Hata Mimi hayo mahojiano yalinishtua ! Eti hujui kuwa Ndugai alioaš ...hapo tayari ina ashirua shari!Basi huyu mama sio mzima 𤣠niliona kiclip anahojiwa anasema ndugai hajawah kuoa kwahiyo yeye ndo mke halali hatambui mwengine.
Wakati huo sijajua kama kuna bi fatma sasa mtu mliachana 20 yrs back unapata wapi nguvu za kukaa mbele ya waandishi kujitutumua š³