Wiki iliyopita, niliamua kutoka nje ya mji kidogo kwenda kujipumzisha.
Nilipofika huko, nikawa natafuta nyumba ya wageni iliyojificha, ili nipate utulivu wa kutafakari, maisha ya hapa duniani.
Kuulizia nafasi, zimejaa; nikaenda nyingine tena kama tatu, zimejaa; daah, nikatamani nirudi mjini...