Hii sio Sawa,yaani unatafuta kabisa mkongo Kwa ajili ya kumpakia mke wa mtu? Hii sio Sawa, ni dhulma mbaya sana, ndio maana tunapata mabalaa Kisha tunatafuta mchawi.
Mbaya zaidi unajisifu mbele za watu! Tena wengine wanaenda mbali na kusema wanasukuma pia tope wake za watu. Jamani jamani...