mkeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    Pitia hapa utathimini kama Mwanamke wako au Mkeo anataka/keshaanza kukusaliti!!

    1👉Je mwanamke wako ameanza kuwa na mitoko au safari kuliko ilivyokuwa huko nyuma??. 2👉Je mwanamke wako macho yake na akili yake yote ni kuwa karibu na simu yake?? 3👉Je kwa Sasa amekuwa active zaidi kwenye social media hususan IG na FB? 4👉Je anapost post picha za mitego? 5👉Je kwa Sasa hajali...
  2. TUKANA UONE

    Kumpiga mgoni wako hakutabadilisha tabia ya usimbe ya mkeo

    Nilishawaambia sihitaji salamu, ukitaka salamu rudi huko kijijini kwenu! Waswahili na Ujinga ni kama Mapacha vile! Huwa nashangaa sana mwanaume mwenye akili timamu anapomfumania mkewe yeye huanza kupambana na mwanaume mwenzie badala ya kupambana na mkewe! Aliyekwambia kumpiga na kumdhalilisha...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Tafuta hela uheshimishe familia yako

    Anaandika, Robert Heriel Moja ya mambo yaliyonifanya nisome wakati ni mdogo, na sasa nahangaika kutafuta pesa ni suala la matukio ya misiba. Kwa kweli Taikon niliapa na katika hilo Mungu anajua, na atalisimamia yakuwa mke na watoto wangu kamwe hawataosheshwa masufuria na kutumwa tumwa bila...
  4. Mwachiluwi

    Kama mkeo yupo Facebook mchunguze tena kwa umakini

    👋 Juzi morng nilikuwa ndio nimefika DSM nikachukua usafiri kwenda nyumban sasa nikiwa kwenye usafir mbele alikuwa maeekaa mama wa makamo nahisi alikuwa kwenye miaka 40 hivi. Sasa alikuwa Facebook yupo messenger anachat na jamaa niliangaza macho kuona ase jamaa ana mwambia kuwa nakupigia video...
  5. MSAGA SUMU

    Kataa katakata mkeo kutoa jina la mtoto wenu wa kiume

    Sio kila kitu usubiri kufundishwa mkuu, changamka. Yaani hata Kama mna watoto 100 wa kiume, majina yote yatolewe na baba. Sio mbaya mara mojamoja hapa na pale mke kutoa majina kwa watoto wa kike. Nimeona mara kadhaa ugomvi wa kuvunja ndoa baada ya Kina baba kugundua asili ya majina ya watoto...
  6. M

    Mwanaume ungependa kuongozana na mkeo akiwa katika mavazi gani?

    Ungependa kuongozana na mkeo, akiwa kavaa nguo ndefu zilizomsitiri mwili wake? Au ungependa kuongozana na mkeo, akiwa kavaa nguo zimembana au zimemuacha nusu uchi, huku wanaume wenzako wakimsifia?
  7. Hold on

    Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

    Kwangu mimi hakuna zaidi ya kelele zake akiwa mbali basi namiss yale makelele lakini natafuta sababu nimuache
  8. J

    Mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo: Inauma sana asikuambie mtu. Nyie wanawake nyie!

    Inauma sana. Hebu piga picha , Wewe ndo umetongoza, Wewe ndo umepeleka posa na pesa kiasi kwenye bahasha, Wewe ndo umetoa mahari, Wewe ndo unaanda sherehe, Mke unamkaribisha nyumbani kwako, Wewe ndo umempa heshima mkewe kwa jamii, Wewe ndo unamuhudumia mkeo, Kitandani mnafurahi wote, Mnapata...
  9. Taured

    Yupi ni mkeo Kati ya Hawa

  10. Robert Heriel Mtibeli

    Tunza Mkeo ili usimchoke na usimkinai

    TUNZA MKEO ILI USIMCHOKE NA KUMKINAI Anaandika, Robert Heriel Baba Ubongo wa binadamu unahitaji vitu tofauti Kila siku ili ubudurike. Kuona kitu kilekile, kusikia kitu kilekile, kunusa na kuonja kitu kilekile kunaufanya ubongo ukinaiwe na kuhisi uchovu. Unachoka. Kijana lazima uelewe kuwa ni...
  11. Mwachiluwi

    Chombezo mkeo ndio alitaka

    Chombezo: Mkeo Ndio Kataka WARNING (KWA UKUBWA WA MANENO NA TASWIRA ZILIZOTENGENEZWA KATIKA SIMULIZI HII HAITAKIWI KUSOMWA NA MTOTOUNDER 🔞) Ilikuwa asubuhi kama ya saa 3 hivi niko zangu kitandani sielewi naanzaje siku ukizingatia Jana nililala na ubao ndio kabisa hasira zilizidi kunipanda...
  12. Dasizo

    Ni vizuri kumwambia mkeo kiwacho Cha pesa unacholipwa kazini?

    Ni vizuri kumwambia mkeo kiwacho Cha pesa unacholipwa kazini?
  13. Melki Wamatukio

    Mkeo, kabla ya kumuoa alikupendea nini mpaka kuwa tayari kuishi na wewe?

    Ule usiku wake wa kwanza kulala magetoni kwangu ulimchanganya sana Nilimvua mibaibui yake kisha kumfunga kanga nusu utupu, mtoto wa watu ni mwendo wa aibu mule ndani Nikawasha widi (cha Arusha), moshi wa kutosha ukafutuka chumba kizima. Nikafungulia bufa kisha nikaanza kuplay ngoma za Lucky...
  14. Engager

    Mwanaume unaemkataza mkeo kufanya kazi unafanya makosa makubwa

    Pengine wewe ni mwajiriwa ama umejiajiri. Unauwezo kifedha. Umemzuia mkeo kufanya kazi kwa sababu wewe unamtimizia haja zake zote kifedha. Unahudumia familia, na yeye as an individual unamhudumia. Pengine zaidi ya hata angefanya hiyo kazi. Kazi kwa maana ya shughuli yoyote inayoweza kumfanya...
  15. Jemima Mrembo

    Mwanaume wewe ni kichwa cha familia sio kila siri yako na madhaifu yako mkeo aijue

    Leo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili. Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume unatakiwa uwe kichwa hasa. Wanaume wengi wa leo wamelelewa na kina mama peke yao, hawajui kina baba...
  16. GENTAMYCINE

    Kwanini Mahawara wengi uliowazuia Kukupigia Simu Usiku ukiwa na Mkeo wakipiga na ukiwahoji wanakupa majibu yafuatayo?

    Ni Hawara yako (Demu wako) kabisa (japo una Mke) na Umeshamjulisha na Kumkataza kabisa asiwe anakupigia Simu Usiku ukiwa Kwako na Mkeo na ikitokea akakiuka Makubaliano na Masharti yako na akapiga ukija Kumhoji Kesho yake atakuambia (atakujibu) ama Simu ilijipiga au Mtoto aliichezea. Ni kwanini...
  17. Nakadori

    Sijakuchukulia mkeo nimemuokota kwenye jalala la moyo wako

    Najua huwezi kuamini kua mimi sijakuchukulia mkeo na kwa taarifa yako sikujua kua alikua nimkeo. Siku ya kwanza nilipokutana nae nimkuta anauza mihogo kando kando ya barabara huku kijasho chembamba kikimtoka, Nilimtazama nikiwa ndani ya gari na nilipozidi kumuangalia niliona kama vile...
  18. GENTAMYCINE

    Ishara gani za Kisaikolojia ukiziona zinamaanisha leo Mkeo / Mpenzi wako anaenda kukusaliti kwa Mwanaume mwingine?

    Kazi yangu Kubwa leo katika Uzi huu ni Kusoma tu Comments zenu ili nizichakate na nikizielewa na kuziamini Mwanadamu wa Kike ambaye niko nae akirejea Kesho Asubuhi apande Basi la Kimbinyiko arejee mazima Kwao.
  19. Girland

    Ni sahihi kumuheshimu boss wako/ Mchungaji/Sheikh /Padre kuliko Mumeo/Mkeo?

    Kutana naye ofisini /sehemu ya ibada Utasema mwanamke ndiye huyu! Anavyomnyenyekea boss wake, utasema ana heshima Sana. Boss ataulizwa nikupe chai au kahawa? Kuna kitu unahitaji, tabasamu Kama lote. Ushawahi kukutana na wadada wa customer care? Utasema hapa ndiyo penyewe 😁 Kanisani nako...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Kijana uliyeoa, hakuna njia nyingine ya kufanikiwa zaidi ya kuwa na umoja na ushirikiano na mkeo

    Anaandika, Robert Heriel Kama umezaliwa familia masikini, na unampango wa kufanikiwa/kutoboa maisha yaani angalau uwe na nyumba nzuri, Gari, na watoto waishi Maisha poa. Basi inakupasa utambua baadhi ya Kanuni. Ingawaje Watu wanasema Maisha hayana Formula lakini zipo Formula katika Maisha...
Back
Top Bottom