DR. MARCO MKALI, MARCO CHIZI KIDOGO
Alipita Metro studio, Serious Records, Kama kawa Records mpaka alipotuliza majeshi MJ RECORDS na kufanya kazi na mkubwa Master Jay huku pia akiwavuta wadogo zake; Daxo Chali (Daxo Cha) na Za Chali (Zacha)
Chali amefanya kazi na wasanii TOFAUTI lakini...