Naomba Serikali itumie hekima kumsaidia Mke Mkubwa wa hayati Job Ndugai

ccm huwa inatabia ya kuwasaidia wapinzani wenye majanga binafsi ninaamini hata huyu mama hawatamtupa
 
Basi huyu mama sio mzima 🤣 niliona kiclip anahojiwa anasema ndugai hajawah kuoa kwahiyo yeye ndo mke halali hatambui mwengine.
Wakati huo sijajua kama kuna bi fatma sasa mtu mliachana 20 yrs back unapata wapi nguvu za kukaa mbele ya waandishi kujitutumua 😳
Sio miaka 20 tu,ni zaidi ya 20,huyo mke mdogo na ndugai wana mtoto mkubwa kabisa ni dr,hata sielewi kwanini mke mkubwa ambaye walitengana miaka yote hiyo alipohojiwa akadai hajui kama ndugai alioa yy ndie mkewe,bi mkuu alishaleta interest za utata,baada ya kugundua kwenye next of kin lipo jina la mke mdogo ndio zimeanza kauli za aonewe huruma 😀
 
Kwa kumuangalia tu Mke Mkubwa wa Job Ndugai , unaona kuwa alikuwa akimtegemea mume wake ili kuishi.

Ila bahati mbaya Mke mkubwa hatambuliki serikalini.

Hivyo kwa umri wake anahitaji kutunzwa, kwa ukaribu kiafaya , kimwili, kiakili na kiroho.

Hivyo nawaomba viongozi wa Serikali kuhakikisha huyu Mama anapewa mahitaji ya msingi na kupewa Mali na kuhudumiwa vizuri .

Nachojua mke wa pili wa Ndugai yeye ni mtumishi wa umma hivyo yeye maisha kwake hata sio tatizo.

Hivyo haijalishi marehemu alisema nini au aliandika nini Ila lazima tuzingatie ubinadamu dhidi yetu.
Dahhhh
 
Mke mkubwa ndio mwenye watoto .........kwa mujibu wa bandiko ..............lakini mdogo kitu kilikataa kunasa.........
 
Kwa kumuangalia tu Mke Mkubwa wa Job Ndugai , unaona kuwa alikuwa akimtegemea mume wake ili kuishi.

Ila bahati mbaya Mke mkubwa hatambuliki serikalini.

Hivyo kwa umri wake anahitaji kutunzwa, kwa ukaribu kiafaya , kimwili, kiakili na kiroho.

Hivyo nawaomba viongozi wa Serikali kuhakikisha huyu Mama anapewa mahitaji ya msingi na kupewa Mali na kuhudumiwa vizuri .

Nachojua mke wa pili wa Ndugai yeye ni mtumishi wa umma hivyo yeye maisha kwake hata sio tatizo.

Hivyo haijalishi marehemu alisema nini au aliandika nini Ila lazima tuzingatie ubinadamu dhidi yetu.
We msukule kamtunze wewe
 
Naomba video clips za mke mkubwa wa marehemu Job Yustino Ndugai au links zake !

Back
Top Bottom