mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Mabati used yanahitajika ., nipo moshi mjini......

    Habari wa ndugu wa jamii forums , nipo hapa kuomba kwa mwenye mabati used yaliyo na hali nzuri awasiliane na mimi Mawasiliano. 0672701329 Nahitaji pc 50 hivi Asante...
  2. Kitanda cha chuma 5 kwa 6 kipya kinauzwa kipo Moshi mjini, mikoani kinatumwa

    Habari nina kitanda kipya cha chuma kinauzwa Kipo moshi , na pia kuna BED SOFA MPYA , valvet , BED BOX , PALLET BED KAMA ZOTE.........OFISI ZETU ZIPO MOSHI...... MAWASILIANO NI. 0672701329
  3. Umebahatika Kuliona Bango jipya Mjini...😅😅 Mpira ni Afya na Burudani (Friends Of Mwarabu tumeweka bango)

    Ikikuuma Natuma na Video kabisa 🤣🤣🤣🤣 Kulia kupokezana
  4. INAUZWA Pallet kwa ajili ya kubebea mizigo inauzwa. Zipo Moshi Mjini

    Habari , ninauza pallet mahususi kwa ajili ya kubebea mizigo ni imara na zinadumj maana zimetengenezwa na ni mpya Zipo hapa. Moshi mjini Mawasiliano ni. 0672701329 Bei 25,000 kwa kila pallet.... Na pia zinafaa hata kutumika madukani kuwekea mizigo , friji na kazalika... Karibuni wandugu.....
  5. Mkazi wa Morogoro Mjini mwenye smartphone inayotoa picha nzuri, nakupa 12,000 unipigie picha Unitumie

    Kama Unaishi Morogoro mjini naomba msaada wako wa hali na mali. Kuna tangazo la nyumba nimelipost Jana watu wengi wanunuzi wanahitaji Picha, lakini ubaya ni kwamba picha zinashindwa kupatikana kutokana na watu kukosa simu zenye ubora...
  6. Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Sugu, kusikika Clouds TV 23/11/2023

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara, Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, asubuhi ya 23/11 /23, atakuwepo kwenye Clouds TV kwa mahojiano Maalum. Usibadili Channel kwa Mawe Matakatifu.
  7. Natafuta Dalali wa Frame Arusha Mjini

    Habari wakuu, Natafuta dalali yeyote wa kunitaftia frame Arusha, maeneo ya mjini kama Standkuu, kkoo, chini ya mti, jogoo, stand ndogo, Mnazi Mmoja...nk. Kwa yeyote mwenye connection tuchekiane DM au share namba hapa. Natanguliza shukrani
  8. Makaburi yaliyojaa yageuzwa dili mjini

    Kwa mujibu wa gazeti la nipashe la leo, limeripoti kwamba japokuwa makaburi ya Kisutu, Kinondoni, Magomeni na Sinza kutangazwa na serikali kuwa yamejaa toka mwaka 2018, lakini yameendelea kutumika mpaka sasa. Kinachofanyika ni unawapa tenda vijana maalumu wanaohusika kuchimba makaburi kwenye...
  9. Rais Samia aagiza Barabara Mwanza Mjini ijengwe njia nne

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu wa kina wa barabara za Mwanza Mjini hadi Round about ya Usagara na barabara ya Mwanza Mjini hadi Igoma ili zipewe kipaumbele katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya kujenga barabara ya njia nne...
  10. Miji suitable kwa City Trams (treni ndogo za mjini)

    Laiti kama siku moja tutajilipua, tukajenga miundombinu ya trams, ambayo inaweza kuwa humuhumu kwenye barabara zetu za jini, usafiri utakuwa rahisi zaidi. napendekeza maeneo haya yazingatiwe, hata hiyo pesa ya bilioni 300 anatoa kwa ajili ya darala la jangwani, inaweza kutosha. 1. Dodoma iwepo...
  11. Mbunge Reuben Nhamanilo Aiomba Serikali Kuongeza Nguvu kwa Wananchi katika Ujenzi wa Shule za Msingi Handeni Mjini

    "Je, ni lini Serikali itamaliza mgogoro wa mpaka kati ya Handeni na Kilindi katika eneo la Bondo" - Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo Reuben Nhamanilo, Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini "Serikali imekwishatatua mgogoro wa mpaka kati ya Halmashauri ya Handeni na Kilindi katika eneo la Bondo kwa...
  12. Wanajeshi wa Israel wapo Gaza mjini kati sasa

    Baada ya kuizingira Gaza na kuhakikisha hakuna gaidi litakalotoroka, sasa wafaulu kuingia mjini kati. ========= Defence Minister Yoav Gallant said on Tuesday, November 7, Israeli forces were operating "in the heart of Gaza City" one month after Hamas's bloody October 7 attacks, as the campaign...
  13. Israel wanaingia Gaza mjini kati usiku wa leo

    Baada ya kuigawa Gaza vipande viwili, sasa magaidi yaliachwa kaskazini, Israel wamekua wakiyabamiza bila upinzani wa maana na tayari kuingia mjini kati usiku wa leo..... ================= Israeli troops could enter Gaza City later today, according to Israeli media, raising the prospect of...
  14. Tahadhari dhidi ya utapeli mpya mjini

    Kumetokea Watu wanajifanya wanakopesha simu za Mkopo hapa Facebook na kukutaka uwatumie pesa kidogo ili wakutumie bidhaa yako huko mikoani ndugu yangu utapigwa vibaya. Nasema hivyo kutokana na Mimi yamenikuta nimelizwa elfu 50 alafu ni mdada akijifanya katokea Zanzibar kumbe ni matapeli
  15. Kila kitabu na zama zake, corner sofa ndiyo habari ya mjini leo.

    Corner sofa ndiyo habari ya town, ukiongeza na flat screen ukutani na TV table ya mstatiri. Uzuri wa corner sofa mgeni anaweza kulala mpaka asubuhi omba tu asiwe kikojozi. Kwa kweli ni mfuko tu lakini corner sofa ya ngozi inapendeza na inadumu kwa muda mrefu. Ukiwa na ukuta mweupe blue...
  16. Watu wa Daslamu msidhani hatujui kinachowapata huku mjini

    Bila salamu! Mnajifanya wajanja sana, maneno mengi kama machinga wa kampuni wanaotembeza bidhaa. Mnatuona tuliopo mkoani kama mmetupiga KO lakini sisi tunawadere tuu, tunawalia gap, tunajua mbele kuna tuta. Msidhani hatuna habari zenu. Tunazo sana. Tunajua chakula chenu kikuu ni Ugali nyanya...
  17. E

    CCM MBEYA MJINI Na maandalizi ya RAIS wa MABUNGE duniani

    Chama Cha mapinduzi chini ya mwenyekiti Ccm wilaya kipo kufanya maandalizi kabambe ya Kumpokea MBUNGE wao kipenzi Daktari.Tulia Ackson ambaye hapo jana amechaguliwa kwa kishindo kuwa RAIS wa umoja wa MABUNGE Duniani (IPU),wana Mbeya na msio Wana Mbeya mnakaribishwa Sana kuungana nasi,tarehe ya...
  18. Bavicha yaanza semina Mjini Morogoro

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , ile Taasisi bora ya Vijana Barani Africa , ambayo pia inatajwa kushika nafasi ya tatu kwa Ubora Duniani Bavicha , inakutana mkoani Morogoro kwa semina ya kuwaongezea uwezo Wajumbe wake wa Kamati ya Utendaji. Wakati Taasisi hii ambayo ndio Chimbuko la...
  19. R

    Waziri Mbalawa, ulisema mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani umemlipa bilioni 3 kuanza kazi sasa mbona haonekani site Tanga mjini na Pangani?

    Hii ni kukutaarifu tu kuwa mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani umemlipa bilioni 3 kuanza kazi haonekani site Tanga mjini wala Pangani? Hii ilikuwa ni mara ya mwisho sometime in September uliposema hayo mbele ya camera Mvua zinanyesha ni tope tupu kila mahali! Mwambie basi aje...
  20. Kwanini hutaki kuonana na watu wa kijijini kwenu hapa mjini?

    Kwema Wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza, ni sababu gani inayokufanya usitake kuonana na watu wa kijijini kwenu hapa mjini? Mimi: Kwa sababu mambo yangu hayajakaa sawa. Wewe?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…