Kama wewe ni muajiriwa, na una watoto wanne nakuendelea, na unaishi mjini, fanya yafuatayo:-
Tafuta chanzo kingine cha mapato, iwe biashara, udalali n.k
Tafuta shamba ulime, au nunua chakula kwa wingi pale kinapokuwa kimeshuka bei na uweke stock, ili kuweza kupata chakula cha kutosha; haya...
WAKATI uchanguzi ndani ya chama cha mapinduzi ccm ukitarajiwa kufanyika wiki ijayo kwa ngazi ya wilaya,katibu wa Itikadi na uenezi wa chama hicho manispaa ya moshi,seleman Aman anazongwa na mikasa mbali mbali ikiwamo kudaiwa kuendesha biashara ya vinywaji baridi na kisha kuondoka kwenye nyumba...
Septemba 12, Zhengzhou, samaki wanaolishwa kwa chupa wameonekana katika bustani ya wanyama mjini Zhengzhou China. Wafanyakazi waliweka chakula cha samaki kwenye "chupa za kuwalisha" kwa fimbo ndefu. Watalii wanapoweka chupa ndani ya maji, samaki wengi wanagombea chakula.
Kichwa cha habari kinajieleza. Natafuta Nike Air Jordan ndefu. Najua Original siwezi bei au ata kuipata ikawa changamoto lakini angalau inayoendana endana na "uorijino".
Ndio nishacheki za wakina Robby Fashion na David Sports wear zile za 35 naona plastic kabisa.
Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwa na wimbi kubwa la Imani potofu ambayo watu kutoka nje ya kisiwa Cha Pemba wanaifanya iendelee kuota mizizi siku hadi siku. Hiii ni kutokana na baadhi ya watu kuamini kuwa Pemba ndio kitovu au zizi la itikadi za matendo ya kishirikina hali ambayo imekuwa...
Mwenyekiti CCM wilaya Shinyanga Mjini, Bwana Abui, unamchafua na unatumia jina la Mh. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano vibaya kwa maslahi ya nani? unaeneza siasa za udini kwamba Mwk wa CCM taifa anataka waisilam wachaguliwe kwa asilimia kubwa ili wampitishe 2025 kwa kura nginyi...
Habari wana jf, asalaam aleykum Muslimina.
Nianze moja kwa moja suala langu, nimekuwa na utaratibu wa kuomba overdraft miaka 4 iliyopita kiasi cha shilingi million 15.
Nimekuwa nikichukuwa kutumia fedha hizo kwa shughuli zangu za biashara ya mpunga na mahindi pamoja na korosho, kama kawaida...
26 August 2022
Tunis, Tunisia
MKUTANO WA TICAD
Mh. Kassim Majaliwa yupo mjini Tunis akimwakilisha rais wa Jamhuri ya Muungano ktk mkutano wa TICAD
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akipokewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe. madame Najla Bouden Romdhane katika uwanja wa ndege wa Carthage, jijini...
Habari wakuu,
Kumekua na hii tabia inayokuwa kwa kasi inayofanywa na wadada wanaofanya kazi za nyumbani. Tabia ambayo imegharimu na inaendelea kuwagharimu watu, hivyo wanajamvi muwe makini na watu hawa mnaowachukua kwa lengo la kusaidia kazi za nyumbani.
Iko hivi, utakuwa na uhitaji wa kupata...
Agosti 10, 2022, katika mji wa Hefei, eneo la makazi la Hupotan lilishirikiana na kituo cha huduma za matibabu katika mtaa wa Hupo kutoa huduma ya kupima afya kwa wazee, ambapo watu wanaojitolea na madaktari waliwatembelea wazee wenye umri mkubwa na kuwapima afya nyumbani kwao.
Chumba cha sanaa cha "Stone House" kilichobadilishwa kutoka handaki lisilotumika la kujikinga na mashambulizi ya anga huko mjini Chongqing, China kimewavutia watu wengi kupiga picha. Handaki hilo lenye urefu wa mita 68 na upana wa mita 3.2, ni sanaa iliyoundwa na picha, uchoraji, taa, nk.
Hali...
Agosti 9, 2022, katika mji wa Meishan mkoani Sichuan China, wanawake wanashiriki kwenye mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba katika shule ya mafunzo ya kisiasa katika Kaunti ya Renshou.
Kuanzia mwaka 2022, serikali ya wilaya ya Renshou ilitegemea vituo vya mafunzo ya ustadi wa utunzaji nyumba na...
Agosti 8, 2022 watoto huko Nantong mkoani Jiangsu China walijifunza ujuzi kuhusu kilimo katika uwanja wa mazoezi wa “shamba la furaha” katika kijiji cha Hangqiao mjini Rugao. Kwenye mapumziko hayo ya majira ya joto, shamba hilo lilifunguliwa bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, na...
Matumaini yangu u mzima wa afya.. mimi ni kijana wa kiume kwa sasa naishi Iringa mjini, Kihesa ila bado sio mwenyeji sana wa hapa.
Dhumuni la andiko langu ni kuwaomba wakazi na wenyeji wa Iringa mjini kunisaidia kujua fursa yoyote inayopatikana hapa Iringa mjini itakayoniwezesha angalao mkono...
Kila mwaka maelfu ya vijana wanahitimu masomo yao katika vyuo mbalimbali ila changamoto imekuwa kwenye kupata ajira.
Mfumo wa nchi hii kama hauna mtu yeyote wakukuunganisha na sekta yeyote aiseeeh utasota sana kupata ajira hata kama utakuwa na vigezo kupita wengine.
Nina kaushuhuda kangu haka...
Yaani anakujaza upepo unaingia kingi unamtukana hadharani anakuangalia tu.
Sekretariate inakupeleka kamati ya nidhamu.
Unaibuka kuwa hukumtukana
Anakupigia simu kuwa njoo home tuyamalize.
Unaenda nyumbani kwake kama bibi harusi ukiwa na mshega,unakaribishwa juice mtoto wake anakupiga picha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.