mkeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Me too

    Usimwachie mkeo nyumba zaidi ya miaka 5 peke yake

    Wale mliozaa na kusomesha mpaka watoto wamepata kazi na kuoa /olewa. Sasa baba akapata uhamisho wa kikazi akahama mkoa, mke akamwachia nyumba na mtoto mmoja labda ila wengine wameshaoa. Kwa bahati mbaya baba kazi zake ni nyingi kiasi anashindwa kurudi weekend nyumbani, miaka imekata zaidi ya...
  2. 2019

    Mwanaume unaweza kukubali mkeo aoshwe miguu na kusuguliwa kucha na vijana wengine?

    Nimekaa nimejiuliza sana lakini jibu linalokuja kichwani ni tofauti na ninayoyaona mtaani. Rejea kichwa juu. Una mke/mchumba unaweza kumruhusu asuguliwe miguu na kuoshwa kucha na vijana wanaofanya biashara hiyo? Una mume/ mchumba unaweza kukubali mumeo akafanye massage (kukandwa kandwa) na...
  3. mathsjery

    Hii ni tabia mbaya nionavyo mimi, kwa mashoga na madogo wa mke

    Nashangaa kitanda nacholalia iweje mke wangu ulale na dada yako, na wakati kuna chumba kingine, ati kisa mimi sipo? Nashangaa bafu la chumbani wadogo zako wanalitumia na wakati unajua ni la wawili tu mimi na wewe na wakati huo kuna bafu tena la ndani hapo kwenye korido? Nashangaa we dogo...
  4. Mung Chris

    Mtoto wa mkeo asipokupenda unafanyaje?

    Imetokea na huwa inatokea mtoto wa mkeo hakupendi. Umeamua kuishi au kuoa mke ambaye hana kazi ana mtoto mmoja wa kike au wa kiume mwenye umri wa miaka 4 sasa mkeo anajaribu kumwambia mtoto kuwa wewe ndiye baba yake au baba wa kambo mtoto hataki na ukijaribu kuwa karibu na yeye hakubali...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ujasiri wa kumpiga mkeo ugenini unaupata wapi?

    Mmeenda kwenu kijijini, eti mkeo hakwenda kuteka maji (kwa taarifa ulizopewa na dada zako) Hizo nguvu za kumpiga na kumuumiza mke wako kwa maneno ya kusikia unazipata wapi? Hebu tulijadili kwa akili tulizoambiwa tuishi na wake zetu.
  6. Dr am 4 real PhD

    Utajisikiaje ukipata ujumbe huu kutoka kwa mkeo?

    Mkeo amesafiri ameenda kula Sikukuu nyumbani. Anakutumia UJUMBE Kama huu. Jana nilishindwa kukuwish heri ya mwaka mpya nilikua nangoja foleni iishe. Heri ya mwaka mpya mume wangu kipenzi najivunia kua na mume kama wewe, mchapakazi, mwenye upendo wa kweli, mvumilivu, smart man, mwelewa, usiejua...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Je, Utajuaje kuwa huyo ndiye mkeo? Mjue mkeo

    JE, UTAMJUAJE HUYO NDIYE MKEO? MJUE MKEO. Kwa Mkono wa, Robert Heriel Sasa nimejihangaisha na mambo haya, wala hakuna lolote nitakalo lipata, lakini nafsi yangu itafurahi ikiwa tuu nitaimaliza kazi hii. Haya sasa, mnisikie; Uzuri wa dunia umejificha, nayo nuru imo gizani hata waitafutao...
  8. Superbug

    Ukimuona jamaa yuko na mkeo mjini wanatembea utafanyaje?

    Fikiria uko mjini unakatiza mitaa mara paaap wife na mshkaji halafu wako huru wanagonga mikono na vicheko kibao jamaa humjui wala nini. Niambie Mkulungwa mwenzangu utafanyaje? Utawapa hai na kuwaacha waendelee na hamsini zao au utawajoin? Niambie Mkulungwa mwenzangu utafanyaje?
  9. A

    Aisee! Mkeo anatosha. Anaweza kukupa kila kitu kuliko mchepuko yeyote

    Nilichogundua wanaume wengi tunadanganyika saana kuliko uhalisia. Kuna watu hatuthamini wake zetu,tunathamini michepuko zaidi. Kuna watu tunawatendea Kwa ukatili wake zetu saana na kuwalea michepuko kama mayai! Kuna watu tunawafanya wake zetu kuona maisha hayana maana kiasi cha kuona ndoa ni...
  10. Superbug

    Wakati unamjig mkeo anakuambia maneno haya utafanyaje?

    Uko na mke wako wa ndoa unamjig Sasa wakati mko kwenye climax kabla ya orgasm unamuuliza hivi kabla siajkuoa au toka nimekuoa umejig na wanaume wangapi maishani mwako? Anakuambia huku analia kwa utamu inhiiii nhiiiieee aayaa wanaume watatuuu...! Je utamfanyaje? Kumbuka kwenye stage hii mtu...
  11. Y

    Ukiwa na mkeo jizuie kupepesa macho

    Natumai hamjambo wananzengo. Wakuu leo nilikua nimetoka na wife, after kushuka kwa gari mbele yetu alipita dada mwenye figure yake ukweli nilijikuta nimegeuka kumtizama, kumbe wife kile kitendo hakikumpendeza akaninunia hadi tumerudi home. Tulipofika home akaanza kunisomea "yaani upo na mkeo...
  12. Extrovert

    Mkeo ni wa kundi gani kati ya haya?

    Hakuna mwanamke wa kawaida bali kuna wanawake aina mbili: 1. Understanding 2. Non-Understanding Kundi la kwanza (Understanding) sifa zao: - Open minded, huwa wako real to themselves and their patners - Hawapendi makelele/malumbano. - Husikiliza zaidi kuliko kuongea - Wepesi wa kujishusha...
  13. 2019

    Je ni halali kumsifia mwanamke mwingine mbele ya mkeo?

    Habari wanajamvi? kwenye jukwaa hili sio maarufu sana ila nisaidieni hili: Nina mke nampenda sana hata yeye anajua nampa misifa kama yote kama ilivyo ugonjwa wao. sijawai kutoa sifa kwa jinsia ya kike mbele yake hata siku 1. Hii imenikuta last week,nilisemwa sana japo sikuwa na nia mbaya...
  14. sky soldier

    Dharau, kuto kulala nyumbani na kukuta meseji za mapenzi kwa mkeo kunastahili adhabu gani?

    Wadau hebu tujuzane kidogo adhabu zinazoendana na situation pale mke wako anapokudharau, Halali nyumbani na akirudi hataki kuuliza maswali na kukuta meseji anachati na wanaume wengine na hataki umuingilie. Tuachane kidogo na ulimwengu wa wazungu maana wao sio mfano wa kuigwa wanaruhusu hata...
  15. britanicca

    Ni sahihi kumuacha Mkeo aparangane na biashara za masafa ya Mbali?

    Ni asubuhi nyingine, matumaini ni kuwa mmeamka salama. Je, ni sahihi kumuacha mkeo kufanya biashara ya kusafiri kwenda mbali kufuata mzigo au bidhaa akiwa mwenyewe? Mfano, mke kusafiri kwenda mikoani kununua mazao ya nafaka na kupeleka dar ambako anamuacha mme wake. Au kusafiri kwenda Dubai...
  16. katoto kazuri

    Ilikuwaje ulipokuta Condom kwenye mfuko wa mwenza (mke au mume)?

    Watu humu je hii hali imekutokea? Mimi kwangu ndio nilikuwa namchumba ambaye nilikuwa naye serious kimapenzi ila kuna siku nafua nguo zetu kucheki mifuko nikakuta condom kobox kizima na risiti ya benki inaonyesha alitoa hela kiasi fulani akampee baada ya mchezo mbaya kipaketi kimefunguliwa na...
  17. Analogia Malenga

    Je, kutumia simu ya mkeo pia ni kosa kisheria, maana haijasajiliwa kwa jina lako?

    Msanii wa Mashairi ya kuongea,’Spoken words poerty, Malle Hanzi, ameandika kuhoji sheria ya makosa ya mtandao ilivyo. Amehoji hili baada ya Msanii wa kuchekesha kushitakiwa kwa kosa la kutumia laini isiyo sajiliwa kwa jina lake. Amehoji kama kutumia laini isiyosajiliwa kwa jina lako kuna...
  18. LIKUD

    Hii ndio njia ya uhakika ya kuondoa Stress za wivu wa mapenzi dhidi ya mkeo...

    Umesikia mkeo anatembea na Juma. Vuta picha mkeo akiwa anapigwa mashine na Juma then piga puchu. Fanya hivyo kila mara unapokumbuka kuhusu mkeo kutoka na Juma na kila unapo letewa taarifa za mkeo kutoka na mwanaume mwingine yoyote yule Kwa kufanya hivyo utaondokana na stress za Wivu wa mapenzi...
  19. 44mg44

    Hivi mkeo ukikutana naye njiani ukahisi anaenda kuchepuka unaweza ukamrudisha?

    Siku ya jana mida ya saa saba mchana nilikuwa matembezini, nilipoamua nirudi nyumbani kwenye kona fulani hivi nikakutana na wife tukapeana salamu baadae akaendelea na mishe zake, ila moyo nikawa nafkiria kuwa ameenda kuliwa, lakini nilishindwa kumrudisha. Nilipofika home nilisubiri takribani...
  20. May Day

    Umewahi kutahadharishwa na mkeo au mumeo kuhusu kuwa makini na ndugu yake na bado haikusaidia?

    Siku kadhaa zilizopita nilikuwa mahali na rafiki yangu mmoja aitwaye Alan (sio jina lake halisi)tunabadilishana mawazo ya hapa na pale. Katika maongezi yetu alianza kunielezea wasiwasi wake juu ya mke wake kutoka na shemeji yake, yaani Kaka yake Alan wa damu toka nitoke. Alan alinielezea namna...
Back
Top Bottom