mke mkubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimezaa na wanawake tofauti,watoto wa mke mkubwa wanaongoza darasani, waliobaki mhh

    Mimi binafsi sijawahi kuvuka nafasi ya tatu tangu nianze darasa la kwanza Chuoni sijawahi kusupp au kudisco japo niliwahi kudrop chuo kwa sababu ambazo sio za kitaakuma.. Watoto wa mke mkubwa wana akili kunizidi, mkubwa alioata Div 1 pts 4,mdogo wake nwaka huu darada la saba amepiga A tupu...
  2. Swali kwa Malegendary, hivi unapotaka kuoa mke wa pili, mke mkubwa unamuweka sawa vipi?

    Hili ni swali kwa Malegendary na kwa wanawake smart kichwani, hivi imefika hatua mwanaume unaona dhahiri kwa sababu zako binafsi na za msingi mke wako apate msaidizi, ni mistari gani ambayo mwanamke anaimbishwa mpaka anatowa kibali? Tafadhali hii siyo thread ya mahubiri, tujikite kwenye mada...
  3. Mke mdogo amuua mke mkubwa wakigombania zamu ya kulala kwa mume

    Maisha ya wanawake wa kiislamu wa kitanzania yana mateso sana (hivi unajua sio kila nchi za kiislamu huruhusu hili). Sasa wameuana wakigombea kulala kwa mume, mke mkubwa akiwapiga stop wenzake kuwa yeye ndio mkubwa asali alambe yeye kwa uhuru wengine anawapangia. USSR
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…