Wakuu,
Ukifanya mipango inabidi ucheze vizuri karata zako usiwe 'too obvious' kama Wazaramo wanavyosema. We ulisikia wapi maadamano ya kusifia juhudi za 'Mama' yanapingwa tena karibia na mikutano/maandamano ya upinzani kupinga mkataba wa DP World?
Ikifika tar. 22 mtaona, wataambiwa hamuwezi...
UTANGULIZI.
Maafa ni madhara yanayotokana na janga ambayo yanajumuisha uharibifu wa mfumo wa kawaida katika jamii ambao husababisha vifo, majeraha, madhara ya kisaikolojia,, upotevu au uharibifu wa mali, mifumo mbalimbali ya kiteknolojia na huduma za kiuchumi na kijamii au mazingira, ambapo...
MADINI MKAKATI YAJADILIWA MKUTANO WA 9 WA EITI
Mkutano wa Kimataifa wa Asasi ya Kimataifa ya Uwazi na Uwajibikaji (EITI – Extractive Industry Transparency Initiative) uliofanyika Jijini Dakar nchini Senegal kuanzia tarehe 13 -14 Juni 2023 umejadili fursa mbalimbali kwenye Sekta ya Madini...
SERIKALI YAJA NA MPANGO MKAKATI WA KUMLINDA MKULIMA WA KOROSHO NCHINI.
Serikali kwa kushirikiana na Sekta binafsi imeendelea na jitihada za kuimarisha bei ya korosho nchini kwa kufufua viwanda vya kubangua korosho pamoja na kuanzisha viwanda vipya sambamba na kuanzisha kongani la viwanda...
Heshima kwenu wanajamvi,
Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika.
Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE.
Rais Samia...
Masikio yote ya watanzania yako DODODMA cha kushangaza kuna maandamono ya wanayanga kupokea timu yao, nchi inauzwa wewe unashangilia yanga seriously.
Badala ya kuketi kwenye TV uone mjadala wewe umeenda barabarani. hisia zangu zote zinaniambia huu ullikuwa ni mpango maalumu lakini pia ni...
Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng: Rogatus Mativila akitoa taarifa fupi ya mradi huo amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) ilitenga fedha kwa ajili ya kuboresha Barabara hiyo ikiwa ni sehemu ya Mkakati wa Serikali wa kuboresha mtandao wa...
KUNA Tetesi zinaenea bungeni kuhusu wabunge kutaka kumwajibisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kukithiri kwa vitendo viovu ndani ya Serikali na kama msimamizi mkuu wa SERIKALI hajachukua hatua zozote.
Miongoni mwa wabunge wanadai suala la Mbarali lazima litang'oka na Waziri Mkuu...
Moja ya mkakati unaotumiwa sana ni kutumia njia ya kujiweka mbali ili adui yako hasikufikirie zaidi. Na kwa ujumla mkakati huu nawaza pengine unatumiwa na vyama vya upinzani kuizubaisha CCM wanavyomchukulia Hayati Magufuli. Kama ndivyo basi CCM.
Machoni mwa wengi sana Hayati Magufuli ni shujaa...
Binafsi, kwa mtazamo wangu ukiachana na gharama kubwa za uendeshaji wa Serikali za majimbo kwa maana ya kwamba mpaka Serikali inaitwa serikali inakuwa ni mamlaka kamili yenye kujitegemea kwa kila kitu. Na kama tutaamua kufuata utaratibu unaotumiwa na Marekani wa kila "state" Ina serikali yake...
Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA), Khadija Said (watatu kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya “10 na Kitu” ya Benki ya CRDB inayolenga katika kuadhimisha miaka 10 ya huduma za CRDB Wakala. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Wateja Wago na wa Kati wa Benki ya...
Serikali wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro, imesitisha shughuli zinazofanywa na shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana la Kilimanjaro Youth Network baada ya kubainika kufundisha na kufungisha vijana ndoa za mapenzi ya jinsia moja tofauti na usajili wa shirika hilo.
Chanzo...
Msingi wa vyama vyote siasa Duniani umezaliwa ubavuni mwa vyama vya wafanyakazi. Kwa sababu kundi la vyama vya wafanyakazi wote wanakua wamesoma na werevu, ndio kundi la kwanza kuona ukandamizaji katika jamii, na kuanza kutoa elimu kwa jamii.
Vyama vya wafanyakazi mara nyingi kazi ngumu ya...
Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni CCM na CHADEMA tu? ACT Wazalendo ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini?
Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine?
Au bado zile pesa...
Mawaziri wa Afya wa nchi 5 ikiwemo Tanzania, Rwanda, Sierra Leon, Ethiopia na Jamhuri ya Afrika ya Kati wamekutana na kuweka mkakati wa kutoa mafunzo rasmi angalau ya mwaka mmoja, hatimaye kuajiri Wahudumu wa afya ngazi ya jamii kwa ajili ya kuimarisha Huduma za Afya ya Msingi.
Haya...
Unapokwenda kwenye negotiation lazima ukubali baadhi ya Haki zako kulingana na terms za majadiliano.
Serikali chini ya CCM imeridhia na imethibitika hivyo kwamba mambo yafuatayo yakifanyika kama chadema walivyotaka basi nchi itakuwa tulivu;
1. Ruzuku ilikuwa Haki ya CHADEMA kulingana na wingi...
Ikiwa Serikali imeongeza bajeti ya Kilimo ya mwaka 2022/23 kwa 317% huku ikilenga kupanua eneo la umwagiliaji hadi hekta Milioni 8.5 ifikapo 2030. awamu ya sita iko kazini kuiwezesha sekta ya kilimo kukua na kuzalisha mbegu bora nchini, ili kuhakikisha usalama wa chakula wakati wote.
Serikali...
Jana katika simulizi ya kukimbia nchini baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2020, tuliona Mbunge wa zamani wa Arusha Godbless Lema, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Jacob Boniface walivyokamatwa kwa tuhuma za kuhamasisha wananchi wafanye vurugu, kuharibu mali na kudhuru...
Wakati maandalizi ya kumpokea mbunge wa zamani wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema anayetarajia kuwasili nchini Machi 1 mwaka huu, akitokea nchini Canada alikokimbilia baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, mwanasiasa huyo ameeleza Canada haikuwa miongoni mwa nchi alizotaka kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.