mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Maonyesho ya silaha za NATO zilizotekwa na Urusi yafana mjini Moscow

    Nchi za magharibi zimeshuikwa na kugugumizi!! hazijui ziseme nini. Akitambulisha maonesho hayo, waziri wa ulinzi wa urusi alisema silaha Marekani na NATO kwa ujumla hazifui dafu mbele ya makali ya silaha za urusi. Alisema hata silaha za kizamani enzi za kisoviet bado zina makali kuliko silaha za...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Lindi Mjini aungana na wadau kuishauri Afrika kuwekeza katika utafiti mbegu asili

    NCHI za Afrika zimeshauriwa kuwekeza katika utafiti wa mbegu asili kwa kuwa zina lishe bora, uhakika wa chakula na salama kwa afya ya mtumiaji. Ushauri huo umetolewa na wadau mbegu asili kutoka nchi 25 za Bara la Afrika, Marekani na Ulaya ambao wanakutana jijini Dar es Salaam kwa siku tatu...
  3. G

    Kazi yako kubwa inayokuweka mjini ni ipi?

    Nmechoka kuficha ndugu zangu mimi kazi kubwa mjini nabeti hakuna kingine uboss wote nautolea hukoo kwenye igaming jamani, Ni pata potea hapakaliki kivumbi uko kwenye maslots mpaka ugali upatikane...😆😆😆 Niambie slot yako moja unayoipenda na inapatikana kampuni ipi. Je ushindi wako mkubwa pia...
  4. Mi bishoo tu

    DOKEZO Mabomu ya machozi yanarindima Magu mjini

    Habarini wanajamvi, Leo kuna gari Moja ndogo ya abiria (hiace)imegonga watoto wawili wa shule na kuwaua karibu na sheli moja hivi. Sasa kuanzia asubuhi wananzengo wamefunga Barabara zote kuu hasa Ile ya Mwanza-Musoma. Gari linalolazimisha kupita linapigwa mawe balaa. Magari mengi yashaharibiwa...
  5. UtdProfile_

    Tupe mbinu zako unawezaje ishi mjini bila kazi ya kudumu?

    Unawezaje kuishi mjini, kama DSM, bila deal la maana 🤔🤔🤔🤔
  6. Erythrocyte

    Operesheni 255 yaendelea kutikisa Geita Vijijini, Dkt. Musukuma akalia kuti kavu

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameingia kwenye Jimbo la Geita Vijijini na kuwasha moto mkubwa wa Katiba Mpya, wananchi wamepata wasaa wa kupiga kura hadharani ya kuukataa Mkataba wa kitumwa wa Bandari na DP World. Kabla ya kura hiyo, Wananchi wa Jimbo hilo walilalamika kwamba, ukiacha...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mzeru awapa tabasamu UWT Wilaya ya Morogoro Mjini

    MBUNGE MZERU AWAPA TABASAMU UWT WILAYA YA MOROGORO MJINI. MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Mzeru amekabidhi Cherehani ya kudarizi yenye thamani ya shilingi 500,000 katika Uongozi wa UWT Wilaya ya Morogoro Mjini. Makabidhiano hayo yamefanyika 02 Agosti, 2023 katika Ofisi ya...
  8. P

    Kiwanja kinahtajika Tanga mjini

    Habari zenu, Kiwanja kinahtajika Tanga mjini isizid 1.5 - 2M. Mwenye nacho anisaidie. Asanteni
  9. LIKUD

    Tulio badilisha majina baada ya kufika mjini tujuane hapa

    Naanza na mimi mwenyewe kijijini kwetu naitwa Marwa Mahende ila mjini naitwa Emmanuel John.
  10. UMUGHAKA

    Kijana mwenzangu focus na kilichokuleta mjini, mambo ya mjini waachie watu wa mjini

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, kwa kifupi tusichoshane!. Kijana mwenzangu napenda kukupa ushauri wa bure kabisa. Ushauri napenda kuwapa vijana (KIKE & ME) ambeo umetoka mkoani kuja mjini Dar es salaam kwa ajili ya kutafuta fedha,hapa mjini hatujaja kutafuta maisha,maisha hata mikoani yapo tena...
  11. Unasemeje

    Pascal Mayalla ni mtanzania mwenye kila sababu ya kuwa na pesa mjini ila ameshindwa kuwa mbunifu.

    Moderator naomba huu uzi msiufute maana umekusudia kumsaidia huyu bwana kuingia kwenye orodha ya watu wenye mafanikio kiuchumi. Pascal Mayalla wewe sio mtu wa kusubiri uteuzi, ulianza vizuri sana enzi za PPR ukateleza kidogo (ni kawaida kwenye maisha) ila sasa kwa upande wako kadiri unavyopata...
  12. DodomaTZ

    DOKEZO Mamlaka za Uhamiaji tusaidieni Bukoba Mjini, kuna raia wa kigeni anatishia maisha ya watu

    Jeshi la Uhamiaji Tanzania tunawashukuru kwa kazi nzuri, tunaomba msaada huku Bukoba Mjini, kuna jamaa mmoja raia wa Uganda anaishi Mtaa wa Kagondo, aliua mtu kwa kumchoma na moto, jamaa huyo ni Mwalimu wa chekechea anaitwa Karangwa Pascal. Alikamatwa yuko Polisi Bukoba sasa hivi ni wiki mbili...
  13. JanguKamaJangu

    Watu wanne wamepigwa risasi na Polisi Mjini Kisumu katika Siku ya Mwisho ya Maandamano ya Azimio

    Watu hao wanaendelea na matibabu katika Vituo vya Jaramogi Oginga Odinga Teaching na Hospitari ya JOOTRH baada ya kujeruhiwa kwa risasi katika maandamano yaliyoratibiwa na Azimio la Umoja One Kenya. Mmoja kati ya waliojeruhiwa ni Afisa Afya wa JOOTRH ambaye alipigwa risasi ya bega akiwa katika...
  14. SAYVILLE

    Wito wa kuirudisha fainali ya Ngao ya Jamii 2023 mjini Dar es Salaam

    Ni jambo jema kupeleka mechi kubwa katika maeneo tofauti ili watu wa maeneo ya huko ambao huwa hawana nafasi ya kuziona mechi kama hizo waweze kupata fursa hiyo. Shida kubwa inakuja kuwa viwanja hivyo haviandaliwi vizuri ili viendane na hadhi ya mechi husika. Ingekuwa vyema mechi kama hizi...
  15. Li ngunda ngali

    Morogoro: Zima moto waenda kuzima moto kwa mikono gari zote mbovu

    Kikosi cha Zimamoto mkoani Morogoro leo kimeenda kuzima moto kwa ndoo na mikono ikielezwa gari zao zote ni mbovu. Moto huo umeua mzee mmoja aliyeshindwa kujiokoa. Ikumbukwe, pesa za kina Profesa Zembelwa, Dk Kitenge na Mwanasheria nguli wa sheria za MIKATABA ndugu Hando zipo ila za kuwezesha...
  16. L

    Natafuta kazai/kibarua Ifakara mjini

    Habari ndugu zangu, natafuta kazi au kibarua chochote halali ili niweze kujikimu kimaisha. Kwa mwenye connection ya kazi au kibarua hasa maeneo ya Ifakara tafadhali naomba aniunganishe.
  17. Mangi shangali

    Namba 6 ishafika mjini..

    Habari zenu.. Simba wamesema leo watatawanya bahari kwa wachezaji watakao watambulisha. Ina maana ni wachezaji wanzuri,sasa simba wajiandae kisaikolojia vinzuri maana yanga watatambulisha namba 6 yao itakuwa boom kwa simba. Hao wachezaji wa 3 wa simba watafunikwq na mchezaji namba 6 wa yanga...
  18. chiembe

    Mbunge wa Arusha, Mjini Mrisho Gambo atoa gari la kusafirishia maiti Jimboni kwake

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo ametoa msaada wa gari la kusafirisha mwili wa marehemu kwa wanajimbo wake. Hata hivyo, wana Arusha wameuponda msaada huo huku wakihoji kwa nini asipeleke madawa au magari ya Ambulance, na baadhi wametafsiri kwamba huo ni uchuro. Mmoja ya wachangiaji katika...
  19. Zekoddo

    Ni Samsung aina gani inabamba kwa Sasa mitaani huko mjini?

    Wadau nina bajeti ya 600k Hadi 800k mwisho, nahitaji Samsung inayobamba Sasa hvi huko mjini Darisalama, Ni aina gani ya Samsung. Wadau wa Samsung naomba mukije huku.
  20. Satoh Hirosh

    Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

    Jumapili fulani nilikuwa na rafiki yangu mmoja aliyepiga mshindo wa hela ya mahali tumepozi mtaani. Jamaa akaniambia yooh Satoh wacha tukatembee mahali mida ya jioni, nikamuuliza wapi anataka twende maana mimi ni mwenyeji hapa mjini, akajibu twenzetu kidimbwi. Nilisita maana sikutegemea kabisa...
Back
Top Bottom