mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Una ushauri gani kwa Binti anayeanza maisha mapya mjini?

    Hi. Ushauri gani unaweza kumpa binti aliye in her early 20s ambaye anajiandaa kuhamia mji mkubwa kwa mara ya kwanza, kujihusisha na kazi ya waitress asiye na exposure ya maisha yoyote? Anajiandaa kuishi mbali na wazazi, kukutana na mazingira mapya, watu wapya, marafiki wapya, na hali mpya...
  2. K

    Rais Samia ikumbuke kata ya Ijuganyondo iliyopo Manispaa ya Bukoba Mjini, inakosa huduma muhimu za kijamii

    Mh Rais ikumbuke kata ya IJUGANYONDO iliyopo Manispaa ya BUKOBA MJINI maana kata hiyo Ina changamoto nyingi sana. Yaani huduma za kijamii hazipo katika kata hiyo.
  3. B

    Utekelezaji wa ilani ya ccm 99% imetiki nje ndani moshi mjini

    UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM 99% IMETIKI NJE NDANI MBUNGE WETU PRISCUS TARIMO AMEKUWA MSIMAMIZI IMARA WA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MDANI YA JIMBO LA MOSHI MJINI. MBUNGE WETU AMEPIKWA VEMA NA CCM KUANZIA UVCCM KISHA KUWA KIONGOZI WA KADA TOFAUTI NA HII IMEMFANYA MBUNGE WETU KUWA BORA. HATUNA...
  4. K

    Hivi hiki Kiberiti Toyota Vits Engine 1 KR CC 990 vipi uimara wake kwa matumizi ya Mjini

    Natumai mpo vyema nyote wanajukwaa.Naombeni msaada kwa mwenye uzoefu na hivi VIBIRITI a.k.a BABY WALKER😁😁 Toyota vits ya 2013 engine 1KR CC 990. Natafuta kigari cha kuagiza Japani ila nimezurura huko beforward nimeona kukiagiza kanachezea millioni 8 na vichenchi kadhaa mpaka hapo Daslam...
  5. To you my love "Tumbili wa mjini"

    My Heart Beats for You, My Charming Tumbili 🌟 Dearest Tumbili wa Mjini, From the moment your mischievous smile lit up the chaos of this city, my world has never been the same. You swing into my thoughts like moonlight dancing on skyscrapers—unexpected, magnetic, impossible to ignore. Mpenzi...
  6. Kesho vurugumechi zinarejea mjini

    Mliokimbizwa kea nguvu na mliokimbia kwa hiari karibuni tena.. Najua mlipamisi sana hasa pale kati.. Leo mitaa ilikuwa tupu na barabara hasa za kuelekea na kutoka Airport ilikuwa raha tupu Hakuna watu Hakuna bodaboda Hakuna gari za mizigo Na kama vilikuwepo ilikuwa kwa uchache mno Wendawazimu...
  7. Pitia video hii, ili ujifunze taratibu na Sheria za kuingia na ukuli wa Moshi Mjini.

    Karibu!
  8. Utalii wa Mikutano ndio habari ya mjini!

    1. Kama Taifa tunaelekea pazuri kwenye Utalii wa Mikutano ya Kimataifa. 2. Waziri wa Utalii na Mambo ya nje hawapaswi kulala kusaka hizi fursa za watalii wenye pesa kwa mfano hawa Energy summit waandaliwe trip ya kwenda Zanzibar, Bagamoyo, Ngorongoro.
  9. Tuliwaambia kuwa bodaboda na Bajaj sio kazi mkabisha. Sasa ingia mjini na bodaboda yako ndipo utajua kuwa bodaboda ni taulo la chama pendwa

    Sasa bodaboda au Bajaj hawaruhusiwi hata kuonyesha pua mjini maeneo maalumu yaliyotengwa. Ukipenyapenya kwa ujanja ujanja ukidakwa utajuta kwanini ulizaliwa. Oyaa tafuteni kazi nyingine. Kufa kama nzi mnakufa Bima ya afya hamna Michango kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii hamna . Amkeni.
  10. Pre GE2025 Davis Mosha kugombea Ubunge Jimbo la Moshi Mjini kupitia tiketi ya CCM

    Utangulizi; Ninapenda kuwajulisha rasmi kwamba Davis Mosha, ambaye ni bilionea na mfanyabiashara maarufu, atagombea ubunge katika jimbo la Moshi Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba 2025 Hii ni hatua muhimu kwa ajili ya maendeleo ya jimbo letu...
  11. Barabara ya Usagara - Mwanza Mjini KM 25 Kujengwa kwa Njia Nne

    BARABARA YA USAGARA - MWANZA MJINI KM 25 KUJENGWA KWA NJIA NNE Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi inachukua hatua za haraka kushughulikia msongamano wa magari kwenye Barabara Kuu kutoka Mwanza Mjini hadi Usagara kwa kuijenga kwa njia nne. Ulega...
  12. KERO Leo mjini foleni balaaa

    Kama unakuja mjini posta , daaa Leo ni huzuni Kuna foleni sio poa, gari hazitembei.. Kama umechelewa kazini, park gari lako request bolt uwahi ofisini
  13. R

    Pre GE2025 Kauli ya Lema kutogombea ubunge Arusha mjini ni Mbinu tu ya kisiasa!

    Hellow! Matokeo ya Uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA ndio yataamua ikiwa atagombea au HATOGOMBEA. NB: Mto wenye kina kirefu mara nyingi maji yake Kwa juu Huwa yametulia, lakini Kwa ndani! Muda ni mwalimu. Tusubiri.
  14. Kimodoi (Juston) Unafanya kazi kubwa sana , naomba uje ugombee Ubunge Bukoba Mjini.

    James Kimodoi Njoo uchukue Jimbo Bukoba mjini. Kijana kimodoi kutoka Texas nchini Marekani tunakuomba uje uchukue Jimbo Bukoba mjini . Tunahitaji Kijana Mzalendo na mchapa Kazi na anayejitambua. Wananchi wanakuhitaji wewe tu
  15. Kama unamtoto wa kiume hadi leo anaishi kwako na hataki kuoa fukuza akajenge mjini wake

    Kuna wazazi wanawalea watoto wao wa kiume kimayai sana! Yani mpaka leo anakaa naye nyumbani. Na kijana anakazi yake inamlipa fureshi, sasa cha kushangaza kijana wa kiume hata kuoa hataki. Hana maana huyo, wewe kama baba mfukuze nyumbani kwako, naye akajenge mjini wake.
  16. Mbowe vs Lissu = Mtoto wa mjini VS Bushman.. Wewe upande Upi?

    Nianze Kwa kukutoeni wenge. Siasa ni mchezo mchafu. Hakunaga mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili ya watu wengine. Kila mwanasiasa yupo Kwa ajili ya maslahi Yake binafsi. So kama una Amini Kuna mwanasiasa ambae yupo Kwa ajili yako Basi jua wewe bado mtoto mdogo. Mbowe yupo Kwa ajili ya maslahi...
  17. Car4Sale Gari inauzwa Mbeya mjini

    Gari aina ya crown inauzwa mbeya mjini kwa maelezo yooote,,, Call this number 0756944830 Au 0629903097..
  18. Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini aweka historia Mitaa ya Kata ya Miembeni

    MBUNGE WA MOSHI AWA GUMZO MITAA YA MIEMBENI UTANGULIZI Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Moshi Mjini Mhe. Priscus Tarimo amekuwa gumzo katika mitaa mbalimbali ya Miembeni na Njoro baada ya kuhudhuria misiba miwili iliyokuwa jirani na kufanya jambo lililotafsiriwa kuwa sio la kiungwana...
  19. Pre GE2025 Maringo Mia Moja ya Rais Samia na Mbunge wa Bukoba Mjini, Stephen Byabato 2020 - 2025

    MARINGO MIA YA MHE. DKT. SAMIA NA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI WAKILI STEPHEN BYABATO 2020 - 2025 Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato anamshukuru sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwezesha Miradi Mikubwa na ya kimkakati...
  20. Pre GE2025 Musiba: Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ni mkweli mno

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio kizuri kwa kiongozi wa ngazi ya Kitaifa. Soma, Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…