Jana katika simulizi ya kukimbia nchini baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2020, tuliona Mbunge wa zamani wa Arusha Godbless Lema, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Jacob Boniface walivyokamatwa kwa tuhuma za kuhamasisha wananchi wafanye vurugu, kuharibu mali na kudhuru...