mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Kikao cha kishirikina tunakaa leo jumapili, kupinga maji yasivuke mjini kabla ya wanakigamboni kusambaziwa

    Kigamboni hakuna maji ya bomba tangu Uhuru, neema ya kisima iliyopatikana inapelekwa mjini kabla ya wanakigamboni kupatiwa maji hayo kwanza! Malalamiko yamepelekwa kwa wahusika kwamba maji yasambazwe kigamboni kwanza kabla ya kupelekwa mjini, hawajatusikiliza! Tumeamua kufikisha ujumbe wetu...
  2. CIA mgumu

    Nipeni location nzuri ya kulala kwa Tarime Mjini

    Wakuu, habarini za Jioni humu ndani. Nipo njiani kulekea Tarime mjini naomba kupewa msaada wa hotel nzuri ya kupumzikia kwa budget ya Tsh.100,000/=kushuka chini yenye manthari mazuri ila kusiwe na bar humo ndani na palipotulia sana, now nipo maeneo ya nyumbani kwao na Kichele hapa. Kukiwa na...
  3. sanalii

    Kwanini wasambaa wanapenda sana kuongea kilugha hata mjini?

    Yani nikipanda gari, mara nyingi wasambaa ndo wanapenda kuongea , utasikia nzeze nzeze, shiingi ngahi, kwani lazima kuongea kilugha mkiwa mjini? Kwanini msiongee Kiswahili
  4. D

    Kigamboni haina maji inakuwaje yaliyopatikana yapelekwe mjini kabla ya wanakigamboni kupewa maji?

    Ifike sehemu viongozi muwe na aibu jamani na wakazi wa kigamboni hata kama niwapole! 1. Wananchi wa kigamboni wanaishi kama digidigi kwenye pantoni na hakuna kiongozi hata mmoja anaeguswa na hilo 2. Mabanda ya abiria kwenye pantoni hayana viti lakini hakuna anaejigusa Si Temesa, Si LATRA, Si...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Hivi unamchukuliaje mtu wa namna hii?

    HIVI UNAMCHUKULIAJE MTU WA NAMNA HII? Anaandika, Robert Heriel Hivi unamchukuliaje mtu ambaye kazaliwa mjini lakini hajasoma? Yaani kuna shule na vyuo vya kutosha lakini yeye hajasoma, yaani Hana hata elimu ya diploma wakati vyuo hivyo amezaliwa amevikuta. Hivi mtu wa namna hiyo...
  6. M

    Sugu hazuiliki Mbeya mjini

    Nimepita Nsalaga hapa namuona Mr. Two Maarufu kama Sugu akiwa na kundi kubwa la Vijana wakiwa wamezingira gari huku wakimuita Mbunge, Mbunge, Mbunge. Hata wale wenye bajaji zilizoandikwa Tulia Trust sijui ni mikopo ya Dkt. Tulia hii nao wapo hapo na Sugu wakimgongea tano. Huyu bwana anapendwa...
  7. L

    Beijing: Maonesho ya mafanikio ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) yafanyika siku chache kabla ya mkutano mkuu

    Zikiwa zimebakia siku chache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa Chama cha Kikomnisti cha China (CPC) maonyesho mbalimbali yameandaliwa jiji Beijing ambayo kwa sehemu kubwa yanaonyesha mafanikio ya utawala wa chama hicho ndani ya muongo mmoja uliopita. Maonyesho hayo yenye kauli mbiu isemayo...
  8. L

    Wazee wafurahia huduma ya chakula mjini Hefei, China

    Kampeni ya kutoa huduma ya chakula kwa wazee wanaokumbwa na tatizo la maisha imefanyika katika eneo la Luyang mjini Hefei, China. Migahawa 36 imefunguliwa katika eneo hilo, na kila mzee anaweza kupata ruzuku yuan 100 hadi 200 (sawa na dola 14 hadi 28 za kimarekani) kwa mwezi kulingana na hali...
  9. aka2030

    Mjini fm ni redio ya nani?naona inatishia uhai wa redio nyingi hapa jijini kwa sasa

    Hawa jamaa kwa sasa ni noma Naona wanakasi nzuri naomba kujua mmiliki wake
  10. T

    Mazishi ya mfanyabiashara na mwekezaji Hilal Hamad maarufu 'Phantom' yafanyika Mjini Shinyanga

    Mazishi ya aliyekuwa Mfanyabiashara na mwekezaji mzawa wa mkoa wa Shinyanga Hillal Hamad maarufu kwa jina la Phantom, yamefanyika leo Jumanne tarehe 04,10,2022, kwenye makaburi ya Waislamu yaliyopo Nguzonane katika Manispaa ya Shinyanga. Mazishi ya Mwekezaji huyo ambaye pia alikuwa ni kada wa...
  11. MakinikiA

    Baada ya Korea Kaskazini kurusha kombora, Korea Kusini wajibu lakini kombora lashindwa kupaa

    Marekani na Korea Kusini warusha makombora kuijibu Korea Kaskazini Korea Kusini na jeshi la Marekani wamerusha kombora baharini, Seoul inasema, ni hatua ya kujibu Korea Kaskazini kurusha kombora juu ya Japan. Makombora hayo yalirushwa katika Bahari ya Mashariki - pia inajulikana kama Bahari ya...
  12. Jemima Mrembo

    Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

    Habari zenu wana nzengo? Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko. Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na...
  13. Lycaon pictus

    Hivi umeme ni huku bush niliko au na huko mjini?

    Sasa siku imepotea tena. Hapa kurudi ni saa 12 jioni. Huu ni ubabaishaji.
  14. Mohamed Said

    Kumbukumbu ya Mpigania Uhuru na Muaisisi wa TANU Moshi Mjini Kituo Cha Mayatima Cha Halima Selengia (1919 - 2013)

    Marehemu Bi. Halima Selengia aliyefariki dunia mwaka wa 2013 akiwa na umri wa miaka 94 alikuwa kati ya waasisi wa TANU mwaka wa 1954 na mmoja wa wanawake waliokuwa mstari wa Bi. mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Bi. Halima Selengia anaingia katika kundi la akina mam wapigania uhuru...
  15. J

    Rais Samia kumaliza changamoto ya huduma ya maji mjini Mtwara

    RAIS SAMIA KUMALIZA CHANGAMOTO YA HUDUMA YA MAJI MJINI MTWARA Serikali imetoa shilingi bilioni Kumi na Tisa kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Mtwara (MTUWASA) ili kufumua mfumo wa usambazaji wa maji ambao ni chakavu na kuweka mpya. Hatua hiyo itataua kero ya upatikanaji wa...
  16. Slowly

    Video : Tayari goma la TRAB na TRAT limeingia mjini..!!

  17. Z

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Habarini ndugu zangu, Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho (i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
  18. jashmoe32

    Msaada wa Lodges Geita Mjini

    Heshima Kwenu Mwenye kujua lodges au gesti nzuri zilizopo Geita mjini na bei yake nitashukuru. Pia nitashukuru msaada wa namba za hiyo lodge kama mnazo. Ahsante
  19. Google Diggers

    Tabia mbaya makondakta daladala za Bunju kuja au kuelekea mjini

    Haina haja ya salamu. Hawa wavaa vibaya na wasema hovyo wanatabia nyingi mbovu. Hapa nielezee kidogo nauli. Wandugu kama hujui bei watakukanyaga watakutoza kiasi wanachotaka wao. Kabla mafuta hayajapanda Kwa sababu za vita ya Ukraine vs Russia nauli ilikuwa 750 kutoka pande zote za mbali. Hapa...
  20. Prakatatumba abaabaabaa

    Kigoma mjini kuna fursa za maisha kweli? Naiona Kasulu ikiipita kigoma mjini

    Hivi inakuaje mkoa uliozungukwa na Congo na Burundi kuwa chini vile? Singida wasemaje? Nilipata fursa ya kutembelea mji wa Kigoma wiki iliyopita nikaanza na Nyakanazi, Kibondo, Kasulu, Manyovu na Kigoma mjini. Kuanzia kibondo mpaka kasulu ni vumbi la kutosha na kuna Kilometer Nyingi saana...
Back
Top Bottom