokwane

    Wengi wanaopiga kelele kuhusu bandari ni wapitisha mizigo kimagendo bandarini

    Baada ya kufanya utafiti mdogo imebainika kuwa wengi wa wapiga kelele kuhusu bandari ni wale walio zoea kupitisha mizigo kimagendo yaani kupitisha mizigo kwa kukwepa kulipa malipo halali. Lakini wengine ni lile kundi ambalo lina danganya nyaraka mfano mtu kaingiza kontena 100 akidai kwamba...
  6. Gulio Tanzania

    Halima Dendego ni moja ya Wakuu wa Mikoa mizigo

    Leo hii kumekuwa na mgomo mkubwa wa wafanyabiashara wa maduka Iringa. Sababu iliyopelekea kuwa na mgomo mkubwa, ni maamuzi ya kijinga sana ya Mkuu wetu wa Mkoa kutaka kila duka livunjwe vibaraza, yani cap za maduka ziondolewe. Migambo wametumwa usiku kuvunja hivyo vibaraza. Mkuu huyu wa mkoa...
  7. Offshore Seamen

    Serikali ipambane Gharama za Bima ya kuisafirisha mizigo zilipwe kwa kampuni za Tanzania kuongeza pesa za Kigeni

    Katika biashara ya kuagiza na kusafirisha mizigo nje ya nchi kuna gharama za bima ya mzigo (Insurance). Kwenye terms za kimataifa za usafirishaji kipengele cha CIF (Cost Insurance and Freight). Mnunuzi au muuzaji hukubali kulipa bima ili mzigo usafiri salama na kukingwa na majanga yoyote...
  8. The Tomorrow People

    Ndege ya mizigo Boeing 767-300F ilibadilishwa jina kutoka “Hapa KaziTu" kwenda "Kazi Iendelee”

    Niende moja kwa moja! Picha za mwazo Kutoka Boeing ndege yetu ya mizigo ilikuwa na chapa ya Lake Tanganyika (Hapakazi Tu) lakini wakati wa makabidhiano inasomeka Lake Tanganyika (Kazi Iendelee). Je, tatizo ni nini?
  9. BARD AI

    Uwezo wa Ndege ya Mizigo iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania

    Aina - Boeing 767-300F Uzito wa Mzigo - Tani 52.7 (Futi 15,469) Kasi (Speed) - Kilomita 850/900 kwa Saa Ujazo wa Mafuta - Lita 90,770 (Inatumia Dakika 28 hadi kujaza matenki yote) Uzito wa Jumla - Kilogramu 185,060 Eneo la Kurukia - Mita 2408 Eneo la Kutua - Mita 1829 Chanzo: Boeing/Epic...
  10. K

    Kampuni ya Boeing imekabidhi ndege ya mizigo aina ya Boeing 767-300F, Magufuli atajwa

    Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing ya nchini Marekani imekabidhi ndege ya mizigo aina ya Boeing 767-300F kwa Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania (TGFA) tayari kwa safari ya ndege hiyo kutoka Marekani na kuja hapa nchini Tanzania. Makabidhiano hayo yamefanywa katika kiwanda Boeing kilichopo...
  11. benzemah

    Ndege Mpya ya Mizigo Iyafikie Masoko ya Nje

    Kesho Tanzania itapokea ndege ya mizigo. Hatua hii ichukuliwe kwa uzito wa pekee na wafanyabiashara wakubwa na wadogo. Ndege hiyo kubwa ya mizigo aina ya Boeing 767-300F itakuwa na uwezo wa kubeba tani 54 za mizigo na kusafiri katika nchi za Ulaya, Asia na kwingineko ambako soko litapatikana...
  12. Samwel Ngulinzira

    Kampuni bora za mabasi na kampuni za usafirishaji mizigo

    Habari wakuu, poleni na kazi. Napenda kupata majina ya kampuni 5 bora za mabasi hapa nchini kwa ajili ya kushiriki tuzo. Vigezo ni 1. Ubora wa huduma 2. Mwendo mzuri (50/80) 3. Lugha nzuri kutoka kwa wahudumu na wasaidizi 4. Usafi wa mabasi 5. Maslahi kwa wafanyakazi wa mabasi hayo. Pia...
  13. Ricky Blair

    Kuhifadhi mizigo

    Aisee shughuli ya kuhamisha vitu while looking for a house ni kimbembe si cha dunia hii. Hivi business people wameshindwa kabisa kuweka kama warehouses for people to rent kasehemu hapa mjini kuweka vitu kwa muda kwa mwezi kwa bei nafuu kwa sisi walala hoi Jaman. Kuliko kuanza kutafuta nyumba...
  14. S

    Agent from Turkey To Tanzania

    Wakuu..naomba kujua freight forwarder wa kulete mizigo kutoka Uturuki mpaka Tanzania. Wawe waaminifu na gharama nafuu.
  15. R

    Nahitaji usafiri wa mizigo kutoka Himo mpaka Kisongo Arusha

    Habari wakuu. Nahitaji usafiri wa mizigo kutoka Himo mpaka Kisongo Arusha. Mzigo wa tani Moja ukiwa kwenye magunia au viroba. Naomba price quote. Ni biashara endelevu.
  16. peno hasegawa

    Mbunge wa Jimbo la Hai anza kufungasha mizigo yako mapema

    Kwa masikitiko makubwa, kila Jimbo Tanzania linapokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa maendeleo ya Jimbo. Huu ni mwaka wa 3 Jimbo la Hai halijawahi kuona au kupokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo ya Hai. Mbunge Saashisha Mafue akiulizwa anataka kukata watu na mapanga...
  17. Akabi kemanya

    Msaada kwa mwenye uzoefu wa kampuni ya kusafirisha mizigo

    Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri, Nielekee kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza Mimi natami kuanzisha kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani ya nchi ila changamoto kubwa kwangu sina uzoefu wa hii kazi kwa mwenye uzoefu tafadhari Nivitugani vya kuzingatia kabla na baada ya...
  18. mike2k

    Ufisadi wa zaidi ya billion 80 kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo

    Leo katika kupitia pitia masuala ya nchi nakutana na article katika gazeti la mwananchi kuhusu ufisadi wa zaidi ya billion 80 kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo. Kulingana na ripoti ya Mhasibu Mkuu na Mdhibiti (CAG) ya hivi karibuni, kasoro katika bei ya ndege mpya ya mizigo ya Air Tanzania...
  19. ChoiceVariable

    Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

    Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani. Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania...
  20. R

    Mashimba Ndaki ametumbuliwa. Je, Mawaziri Mizigo wamekwisha Serikalini?

    Mashimba Ndaki aliyekuwa Waziri wa Uvuvi, ameshatumbuliwa kutokana na kile kinachotajwa utendaji kazi mbovu wa kusimamia wizara hiyo na sasa yuko benchi kuungana na kina Prof. Palamagamba John Kabudi, William Lukuvi, Dk. Medard Kalemani, Prof. Kitila Mkumbo, Geofrey Mwambe, Dk. Faustine...
Back
Top Bottom