mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. jastertz

    Kama Upo Tanga mjini Ni PM

    Hello wana JF! Kama wewe ni mdada na upo Tanga mjini lets connect, weekend ni raskazone na tanga beach kwa story za hapa na pale, kula kushiba usiwaze,
  2. Dalton elijah

    Kwanini Dkt. Tulia anataka jimbo la Mbeya Mjini ligawanywe mara mbili?

    Mhe. Sophia Mwakagenda ameuliza swali la nyongeza Bungeni kutaka kujua ni lini Serikali italifanyia kazi suala la kugawa Jimbo la Mbeya Mjini kwa sababu ya ukubwa wa Jimbo hilo na wingi wa watu. Ombi la kugawanywa Jimbo la Mbeya Mjini lilitolewa na Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia ni Spika wa...
  3. Victoire

    Alichopost Spika Tulia Ackson baada ya hoja yake kuhusu kugawanywa jimbo la Mbeya Mjini

    Huyu ndo Speaker/Rais wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ila nimeamini viongozi wetu ndo reflection ya wananchi. Speaker yupo hivi, wananchi je? Zaidi, soma: Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa
  4. Street brain

    Hivi kwanini makolo wakishinda fujo ni nyingi sana mjini

    Aisee, hawa Makolo kwanini wakishinda fujo ni nyingi town but young africans hatunaga huo ushamba,, yaani tunafanya slow but sure 🤣🤣 sisi ndio vidume sasa Narudia tena SISI NDIO VIDUME
  5. M

    Mbunge wa CCM badala ya kujadili kero za ugumu wa maisha, anashauri Mawaziri wajengewe sehemu za starehe. Hii ni aibu

    Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa raha ya faragha na kusababaisha waonekane hawana maadili.
  6. O

    DC Arusha mjini avunja ukimya kwa Gambo

    Arusha. Mkuu wa wilaya ya Arusha, Felisian Mtehengerwa amemtaka Mbunge wa jimbo lake Mrisho Gambo kutekeleza wajibu wake ndani ya halmashauri kuliko kubeba ajenda za ubadhilifu ili kujitafutia umaarufu wa kisiasa. Mtahengerwa amesema hayo leo April 19,2023 wakati akizungumza na waandishi...
  7. J

    Mkuu wa Wilaya Jokate akutana na wabunge wa Korogwe mjini na vijijini kujadili mikakati ya wilaya ya Korogwe

    Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mhe.Jokate Mwegelo mapema Leo hii April 17,2023 amekutana na Mbunge wa Korogwe mjini Dr. Alfred Kimea na Korogwe vijijini Timotheo Mzava ofisini kwake. Katika Mazungumzo ambayo yamefanyika kwa muda wa saa Moja wabunge pamoja na mkuu wa Wilaya wamejadili mikakati ya...
  8. Mufti kuku The Infinity

    Kuna Mrembo kutoka Afrika Magharibi anataka kunitapeli huko mjini Gmail. Ngoja tuone

    Thread was deleted
  9. Stephano Mgendanyi

    Juhudi za Alfred Kimea Zimeleta Mahindi Bora na ya Bei Nafuu kwa Wakazi wa Korogwe Mjini

    JUHUDI ZA DKT. ALFRED KIMEA ZIMELETA MAHINDI BORA NA YA BEI RAFIKI KWA WAKAZI WA KOROGWE MJINI Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Mhe. Dkt. Alfred Kimea, PhD wakati wa ziara yake jimboni alielezwa na wananchi juu ya changamoto ya ukosefu wa vyakula muhimu ikiwemo uhaba wa Mahindi na bei kuwa...
  10. T

    House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Nyumba inauzwa Tanga mjini, Kange 3 Masters Bedrooms na moja ipo ghorofani in sitting room. 3 Normal bedrooms. Car garage (parking) public toilet kitchen Siuting room & Dining room Mabanda 7 inje ( ya tofali kama vyumba) Frame ya Duka Gazebble Imezungushiwa ukuta na Gate Eneo size ni 2230 sqm...
  11. mdukuzi

    Mabinti wa mjini wanamaadili kuliko wa kijijini, kijijini hupoteza bikra zao wangali wadogo sana

    Kibao kimegeuka,kama ulitaka kuoa kijijini think twice. Maisha ya vijiji vingi ni magumu sana,mabadiliko ya tabia ya nchi yamefanya mavuno shambani kutoeleweka , milo mitatu vijiji vingi ni ndoto,chai hawaijui,njaa haina ubaunsa matokeo yake mabinti wa vjijini wameuza bikra zao kwa gharama...
  12. Nyuki Mdogo

    Kumbe huko mjini mnakula Kuku na Mayai yake na hamsemi😅😅

    Nimetoka kusikiliza songi la Harmonize Nakohoa nimeshangaa sana! mnawezaje kula Mtu na mwanae na bado ukawa Happy?
  13. Nakadori

    Nimeamini mjini akili tu

    Salama? Dah kila siku najifunza hapa duniani. NIMEAMINI MJINI NJOO NA AKILI TU, HATA USIPOBEBA NGUO UKIWA NA AKILI UTAZIPATIA MJINI. Sasa basi kuna mzee mmoja niliunganishwa nae anisaidie ishu moja hivi. Sasa bwana nikashangaa sana huyu mzee maisha yake yote anaishi hotelini. I mean kwa siku...
  14. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mhe. Dkt. Alfred Kimea Aahidi Kuwawezesha Vijana Wajasiliamali Korogwe Mjini

    MBUNGE MHE. DKT. ALFRED KIMEA AAHIDI KUWAWEZESHA VIJANA WAJASILIMALI KOROGWE MJINI Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Mhe. Dkt. Alfred Kimea, katika ziara yake aliyofanya jimboni amekutana na kufanya mazungumzo na vijana wajasiliamali wanaozalisha Kokoto, katika Kata ya Mtonga Mtaa wa Msambiazi...
  15. Top for B

    Foleni kubwa barabara ya kuingia mjini Mwanza asubuhi hii

    Kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo kuna daraja limejaa maji yanapita mpaka juu eneo la Mkuyuni sokoni. Foleni ni kubwa kuanzia mjini na upande wa kuingia mjini foleni magari yamesimama mpaka buhongwa, kama una plan ya kuja au kutoka mjini bora ukae kwako maana njiani...
  16. L

    Waislamu mjini Beijing waanza kukaribisha mwezi wa Ramadhani kwa kuandaa vyakula mbalimbali halali vya Beijing

    Na Pili Mwinyi Kuanzia Machi 23 yaani siku ya Jumatano, Waislamu kote duniani wanaanza kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani. Katika kipindi hiki Waislamu huwa wanajiegemeza zaidi kwenye sala na ibada ikiwemo kujizuia mambo yote yaliyokatazwa yakiwa ni pamoja na kula na kunywa wakati wa...
  17. Boss la DP World

    Msaada: Maeneo ya kupata appartment ya vyumba viwili kwa Tsh. 100,000 - 130,000 pembezoni mwa mji wa Morogoro

    Naombeni kufahamu maeneo yalio pembezoni mwa mji wa Morogoro (isiwe barabara ya kwenda Dodoma) ambayo naweza kupata appartment yenye vyumba 2 na sebule kwa bajeti ya 100,000/= mpaka 130,000/= kwa mwezi. Kuwe na usafiri wa uhakika kwenda mjini. Ahsanteni.
  18. Masanja

    Safari ya mwisho ya maisha-Kijijini au Mjini?

    Wanabodi hebu leo tutatazame kitu tofautI, Majority ya wengi wetu tumekuja mjini kutafuta maisha. Na hii ni kwetu almost wote, at least 90%. Na hii inasababishwa na ukweli kwamba fursa nyingi zipo mjini. Wengi tukifika mjini tunapambana na kufanikiwa. Wengine wanajenga majumba na kumiliki mali...
  19. Wakili wa shetani

    Niliikubali sana hii hustle ya mjini

    Siku moja milimtembelea jamaa yangu kwenye ofisi yake ya kuuza tisheti za mtumba. Yeye huwa anafungua mabelo. Sasa anachofanya, anatoa nguo nzuri anatundika pale ofisini. Zingine zinazobaki anaweka mezani watu wachague kwa bei moja. Labda bukubuku au buku mbilimbili. Ni nguo nzuri nazo, nilikuwa...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Stephen Byabato Mgeni Rasmi Mkutano wa CCM Bukoba Mjini

    WAKILI STEPHEN BYABATO(MB) MGENI RASMI MKUTANO WA CCM BUKOBA MJINI. Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Mhe. Stephen Byabato tarehe 12 Machi, 2023 alikuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bukoba Mjini. Kupitia Kikao Hicho Mhe...
Back
Top Bottom