mkapa

Benjamin William Mkapa (12 November 1938 – 24 July 2020) was a Tanzanian politician who served as the third President of Tanzania. He was in office for one decade from 1995 to 2005. He was Chairman of the Revolutionary State Political Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Wachezaji wa Simba SC leo mkitoka sare au mkifungwa na Namungo FC kwa Mkapa tafuteni vichochoro vya kukimbilia tumeshachoka kuwavumilia

    Wengine kwa Mpira wenu Mbovu na Matokeo mabaya sasa tumeshakonda na tukiona Soka zuri, la Kitabuni, linalovutia la Yanga SC na Ushindi wao mfululizo ndiyo Hasira zinatupanda na Machungu kutuzidia Mioyoni na Rohoni. Wachezaji wa Simba SC ukomo Wetu wa Kuwavumilia umeshafika Kikomo na leo Ole...
  2. C

    Kuna uwezekano Kisinda, Chama na Kishingo wakaja kuua nyoka kwa Mkapa

    KAMA MADUKA yataendelea kupewa nafasi za kujimwamwaya na ma libero kama Wawa wanaokataa kuruka juu wataendelea kuchekewa basi tutarajie maumivu makubwa huko shirikisho sababu hadi sasa kuna uwezekano mkubwa Rs berkane au Fs rabat(nafikiri wamefuzu) kuja kuua nyoka kwa lupaso Mimbio ya kisinda...
  3. Kata Funua Aliyopigwa Simba SC pale Kwa Mkapa na Makhirikhiri, Mo Dewji Alaumiwe?

    Mnaweza Kuwalaumu Wachezaji, lakini kwa ubora ule wa wakina Sakho, Kanoute na Banda ni vigumu sana kwa mtu mwenye akili kichwani kutarajia makuu kutoka kwao. Mnaweza kumlaumu kocha lakini kwa wachezaji alioletewa na Mo Dewji...anakosewa heshima. Licha ya kuwa Didier GOMES sio mwalimu mwenye...
  4. Kuna uwezekano maisha yako yote utakuwa mlalamikaji

    Mimi na umri wangu mrefu huu nimegundua kitu. Kuna jamaa zangu walikua wanamlalamikia sana Mkapa wakati ni Rais, alipoingia Kikwete walifurahi mno. Miezi 4 baada ya Kikwete kuapishwa wakaanza kumlalamikia tena. Ikawa hivyo mpaka alipo maliza awamu zake, tena awamu ya pili ndio hali zao zilikua...
  5. T

    Rais Samia: nataka itumike "Single Source." Je, "Force Account" za JPM na "Zabuni Shindanishi" za JK zimeishia wapi? Sheria ya manunuzi imefutwa?

    Leo wakati Rais akizindua mpango wa maendeleo (tafsiri "matumizi") ya pesa ya Covid kutoka IMF, amesema anaagiza watumie "single source" kwenye manunuzi na kandarasi. Kasema zabuni za kawaida zinatuchelewesha, hataki kuzisikia. Swali langu lina sehemu mbili tatu: hivi taratibu za matumizi ya...
  6. Wakenya msione aibu, leteni Harambee Stars kwa Mkapa

    Leo tarehe 17 mwezi wa 9, Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limekataa kuuidhinisha uwanja wa soka wa Kasarani kutumika katika mchezo baina ya timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars) na Mali wa kufuzu fainali za kombe la Dunia. CAF wamegoma kuuidhinisha uwanja huo, katika mchezo unaotarajiwa...
  7. Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  8. Live from Mkapa national stadium: WCQ African zone Tanzania vs Madagascar

    Wellcome for updates about this match from beigning to the end of this match. Starz will win or draw at the home? Madagascar starting XI Update Tanzania moja dakika ya 3 erasto kwa mkwaju wa penalt Full-time Tanzania 3-0 Madagascar The Tanzania now leading the group J for the 4 point...
  9. J

    Mwenge wa Uhuru utazimwa Chato mkoani Geita ukiambatana na Misa takatifu ya kuwaombea mahayati Magufuli, Mkapa na Nyerere katika Kanisa Katoliki

    Waziri Jenister Mhagama amesema Mwenge wa Uhuru utakamilishia mbio zake katika wilaya ya Chato mkoani Geita ikiwa ni kumbukumbu ya kumuenzi hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa JMT Katika hitimisho hilo la mbio za mwenge itafanyika misa takatifu ya kitaifa katika Kanisa Katoliki...
  10. Nyankurungu: Hayati Rais Magufuli hakuwa na tozo ni kweli. Yeye alikuwa na "Presumtive Tax assessment" tulilipa kodi hadi za enzi ya Mkapa na Kikwete

    |[ Kwa unyenyekevu Mkubwa, Naomba kujibu kwanini Hayati Rais Magufuli hakuwa na tozo na still akajenga vituo vingi vya afya kama ilivyoulizwa na Nyankurungu2020]|, SIKILIZA HII NDUGU YANGU NYANKURUNGU. _______________________________________ Wakati wa Hayati Rais Magufuli...
  11. K

    Yanga Day 2021: Tamasha la Koffi Olomide kufana leo Uwanja wa Mkapa

    Tamasha la Mwanamuziki wa Kikongo lililoandaliwa a Club ya Yanga kama sehemu ya kusherekea mafanikio yao ya ligi katika msimu uliopita kwa kuweza kumaliza nafasi ya pili nyuma ya Mabingwa wa Ligi kuu SImba linatarajia kufana na kujaza wapenzi wengi wa muziki wa Kikongo. Vile vile Club ya Yanga...
  12. MKAPA: Kutovumiliana (intolerance) na kutoshirikishana (exclusion) umeletwa na demokrasia ya kimagharibi, si Uafrika

    Katika makala yake Mkapa anaandika:- Yet, when we embraced Western forms of democracy we fell into the trap of making political parties, not as mechanisms for tolerance and inclusion, but of intolerance and exclusion. The concept of “winner takes all” has no African roots. Traditional Africa is...
  13. Hayati Mkapa hakuhoji uhalali wa tume ya uchaguzi kwenye kitabu chake. Wanaomnukuu hivyo wanapotosha

    An objective and fair electoral commission, which is acceptable to all parties is an essential pillar in the evolving democratic culture on the African continent. The composition of the electoral commission is often disputed in African countries, yet someone must appoint them. Then you must have...
  14. Simba Sc Vs Namungo | VPL | Mkapa Stadium

    Mabingwa mara nne mfululizo leo wanakabidhiwa ndoo yao wakikipiga na Namungo FC. Hii ni katika mwendelezo wa kuchukua back to back 10
  15. Ukweli: Legacy aliyoiacha hayati Mkapa ni kulipatia taifa uongozi wa hayati JPM tuache kupindisha ukweli

    Hayati Benjamini Mkapa aliona mbali mwaka 2015 baada ya CCM iliyokuwa chini ya Jakaya kuwa imepoteza imani kwa wananchi. Mkapa aliona mbali na kuhakikisha taifa letu linapata kiongozi ambae atalinyoosha taifa lililopinda. Ukweli ni kuwa hayati Mkapa ndie alieona umahiri wa hayati JPM kusimamia...
  16. Je, ile 'confidence' ya Kuongea Kiingereza 'fluently' bila kuandikiwa au kusoma akina Nyerere na Mkapa waliitoa wapi nami nikajifunze?

    Natamani sana nami GENTAMYCINE nijue Kuongea Kiingereza kizuri kama cha akina Nyerere na Mkapa na siyo nije nikijue vizuri baada ya Kustaafu Majukumu yangu au niwe nakiongea kwa kutegemea Kuandikiwa kisha kila nikiwa nahutubia niwe 'nazuga' kwa Kukiongea kwa Sekunde Tano, nakunywa Maji na...
  17. M

    Niliyoyaona kwa Mkapa (Lupaso) Stadium leo ambayo kama yasipofanyiwa Kazi basi yanaenda Kujirudia tena Lake Tanganyika 25 July, 2021 ni haya

    1. Kuwaanzisha Erasto Nyoni na Bernard Morrison ambao leo ndiyo Wachezaji wa Simba SC waliocheza vibaya na Kuharibu zaidi badala ya Kuwaanzisha Muzamiru Yasini na Rally Bwalya Kiufundi kumeigharimu Simba SC. 2. Kumuanzisha Clatous Chama ambaye bado Kichwa chake kimetawaliwa na Kumpoteza Mke...
  18. Simba wasijiamini sana, wataaibika kwa Mkapa kwa sababu hizi

    Derby ya Simba na Yanga inakaribia Najua wengisana wameichukulia upande mmoja yaan ushindi kwa Simba. Niweke wazi Simba isijiamini sana hi mechi inaweza shangaza wengi ulimwengu wa soka Si la kuficha upande wa kiwango watani wako juu sana sana Ila hili lusiwayumbishe niwajulishe tu Simba na...
  19. Natamani sana Kocha Nabi anipangie Kikosi hiki Jumamosi tarehe 3 July, 2021 ili niupige mwingi mno kisha nipige nyingi kwa Mkapa

    1. Farouq Shikalo 2. Shomary Kibwana 3. Adeyum Saleh 4. Dickson Job 5. Bakari Mwamnyeto 6. Tonombe Mukoko 7. Zawadi Mauya 8. Feisal Salum 9. Saido Ntibanzokinza 10. Yacouba Sogne 11. Tuisila Kisinda Na hii ndiyo 'First Eleven' ya Nabi wenu.
  20. Itachukua miaka mingi mno kuja kuwapata ma Rais wa kariba ya Mkapa na Magufuli

    Kwa hakika wazee wetu hao wamekufa na kamwe hatutawaona tena na huo ndiyo ukweli! Lakini pamoja na vifo vyao ukweli ni kwamba kuja kumpata Rais mwenye maamuzi na asiye mwoga wa matendo na kufanya kama wale wazee si leo hakika. BM & JPM walikuwa ni wazee wa kuamua na kutenda pasi kujali lolote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…