mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania na Japani kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto.

    Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa Yen za Japan bilioni 1.527 sawa na shilingi bilioni 27.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya afya nchini. Mkataba huo umesainiwa katika Ofisi za Hazina Ndogo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Wizara...
  2. Tetesi: Inadaiwa Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 30 na mzabuni wa utengenezaji Jezi

    Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club. Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania. Pia, Soma Kampuni ya Umbro yaomba tenda...
  3. S

    Swali moja tu kwa Felchesmi Mramba wa Nishati; huo umeme wa Ethiopia anaosema leo ni bei nafuu, mkataba unawazuia Ethiopia kupandisha bei milele?

    Bado tuna majibu mepesi mepesi na ya kisiasa kuhusu suala la kununua umeme toka Ethiopia. Kwanza tuliwauliza kama sisi tuna transmission losses kubwa kupeleka umeme mikoa ya kaskazini, Ethiopia hawana? Mkajibu kuwa kununua umeme ni sehemu ya kuimarisha usalama wa power supply nchini -...
  4. S

    RUTO NA RAILA wasaini mkataba wa makubaliano, kufanya kazi pamoja

    Rais wa Kenya William Ruto pamoja na mwanasiasa maarufu nchini humo Raila Odinga wamesaini mkataba utakaowaruhusu kufanya kazi kwa ushirikiano katika kushughulikia matatizo mbalimbali yanayowakabili wakenya. Je unachukuliaje hatua hii ya Rais kusaini mkataba wa makubaliano na kiongozi wa...
  5. R

    Bajaji mkataba

    Kwa jina naitwa ramdhani napatikana dar es salaam natafuta bajaji ya mkataba na Nina leseni sichagui yeyote pia na uwezo wa kuendesha gar za Uber Kwa mawasilian zaid 0678303923
  6. Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amezungumzia Mkataba wa Bagamoyo

    https://www.youtube.com/watch?v=VJmfnduWSJk The Chanzo imefanya mazungumzo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa juu ya masuala mtambuka ikiwemo suala la Serikali kuaminika kwenye taarifa inazozitoa kwa wananchi, Sakata la bandari Bagamoyo, matukio ya utekaji, utekelezaji wa miradi ya...
  7. Mkataba na Shetani ni kitu kipo?

    Mkataba na Shetani(Deal with the devil) inasemwa ni kitendo cha mtu kuingia mkataba na Shetani apewe umaarufu, pesa, mamlaka, afya njema nk, kisha yeye anampa Shetani nafsi yake(yaani anajitoa kuwa mali ya Shetani. . . ?) Mfano mmoja ni kitendo cha Shetani kumshawishi Yesu amsujudie, na yeye...
  8. Tshekedi, huenda akaingia mkataba wa kimadini na US, katika kulinda imaya ya Kongo!

    Kuna baadhi wameanza kulia kweli kweli kwa kwikwi wakilaumu suala hili, but my opinion our Neighbor, aingie mkataba wa win win situation, ili US Ifaidike na DRC Ifaidike, badala ya kuwa mali inaibiwa tu bure bure na wahuni, =============== In his first interview since an armed group backed by...
  9. Nashauri tanzania iingie mkataba wa haraka na congo vijana wa Kitanzania wapate ajira ya haraka

    Ninawaza kwa Sauti ya chini sana nikiwa nakunywa taratibu kiburudisho kisicholewesha. Ni hivi vijana wengi wa Kitanzania wamekuwa na ndoto au matamanio ya kujiunga na jeshi la JW na hivyo kupelekea wengine kushindwa vigezo vya kujiunga na jeshi hilo na wengine kudondokea kwenye mikono ya...
  10. Video ya Balozi wa Saudi Arabia akitolea maelezo kuhusu mkataba wa bandari ya Bagamoyo

    Maelezo ya Balozi wa Saudi Arabia katika Televisheni ya Taifa ya Saudia ni haya; "Utiaji saini wa Mkataba wa Nia ya kufanya utafiti wa fursa za uwekezaji na ushirikiano wa kujenga na kuendeleza Bandari mpya ya Bagamoyo nchini Tanzania.. ====== Kwa mujibu wa shirika la habari la Saudi Arabia...
  11. Hamas wasalimu amri kuhusu kusitisha mkataba wa kubadirishana wafungwa

    Magaidi wa Hamas Wiki hii walitangaza kwa mbwembwe nyingi kuwa Jumamosi haitawaachia mateka wa Israel kwa sababu mbalimbali ilizozisema kisha Trump katangaza kiama kwa magaidi hao na mwisho Waziri Mkuu wa Israel yeye Ali Waambie magaidi hao kuwa atafungulia lango la kuzimu kwa magaidi hao na hak...
  12. Tetesi: Clatous Chotas Chama anaidai Yanga Mamilion ya pesa

    Naamini kabisa kuna watu wanafanya biashara kupitia hawa wachezaji. Chama huyu ndo alisajiliwa kwa zaidi ya Million 500? Kuna mambo yanaumiza sana wapenda mpira. Watu waliungiza Uongozi chaka.
  13. Natafuta coster 17 za kukodi kwa ajili ya shule mkataba mwaka mmoja

    Habari. Tunatafuta gari aina ya coaster ziwe gari 17 pamoja na hiace moja kwa ajili ya kuwachukua wanafunzi shuleni na kuwarudisha nyumbani. Hivyo basi tunahitaji kampuni moja yenye kuweza kumanage huu mkataba ambayo itakuwa na uwezo wa kuwa na gari zote hizo 17 na hiace 1. Mkataba ni mwaka...
  14. K

    Nahitaji msaada wa kupata pikipiki ya mkataba kwa ajili ya kazi ya boda boda

    Kwenu wakuu habari zenu Mimi kijana wa miaka 25 Elimu form six Nahitaji msaada wa kupata pikipiki ya mkataba kwa ajili ya kazi ya boda boda kijiwe changu kitakuwa kariakoo Uaminifu ni mkubwa hata ukitaka kupelekwa inapokaa familia yang yaan wazaz na wakanizamin nipo tayar Mawasiliano 0685176087
  15. Karibu umalizie nyumba kwa mkataba kisha uhamie. Nahama kikazi

    πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
  16. Hivi Fly Emirates na Arsenal ni mkataba wa maisha

    Hii timu tangia ijengewe uwanja wa Emirates imekua kama koloni la hii kampuni ningependa kujua wadau huu ni mkataba wa maisha kutokana na kuwajengea uwanja wenye kujua wanijulishe wakuu
  17. Msipotoshe: Aliyevunja Mkataba Siyo Yanga SC Wala Ramovic!

    Hii habari ni kama watu wanatafuta engagement tu kwenye social medias mbalimbali ila ukweli siyo huo wanaoandika huko na hapa JF. Yule kocha Romavic kuna timu imefika dau hivyo imemtongoza akakubali ndipo hiyo timu ilivunja mkataba na Yanga African SC kwa kuilipa kiasi cha pesa kutokana na...
  18. Wazee naomba kuuliza hivi Arsenal na Fly Emirates ni mkataba wa milele?

    Huwa najiuliza hii timu na hili shirika la ndege ndio wamejiunga mkataba wa milele au maana wanamiaka mingi wakuu anaejua anifahamishe Ili nipate kujua maana tangia wajengewe uwanja mpaka Leo wanatumikia hili shirika je ndio makataba wa milele
  19. Kumbe Tshisekedi aliingia mkataba na Museveni, Odinga na Kagame kabla ya uchaguzi wa 2018 alioushinda

    MKATABA WA KUMWEKA FELIX TCHISEKEDI MADARAKANI Mnamo Tarehe 22/11/2018, siku ya Alhamisi katika eneo la Upper Hill kwenye ofisi ya Mzee RAILA AMORO ODINGA kulifanyika mkutano, Ajenda kuu ya mkutano huo ilikuwa ni jinsi ya kuchukua madaraka ya Congo baada ya JOSEPH kumaliza muda wake;na pia...
  20. Peo Guardiola avunjiwe mkataba akauguze majeraha ya talaka,ataipoteza Man City

    Najua inauma hela ulizotafuta kwa jasho miaka yote kuchukuliwa pasu kwa pasu na mwanamke. Sisi timu Man City tunakuomba utupishe ukauguze majeraha ya kibuti. Soma Pia: Arsenal 5-1 Manchester City Sisi wakufungwa goli 5 na Arsenal kweli
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…