mkeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Sababu zitakazopelekea Mkeo awachukie Nduguzo

    SABABU ZITAKAZOPELEKEA MKEO AWACHUKIE WAZAZI NA NDUGUZO! Anaandika, Robert Heriel. Katika jamii wapo Wanawake wanaochukia Wakwe zao, wapo wanaochukia Ndugu za mume. Zipo sababu zinazopelekea MKE achukukie Ndugu za mume na Wakwe zake. Hata hivyo wapo Wanawake ambao wanachuki tuu na vijiba vya...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nini ufanye mkeo anapoanza vituko ndani ya ndoa?

    Kwa moyo wa dhati, naomba tulijadili hili kiutu uzima, huende tukaokoa maisha ya mtu mmoja.
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Mfikishe Mkeo Kileleni na Afya ya Uume

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Angalizo: Andiko hili linawahusu watu wote wenye umri kuanzia miaka 18 waliyokwenye ndoa. Iwe ndoa ya kimila, kidini au kiserikali. Isihesabike niliandika ili kuhamasisha ngono, bali kwaajili ya waliyoruhusiwa kufanya tendo la ndoa. Nami...
  4. 44mg44

    Mchepuko akikuuliza maswali yafuatayo kuhusu mmeo au mkeo unatakiwa umjibuje?

    Habarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole. Nisiwapotezee muda niende kwenye mada: Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi kukutana na maswali mengi Sana kutoka kwa mchepuko wako yanayohusu familia yako wakiwemo mke na watoto...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    HADHARI: Usiongee na simu ukiendesha gari, utakufa utuachie mkeo

    Huwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja. Hivi punde tumemkosa chup chup IST mmoja alikuwa anaingia barabarani kubwa huku anaongea na simu. Hii ni kasumba mbaya sana ambayo wengi wetu tunayo. Kuna wakati dreva anaongea na simu ya kawaida tu haina dharura yeyote. Epusha ajali zisizo za...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nini kifanyike mkeo anapogoma kwenda kupima vinasaba vya mtoto?

    Bwana Ali ndoa yake ina mwaka wa tano, tangu ndoa ikiwa na miaka mitatu ugomvi usio na ukomo ulianza. Ali alikuwa akimtuhumu mkewe Asha kwa kutembea na bosi wake. Mtoto wao ana mwaka wa pili sasa, Ali anasisitiza wakapime vinasaba lakini mama amekuwa mbogo, anasema bora apewe talaka lakini siyo...
  7. Naanto Mushi

    Kiroho, kama humsaliti mke wako yeye pia hawezi kukusaliti

    Hii nakupa chukua.. Hamna uchafu unaokuja mahali pasafi hata siku moja. Ndiyo maana unakuta mtu kama roho yako imejaa Yesu, mtu hata akuendee kwa waganga hakupati, hii pia nakupa chukua. Issue ya ku cheat pia naona imekaa kiroho zaidi. Mwanaume ukiwa unachepuka maana yake unakaribisha roho ya...
  8. Countrywide

    Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

    Mara kadhaa tumeshauriwa Kuchunguza wake zetu mienendo yao, Hali sio nzuri kila sehemu watu wanagegedana sio mchezo. Chini hapa ni ujumbe wa kijana aliyekua anatoka kimapenzi na bibie monica ambae ni mke wa Masanja; "...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA Asante Kwa kunipenda Kipindi chote...
  9. MSAGA SUMU

    Usitoe tena hela kwa mkeo kwa ajili ya salon

    Mwanamke wa kiafrika anayenyoa nywele au kutokusuka huwa analeta baraka ndani ya nyumba. Nywele fupi za mwanamke huwa zina baraka kubwa Sana kwake na mumewe.
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, unataka kujua siri za mkeo?

    Mbele ya macho yako mkeo ni mtakatifu sana, hana kasoro wala dosari hata moja. Ni msafi, ana heshima, ana wajibika vyema, ni mbunifu na mburudishaji wako mzuri kitandani. Ratiba zake zote unazijua, na simu yake haina password. Lakini wahenga walishasema, moyo wa mtu ni msitu mnene, amini...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

    Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako. Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off...
  12. sifi leo

    Waziri wa Habari kwanini humtunzi mkeo kama ninavyomtunza wangu? Kwanini mimi mke wangu simfananishi na wako? Je, tukiwaweka sawa watafurahiana?

    Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema kwa kutuamsha wote tukiwa SALAMA saliminin,lakini pia hata Kwa wale wenye changa moto afya Tumwombe Mungu wetu sote awaponye na kuwarejeshea afya njema. Nitakuwa kiumbe cha ajabu nisipo mshukuru Mungu kwa AJILI ya walio twaliwa maana nayo...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

    Kwema Wakuu! Hatufuatiliani wala hatupangiani maisha. Ila tunakumbushana huku nami nikijikumbusha pia Kwa Nia nzuri tuu. Ili baadaye tusijekujikuta katika Huzuni kuu. Vijana tunapoambiwa tule na tunywe Kwa nidhamu sio Kwa sababu tunaonewa wivu au kuna mtu anataka kuwa juu yetu Kwa kutupa amri...
  14. ommytk

    Mkeo au mumeo akiwa na simu kubwa na kile kidogo(kiswaswadu) kaa nacho mbali usiseme sijakwambia

    Tangazo muhimu kwa wote ukiona mumeo au mkeo ana simu mbili moja kubwa touch alafu ana kile kidogo maarufu kiswaswadu yes kiswaswadu kaaa nacho mbali mnooooooooo utakuja nishukuru usikiguse narudia kaaa nacho mbali mnooooooo usije sema atukukwambia
  15. kyagata

    Ni sahihi mkeo kukutumia text kama hii?

    Kwema wakuu? Kuna jamaa angu tuko nae hapa kwa mama B grocery tunapiga vyombo katumiwa na mkewe hii text. Kaniomba ushauri amjibu nini mkewe. "Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka na funguo kupunguza usumbufu" Ni sahihi mkewe kumtumia huu ujumbe?
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Je, wewe upo hatua ipi? Hatua za Ukuaji na maendeleo katika Saiko-jamii

    JE, WEWE UPO KATIKA HATUA IPI? HATUA ZA UKUAJI NA MAENDELEO KATIKA SAIKO-JAMII? Anaandika, Robert Heriel NOTE: Andiko hili ni Kwa ajili ya watu wote! Andiko hili lafaa Kwa watu wazima kujitambua na kujua namna ya kukabiliana na Mabadiliko ya ukuaji wetu WA kiakili, kimwili na kitabia Kwa...
  17. royal tourtz

    Kum-bana (kumchunga) sana mkeo sio sababu ya yeye kutokukusaliti

    Wale wanaume mnaotogoza wake za watu watakubaliana ni mimi hapo mwishoni kwa msimamo wangu,mimi ni muoga sana kutembea na mke wa mtu na huwa sina kujiamini kabisa.. ila katika pitapita huwa inatokea unakutana na mwanamke na haukutegea kuwa atakuwa mke wa tu. ila baada ya kumjulisha hitaji lako...
  18. S

    Kama upo Dar na mkeo yupo mikoani imekula kwako. Weekend hii naenda kumchakata

    Poleni wanaume wote ambao wake zenu wako mbali nanyi. Hakika mnaibiwa sana. Weekend hii ni zamu ya wanaume wa Dar ambao wake zao wako mikoani. Mmoja wa wanaume hao atachapiwa weekend hii, maana nimepata mwaliko toka kwa mkewe niende kumchakata..
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Ili usimuue mkeo ukajiweka matatizoni, fanya yafuatayo

    ILI USIMUUE MKEO AU MCHUMBA WAKO UKAJIWEKA MATATIZONI FANYA YAFUATAYO Anaandika, Robert HERIEL Kuua ni kosa kisheria pia ni dhambi kubwa kidini. Hivyo ili kujiepusha na kosa hilo hasa Kwa wanandoa tukiwemo wanaume basi Ushauri huu utafaa zaidi; 1. Usioe Mwanamke ambaye ni first love wako, au...
  20. K

    Hivi mkeo wa ndoa anapokublock kwenye simu anakua na maana gani?

    Kwema waheshimiwa? Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani? NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
Back
Top Bottom