Nyumba ipo Tanga Mjini Mitaa ya kisosora
*Room 4 (Kimoja master)
*Sebule
*Jiko
*Public Toilet
*Umeme✅
*Maji✅
Bei 65 milioni mazungumzo yapo...Kwa mteja Serious piga simu 0683703076 au whatsapp 0763316426
Naona hii tabia inaota mizizi kila uchwao siku baada ya siku tabia ya watu wa bara kujikuta ujuaji matokea yake mnaharibu kila kitu kama Utada poa nyie ni watu wa mwanzo kuuleta huku bara yaani mmeharibu dada zetu watu wa pwani yaani sio pos hawashikiki hata kidogo sababu ni yenu.
Baada ya kuja...
Yaani wanawake wapo wengi sana Kila Kona unakunana na mwanamke Tena sio mwanamke tu Bali ni mwanamke mrembo.
Kwanini utembee na mke wa mtu?
Yaani hakuna maumivu makali kama kuchapiwa mke wako amini hili.
Trauma anayoipata mwanaume kisaikolojia ni mara mia apigwe risasi ya trako.
Mkesha wa...
Watu tisa wamefariki dunia, wengine kadhaa kujeruhiwa katika mkanyagano uliotokea jana usiku nje ya Mall ya Freedom City mjini Kampala wakati wa kukaribisha mwaka mpya.
Mkutano wa Tano wa Vyombo visivyo na Rubani umefunguliwa mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China.
Mkutano huo ulifadhiliwa kwa pamoja na serikali ya mji wa Zhuhai, shirika la anga la China, na Kituo cha Utumiaji na Udhibiti cha UAV cha Chuo cha Sayansi cha China. Katika mkutano huo...
Mimi ni kijana nliehitim chuo mwaka huu nmeamua nijiajiri kuuza chips biashara hii nataka nikaifanyie Morogoro coz maisha yangu nataka nikaishi huko.
Naomben USHAURI kwa wazoefu na wenyeji wa mkoa wa Morogoro MJINI wanishauri chimbo linalo faa na kuchangamka
Tuendelee na mada zetu za kukera you know how much you know hahahahaha nyie si wazazi wenu si waliamini mjini msingi kiuno? Miaka Ile DDC Mlimani Park walikuwa hawakosekani?
Niwaambie kile kipindi wazazi wa wenzenu walikuwa wananunua Maplot huko kedekede hahahahaha.
Kwangu mimi sina haja hata...
Ni miezi miwili au mitatu sasa hakuna umeme wa uhakika kabisa, nijikite kwenye mada.
Wapi kwa Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, au kwingine ukiwa na kazi za ofisini kwenye laptop unaweza kwenda kufanya kazi zako pindi umeme unapokatika.
Maana yake wengine tutakufa njaa na kazi za watu...
Kuna mwaka nikiwah sikia Nemc walitoa tamko la swala la kumbi za starehe na mabar zifunge sound proof (vipuguza sauti na mitetemo) ktk Hizi kumbi ili kupunguza kelele ...
Sijui walifikia wapi ?
Aah nipo hapa Moro town kuna lounge inaitwa Star park inapiga mziki mkubwa mnooo yaan ni kelele tupu...
Mashindano ya kwanza ya roboti ya akili bandia yalifanyika jana mjini Xiamen, na kuvutia zaidi ya wanafunzi 1,000 wa shule za msingi na sekondari kutoka kila sehemu ya jiji hilo kushiriki.
Mashindano hayo limegawanywa katika vikundi vitatu vikiwemo vya watoto, shule za msingi na shule za...
Yaani nikikumbuka nacheka sana, kile choo huwa nasemaga sitawahi nije nikitumie kwa jinsi kilivyo kichafu, na kweli imekuwa hivyo miaka yote.
Ila bhana leo sijui imekuwaje, nilishikwa na tumbo la 5G halafu kile choo ndio the nearest, aisee, nimekitumia kwa furaha zoote, tumbo acheni nyie, aaagh!
Akijibu suala la kukatika kwa umeme, Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato aliwataka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufanya ushirikishaji wa viongozi waliopo katika maeneo ili kukubaliana ni maeneo gani ya muhimu kwa ajili ya kupeleka umeme ikiwemo yale ya uzalishaji.
Ninajiuliza sipati...
Kampuni ya nishati mpya ya Ruixin iliyoko wilayani Xinfeng mjini Ganzhou mkoani Jiangxi, China imejenga kituo cha umeme wa jua chenye uwezo wa kuzalisha megawati 30 za umeme. Seti 28 za vifaa vya kuzalisha umeme zinaweza kusafirisha kwa wastani umeme kilowati saa milioni 30 kwa mwaka kwenye...
Kwa hii hela mil 10 - 13, naweza kupata gari gani hapa mjini, hasa Toyota, ya kuzunguka Dar, mkoani kwenda mara 2 kwa mwaka? Ya mwaka gani?
Niagize au niende showroom? Showroom ipi haina uhuni, mfano kuuziwa gari chakavu!
Vigezo:
1. Sipendi saloon cars.
Ni baada ya mmliki mpya wa Twitter, Elon Musk kuweka chaguo la Kura kuwataka watumiaji wa mtandao huo kuamua Donald Trump arudi au asirudi.
Ndani ya saa 24 jumla ya Kura zilizopigwa ni 15,085,458. Kura 7,844,438 zimetaka Trump arudishiwe akaunti yake huku Kura 7,241,019 zikimkataa Rais huyo...
Jamii forum ina majibu ya kila swali , kuanzia maswali ya msingi mpak ya kijinga yote Yana majibu sahihi kupitia JF, mtandaoni sa hv ni vurugu mechi.
Kila Kona ni meme za "AFTATU " ndo zinatembea , daah kuuliza sio ujinga , ulianzaje na maana yake nn .... Kwa mwenye uelewa anitoe tongo tongo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.