mkataba wa bandari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanasheria Dkt. Nshala Rugemeleza: Mkataba wa bandari ni wa kiuhaini, Umevunja katiba ya nchi na utakwenda kuvunja sheria za nchi

    "Mkataba uliosainiwa ni "Binding Agreement" hakuna namna ya kujitoa, kuna propaganda zinasema eti tungoje HGA, this is nonsense, itategemea vipi HGA wakati IGA unasema hauna namna ya kujitoa na ukitaka kujitoa uende katika mahakamani za kimataifa, angalia ibara ya 10, 18 na 27 ya mkataba huo...
  2. D

    Wanaotetea Sakata la mkataba wa bandari hawana tofauti na waliokanusha kifo cha Rais enzi zile ilikuwa hivi hivi

    Wanaotetea Sakata la mkataba wa bandari hawana tofauti na waliokanusha kifo cha rais enzi zile ilikuwa hivi hivi! Wengine walikwenda mbali zaidi wakidai wameongea nae kwa simu asubuhi kawaambia wachape kazi yuko mzima! Watu walizidi kuhoji rais wetu yuko wapi walijibiwa yupo chato anawageni...
  3. K

    Sakata la Bandari na DP World: Serikali yashtakiwa Mahakamani

    Wakili Msomi Alphonce Lusako akishirikiana na Wakili msomi Chengula Emmanuel pamoja na wenzao wawili wameiburuza serikali mahakamani kwa kupitisha mkataba wa ubinafsishaji wa bandari zetu bila kuzingatia maslahi ya nchi. Washtakiwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi, Waziri wa...
  4. Kwa la Bandari, Pongezi TLS. Katiba yetu imenajisiwa. Bunge limetunga Sheria batili. Haki za Watanzania zimeporwa. Kwanini TLS wamenyamaza kimya?

    Wanabodi, Nikiwa ni mwanachama wa TLS, nimeisoma taarifa ya TLS kuhusu issue ya Bandari na DPW, kiukweli kabisa TLS inastahili pongezi za dhati!, imefunga huu mjadala, ingekuwa mimi ni Mnyamwezi, Kinyamwezi hii inaitwa "funga kalomo", yaani funga mdomo!. Taarifa hii ya TLS ni funga kazi, na...
  5. Katika hili suala la bandari, Serikali imeangalia maslahi yake au wananchi kwa ujumla?

    Hapo vip! Na nimeuliza hivyo kwasababu mtu mmoja anaweza kutumia mgogo wa serikali kupitisha mikataba yenye maslahi yake na vibaraka wenzake na sio ya wananchi kwa ujumla. Kwasababu maslahi ya mwananchi kwa bandari ni ajira,usalama,ownership ya raslmali ya nchi na ufahari juu ya rasilimali ya...
  6. K

    Hatukusaini Mkataba wa Bandari peke yake; iko mikataba 36 ambayo hatujawekwa wazi?

    Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza. Wakati mama amekwenda kwenye maonyesho ya Dubai tulisaini hati 36 za makubaliano. Hadi sasa tumeelezwa mmoja tu wa bandari, mingine ni ya nini? SOMA HAPA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetia saini Hati za Makubaliano (MoU) 36 wakati wa...
  7. Maboresho Mkataba wa Bandari Yazingatie Maoni ya Wananchi

    MHE. TARIMBA ABBAS - MABORESHO MKABATA WA BANDARI YAZINGATIE MAONI YA WANANCHI "Serikali ifanye utafiti ni kwanini Tandale mahali ambapo pana Shule tatu za msingi na bado wanashindwa kuweza kupata Shule ya Sekondari" - Mhe. Tarimba Abbas, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni. "Elimu ya dai risiti toa...
  8. Watanzania ni Watu wa ajabu. Wanapigiaje kelele jambo dogo la Bandari, lakini Mambo Muhimu ya Msingi kama Katiba na Uhuru wao wapo Kimya?

    Wanabodi Nipashe la leo, Kama kawaida yangu kila Jumapili, huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, kuzungumzia jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii lenye maslahi kwa taifa. Mada hizi huwa zina, swali , na hoja, kisha jibu, utalitoa wewe msomaji mwenywe. Swali la leo ni kutuhusu...
  9. H

    Mkataba wa Bandari: Ni kweli Rais wa hajui alichosaini au ni mpango mkakati uliojificha?

    UTANGULIZI: Kwa taaluma yangu kama mwanasheria nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kweli kuwa ule ndio ushauri wa kisheria (legal opinion, or legal memorandum) uliotolewa na watalaamu wetu wa kisheria kumshauri Rais wa JMT kuridhia kuingia kwenye mkataba wa kipuuzi na kipumbavu namna ile. Ni...
  10. Q

    Huu ni Mkataba mkubwa mbovu kuwahi kusainiwa na Rais tangu tupate Uhuru

    Tumewahi kuona mikataba mikubwa ya kuuza au kubinafsisha raslimali zetu ikisainiwa kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali lkn huu wa kuuza bandari zetu unaoneka kuwa utavunja rekodi ya kuwa mkataba mbovu kuwahi kusainiwa na rais aliye madarakani na utamwachia legacy mbaya Rais Samia. Tukiondoa...
  11. Q

    Ukimya wa UVCCM kwenye mkataba wa Bandari ni uzalendo au kulinda maslahi?

    Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hawa vijana wakijitokeza haraka kutetea au kufanya maandamano kupongeza kunapotokea sintofahamu hasa yanapoguswa maslahi ya serikali ya CCM na viongozi wao wakuu, lakini tofauti na sasa ukitoa tamko la Mwenyekiti wao Kawaida sijawasikia au kuwaona wakiandamana mkoa...
  12. Rugemeleza Nshala: Tutafungua Kesi kupinga Mkataba wa DP World na Tanzania

    Mwanasheria mkongwe nchini, Dkt. Rugemeleza Nshalla amesema anakusudia kwenda mahakamani pamoja na wadau wengine kupinga dhamira ya Serikali kusaini mkataba kati ya serikali na kampuni ya DP World unaolenga kuboresha Bandari ya Dar es Salaam ambao amedai kuwa umekiuka katiba na sheria mbalimbali...
  13. U

    Mkataba wa bandari: Tundu Lissu asema una "utukufu wa kikatiba". Kuhusu bandari, mkataba huu ndiyo sheria! Afafanua namna unavyoweza kuvunjwa

    Ni kwenye PC yake ya juzi kwa vyombo vya habari alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari.. Wasio na bundle, hizi hapa 👇👇👇ni baadhi ya quotes za kauli zake • "Haya makubaliano ndiyo mkataba. Kwa jinsi mkataba huu ulivyo haurekebishiki na ukabaki", Tundu Lissu • "Kwa jinsi mkataba huu...
  14. Kamati maalum ya TLS kuchunguza Mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar

    BARAZA la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) limeunda kamati maalum ya wataalamu kuchambua makubalino yaliyoainishwa katika mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar es Salaam kati ya serikali ya Tanzania na Kampuni ya Dubai ya DP World. Rais wa TLS, Wakili Harold Sungusia amesema kamati...
  15. S

    Hamza Johari anahusiakaje na Mkataba wa Bandari?

    KUNA mwanasheia mmoja anaitwa HAMZA JOHARI ndiye anayetolea ufafanuzi vipengele vya Mkataba wa Bandari kunaopigiwa kelele na watanzania kila siku kwenye vyombo vya habari. JE YEYE NDIYE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI? Au ni Nani sijaelewa Hamza Johari UPDATE (Agosti 14, 2024) - Hamza Johari...
  16. E

    Mbadala wa Mkataba wa Bandari na DP World huu hapa

    Tuunde kampuni ya bandari, Tuandae mpango wa kuunganisha nchi za "east and central africa" na bandari yetu. Hapa tutazungumza na nchi kama zambia, kongo, burundi, uganda, afrika ya kati. Halafu tutengeneze master plan itakayojumuisha upanuzi wa bandari, ujenzi wa njia za kusafirisha mizigo...
  17. Maoni yangu kuhusu Sakata la DP World kama mtu niliyewahi kufanya kazi kwenye Bandari ya Dar es Salaam

    Kumekuwa na mzozo mkubwa kuhusu hii bandari ya Dar es salaam na DP World. Sio vibaya kuwa na wawekezaji katika nchi lakini tuangalie na mikataba tunayoingia nao, twende mbele turudi nyuma ufanisi wa Bandari ya ya Dar es salaam ni mbovu kupita maelezo yani haufai. Naongea hivi nikiwa na...
  18. C

    TICTS walipewa Mkataba wa miaka 20. Je, DP World Mkataba wao ni muda gani?

    Swali la msingi liko hapo. TICTS walipewa miaka 20, waliposhindwa na mkataba kuisha wamenyimwa nyongeza ya mkataba. Je, hao DP World mmewapa muda gani? Ili nao wakishindwa tutafute mwekezaji mwingine na kama watafanikiwa waongezewe mkataba kwa mujibu wa sheria za nchi. Hoja ya watanganyika...
  19. Upendo wa Mbarawa Unazidi Viwango Vyote

    Wanaotufundisha umuhimu wa upendo, kadiri ya maagizo ya kitabu Kitakatifu cha Biblia, wanatuambia kuwa, Umpende mwenzako kama unavyojipenda mwenyewe. Sijawahi kuona wala kusikia kuwa kuna mahali imenenwa umpende mwenzako zaidi ya unavyojipenda mwenyewe. Na Mungu pekee yake ndiye aliupenda sana...
  20. B

    Wakili Mwabukusi: Rais Samia atusikie, Mkataba wa Bandari haulindi uhai wa Nchi yetu

    WAKILI MWABUKUSI: Rais Samia atusikie, Mkataba wa Bandari haulindi uhai wa Nchi yetu Katika mahojiano leo na wakili Mwabukusi anaangazia mambo zaidi kamati ya bunge, uwakilishi wa muswada wa mkataba bungeni na jinsi muda finyu waliopewa wabunge kuujadili ... . Wabunge Halima Mdee, Aida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…