Now and then
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 613
- 1,729
Kwa kumuangalia tu Mke Mkubwa wa Job Ndugai , unaona kuwa alikuwa akimtegemea mume wake ili kuishi.
Ila bahati mbaya Mke mkubwa hatambuliki serikalini.
Hivyo kwa umri wake anahitaji kutunzwa, kwa ukaribu kiafaya , kimwili, kiakili na kiroho.
Hivyo nawaomba viongozi wa Serikali kuhakikisha huyu Mama anapewa mahitaji ya msingi na kupewa Mali na kuhudumiwa vizuri .
Nachojua mke wa pili wa Ndugai yeye ni mtumishi wa umma hivyo yeye maisha kwake hata sio tatizo.
Hivyo haijalishi marehemu alisema nini au aliandika nini Ila lazima tuzingatie ubinadamu dhidi yetu.