Kituo cha magari madogo ya abiria Kilichopo kilombero jijini Arusha maarufu kama stand ya Kilombero kimezidiwa na wingi wa shughuli nyingi za kiuchumi hususani biashara tofauti na Lengo kuu la kituo hicho cha daladala.
Kituo hicho ndio kitovu cha daladala karibu zote zinazoelekea sehemu...
WanaJf,
Salaam!
Nimefuatilia kwa KARIBU sana na kugundua kiwa MAGARI ya mizigo ya kampuni ya AZAM na GBP huwa hayapiti kupima uzito wa mizigo yao kwenye mizani ya TANROADS.
Hii sababu gani? Nikiwa na gari la namna hiyo nitumie njia ipi nami lisipime uzito?
M. Kabende
China
Mwanza: Wasafiri ya Ndege ya Precision Air, Wakatazwa kupanda na mizigo yao kwa sababu ya ndege kujaa sana na haina uwezo kwa sababu za kiufundi
Kitendo hicho kimewatia wasiwasi wasafiri wa ndege hiyo ambao imechukua masaa mawili hadi kukubali kupanda ndege hiyo ambayo walitaka maelezo ya kina...
Habari za muda wanajukwaa.
Mimi nina rafiki yangu aliepo Asia (korea) wakati wa kujadili Idea za hela akaniambia yeye anafanyaga pia International trade.
Akaniambia kuwa maaana yake ni yeye ni mtafuta masoko wa kimataifa anatuma mizigo kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine ama bara jingine...
Meli ya mizigo ya Tanzania iitwayo Anil imepinduka katika bandari ya Assaluyeh Kusini mwa Iran Siku ya Jumanne, Januari 24 kutokana na mpangilio mbaya wa Makontena kwenye bodi.
Ajali hiyo imetokea katika Bandari inayohusika na kemikali za petroli na gesi zinazozalishwa nchini Iran iliyopo...
Ninapenda kutoa huu mkasa kama ifuatavyo. Tarehe 12/1/2023 nimetuma mzigo kutoka DSM kwenda Mbeya kama inavyoonekana kwenye risiti. Nimekabidhi ofisi ya Mbezi imeandikwa Golden Deer na Newforce ipo flow ya pili mwisho kabisa jirani na sehemu ya chakula. Mzigo nilitwgemea tarehe 13 Januari ufike...
Uboreshaji unaoendelea katika sekta ya bandari nchini umeongeza ufanisi na kati ya Oktoba hadi Desemba idadi ya meli zilizohudumiuwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) zimeongezeka. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa alisema jana mjini Dodoma kuwa kipindi hicho meli zilizohudumiwa na TPA...
Kuna harufu ya UTAPELI wa kimataifa,
Habari SERIKALI kuchukua mkopo kienyeji kienyeji na kisha kukatana kwenye usafirishaji imetoka wapi ??
Utaratibu wa wauza mazao wakileta mizigo kwa mafuso ndio serikali inataka kutumia kwenye SGR na treni zetu mpya ambazo zote ni za mkopo.
Awepo mwamba...
Habari wana jf,
Nlikuwa nafuatilia juu ya Mitsubishi Fuso Fighter horse ambayo ina 11700 cc ukubwa wa engine yenye uzito kwa horse pekee 6300kg nikaona inafanana cc na scania 124 .
Je, naweza kutumia hiii gari kubeba mizigo tani kama za scania ? Ni zipi changamoto za hizi gari kwa hizi kazi...
Ndugu zangu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mara baada ya adhana jioni ya leo majira ya saa mbili kasorobo tutakuwa tunatoka uwanjani na tukimaliza kuswali ndege itakuwa inaondoka.
Tunawatakia safari njema na tutakuja marakesh kutalii hivi karibuni.
===
Baada ya kumsikiliza Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hapo juu,Naomba nidondoe kidogo haya,
Wakati wowote kuanzia Sasa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anakwenda kufanya mabadiliko makubwa Serikalini na kwenye Chama, Mimi Wacha niwalaumu kidogo nyie maboss na endapo Kati yenu atasalia...
Inadaiwa kuwa Cristiano Ronaldo anataka kuchukua hatua hiyo kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri na kocha wake wa timu ya taifa ya Ureno, Fernando Santos.
Mshambuliaji huyo alianzia benchi katika mchezo wa Hatua ya 16 Bora dhidi ya Uswisi, inaelezwa kuwa amechukizwa na maamuzi hayo na mpaka...
Mabehewa 22 ya Shirika la Reli Tanzania na Zambia (TAZARA) yamedondoka mkoani Morogoro yakiwa na kemikali tani 1,099 za Sulphur Dioxide.
Wataalamu kutoka katika mamlaka mbalimbali za serikali wapo katika jitihada za kudhibiti madhara ya kemikali hizo kwa binadamu na wanyama baada ya treni hiyo...
Mchezaji Kama Bigirmana, Makambo na Kisinda sio wachezaji wa kucheza Yanga
Naomba dirisha dogo Hawa wachezaji waondoke haraka ni takataka
Lomalisa watu wanamponda lakini kwangu Mimi ndiye beki Bora namba 3 akiaminiwa na kupewa mechi
Football ni namba mpaka sasa ana assist mbili ni beki gani...
Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa Omary Mgumba, ghala lilikuwa na mizigo ya Mamlaka ya Mapato (TRA) ikiwemo Vitenge vilivyokamatwa kwa Magendo baro 370 pamoja na Sukari, Mafuta ya Kula, Baiskeli na Pikipiki
Kamanda wa Jeshi la Zimamoto Mkoa, Fatuma Ngenya amesema wamefanikiwa kuudhibiti Moto ulianza...
"Hivi wale wanaotumia 'tishu' tu kujisafisha chooni, huwa wanashusha mizigo hii hii tunayoishusha sisi au wenzetu mizigo yao inakuwa dry, odourless and sophisticated?"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.