mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwenye kuzielewa Submeter za Umeme aje hapa

    Habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kuhusiana na submeter ambazo zinaonesha ni kiwango gani mpangaji anatumia umeme, Je zinafanyaje kazi?, je zipi ndio nzuri na ni brand gani ndio imara zaidi? Wapi zinapatikana na gharama yake ikoje?
  2. D

    Natafuta mke

    Habari wana JF, Natafuta mwanamke ambaye yupo tayari ku settle na kuwa mke wangu halali na kujenga familia pamoja. Sifa za huyo mwanamke ziwe kama ifuatavyo: Mwenye hofu ya Mungu Anayejielewa na mwenye nia ya dhati ya kuwa na mume Elimu: KUANZIA DIPLOMA na kuendelea Awe na shughuli halali -...
  3. E

    SoC03 Niende kijijini, ama nibaki mjini?

    Kuzaliwa mjini, sehemu ambayo imetawaliwa na usasa inaweza kuonekana ni bahati kwa wengi. Hii ni kwa sababu ya urahisi wa kupata vitu vingi ikiwemo huduma, taarifa na kadhalika. Lakini kwangu mimi sizioni faida hizo. Kwangu kuwa mjini ni kitu kinachoitesa sana akili yangu. Sio bahati. Kabisa...
  4. IRINGA MJINI: Wafanyabiashara wagoma kufungua maduka na biashara zao kupinga uonevu wanaofanyiwa na Manispaa ya Iringa

    Leo tarehe 15.06.2023 wafanyabiashara wa Iringa mjini wamegoma kufungua biashara zao baada ya askari wa manispaa ya Iringa jana kuvunja na kuharibu biashara zao kwa kuvunja vibaraza vya maduka. Jambo hilo limeharibu mali zao wafanyabiashara na pia kufungwa kwa biashara kumesababisha kukosekana...
  5. ACT Wazalendo wakosoa Machinga kuondolewa mjini

    CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema hakikubaliani na uamuzi wa kuwaondoa wafanyabiashara wadogo (machinga) katikati ya mji badala yake serikali inatakiwa kutenga maeneo ambayo yana watu wengi kwa ajili ya kundi hilo kufanya biashara. Katika mkutano uliofanyika jijini Mwanza jana, Kiongozi wa chama...
  6. I

    SoC03 Jinsi ya Kuboresha Elimu na Kusoma Katika Mazingira Magumu Mjini na Vijijini

    Elimu ni ufunguo wa maendeleo binafsi na maendeleo ya jamii kwa ujumla. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi katika kutoa elimu bora, hasa katika mazingira magumu mjini na vijijini. Hali hii inaweza kusababishwa na ukosefu wa vifaa vya kujifunzia, walimu wenye ujuzi mdogo, na mazingira ya...
  7. Wadau naomba kujua sehemu za starehe zenye pisi kali Tanga mjini

    Wasalaam, Habarini wajameni, kwa wiki mbili ntakuwa safarini tanga got some friends from Ethiopia, Europe and Uganda a crew of 15 Baharia tunafanya regionwise city beak travels, and our exploring trip bogins with tanga, naombeni kujua maeneo recent yenye vyombo vikali. Hawa wageni nataka...
  8. Yale makelele yote ya mjini ameyazima Rais Samia

    Baada ya ndugu zetu uto kufanikiwa kushinda ubingwa wa medali na kisha kualikwa chakula cha jioni na Rais Samia. Makelele yalikuwa mengi ohhhhh tumealikwa na mama sisi ndio timu ya taifa mablabla mengi. Baada ya kula ubwabwa na kupongezana kwa sana, sherehe ikaharibika mwishoni kabisa...
  9. B

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya wa Tabora Mjini apinga kustaafishwa

    Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tabora mjini Bw. Komanya Erick Kitwala apinga uamuzi wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumstaafisha bila kumpa sababu . Kesi aliyofungua Komanya Erick Kitwala ilisikilizwa mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania ambapo pia Komanya Erick Kitwala anataka arudishwe...
  10. Boxer BM 100cc na madereva bodaboda wa kanda ya ziwa hasa Bukoba na Mwanza mjini

    Habari zenu wadau. Last week nilikuwa pande za Kagera (Bukoba) na viunga vyake pia nilipita na jijini Mwanza (Mwanza town). Nikiri kuna mengi nilijionea ila la kushangaza ni madereva wengi wa bodaboda kutumia pikipiki za Boxer BM 100cc katika harakati zao za kuingiza kipato. Tofauti kabisa na...
  11. M

    Nina wasiwasi kuna Bia za kuchakachua hapa mjini

    Sina nia ya kuwatisha wanywaji wenzangu wa bia. Lakini nimekuwa ninafanya ulinganifu ninapokunywa bia nikiwa Kenya na nikiwa Tz. Mfano ladha ya Heineken ya Kenya ni tofauti . Pia Heineken ya sehemu kama Serena hotel au Supermarket kubwa unakuta ina utofauti wa Ladha na hata harufu na...
  12. Nliingizwa Mjini kizembe sana. Nikajutia sana gharama zangu

    Basi miaka ya nyuma ilitokea nikawa na rafiki kwenye mtandao. Huyo dada alikuwa anaonekana mambo mazuri sana. Tunachat n.k na alibahatika kupata rangi ya mitume wengi. Basi tukadumu na kupeana mawasiliano ya simu. Na simu za hapa na pale zikawa zinapigwa. Basi mwezi wa pili nikaona si mbaya...
  13. Mbunge wa Makete Amshukuru Rais Samia Kwa Fedha za Kuboresha Elimu na Taa za Barabarani Makete Mjini

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Makete Festo Sanga ameandika ujumbu wa kumshukuru Rais Samia kwa kujibu kwa vitendo ombi la Wana-Makete la kuboresha zaidi miundombinu ya Elimu pamoja na barabara za mji wa Makete la kuwekewa taa zinazoongeza usalama na kuwezesha kuendelea kwa shughuli...
  14. B

    Wapi kuna Barber shop nzuri Arusha mjini

    Naomba kufahamu Barber shop nzuri Arusha mjini.( Wanaozingatia usafi wa hali ya juu, wenye customer care nzuri na wanaonyoa vizuri)
  15. OMBI: Mbunge wa Mbeya mjini, Kata ya Iyela haina maji wiki ya tatu sasa!

    Kwako Tulia Ackson, Wananchi wa kata yako ya Iyela inayoongoza kwa kukupa kura nyingi kwa wabunge wa ccm haina maji takriban wiki ya tatu! Hivyo kama umamua hutagombea 2025 kaa kimya ILA kama ndiyo wewe utagombea naomba ufwatilie swala la maji mana wanachi wako wanateseka! By Msemaji wa wasio...
  16. Wanzibari igeni Bara kuondosha makelele Mjini (noise nuisance)

    Zanzibar is a tourist destination, however the level of noise is intolerable. Nimelala hapo Maisara kesho yake nikafungisha virago. Makelele ya miziki toka hizo kumbi za CheCheMe Maisara, Kilimani, Gofu na Gynkana Club ni shida, tena washindana. Pili milio ya bodaboda usiku kucha ni kero...
  17. Hizi ndizo kazi ambazo mtoto wa mjini hawezi kuzifanya...

    ~kondakta wa daradara < hawezi kupiga kelele > ~kusaidia fundi < wanaita kazi ngumu> ~kuuza duka <hawawezi kukaa sehem moja> ~biashara mtandaoni < wanakwambia utapeli> ~udereva < wanaogopa ajari > ~kuuza mishkaki,chips,ndizi,karimati,mihogo,migahawa <biashara ndogo hutoboi> ~kilimo hakilipi...
  18. Leo mtu mmoja atolewa katika kifusi cha udongo mjini Antakya nchini Uturuki; yupo hai baada ya miezi 3 tangu kutokea tetemeko la ardhi

    Leo huko Antakya, Uturuki Mtu huyu alitolewa nje. Kutoka chini ya vifusi vy concreti alikuwa hai, miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi kutokea Uturuki, SubhanaAllah Yeye Allah ni muweza wa kila kitu. ======== Taarifa hii si ya kweli. Pata taarifa zaidi katika Jukwaa la JamiiCheck kupitia...
  19. Jumaa Aweso: Hali ya upatikanaji wa maji mjini yafikia asilimia 88

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Maji kwa Mwaka 2023/2024 ambapo amesema hali ya upatikanaji wa huduma ya maji Mijini imeongezeka kutoka wastani wa asilimia 86.5 mwezi December, 2021 hadi wastani wa asilimia 88 mwezi Desemba...
  20. J

    Chonde chonde Rais Samia, wakulima hatutaki kurudi tena kuuza mahindi kilo 200, nasi tutakuja huko mjini

    Habarini wadau, Nimeona watu mtandaoni wakilalamika kuwa serikali ifunge mipaka ili wakulima tukose sako, na mazao yetu yashuke bei. Namuomba Rais asikubali na hii hoja, sababu hivi sasa wakulima tunauza mahindi kilo 500 hadi 600 huku shambani. Huko mjini unga nasikia haujashuka bei, kama Dar...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…