mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Pre GE2025 Ndugai atoa hoja utaratibu kumwona daktari kwa Tsh. 10,000 ufutwe

    SPIKA Mstaafu na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai ameishauri serikali kuangalia upya utaratibu uliopo sasa, katika hospitali nyingi za umma kuwa ni lazima mgonjwa kutoa Sh. 10,000 kwa ajili ya kumuona daktari. Ndugai, alisema hayo juzi jijini hapa, wakati akichangia hoja kwenye kikao cha Kamati ya...
  2. Pfizer

    Bandari ya Tanga kinara wa uchumi Mkoa wa Tanga

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Selemani Kakoso, Wamefanya ziara Mkoa wa Tanga kukagua Miradi ya Miundombinu inayoendelea Mkoa wa Tanga Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
  3. B

    Tetesi: Mkt CCM Simiyu kuteuliwa Mkuu wa Mkoa, Kihongosi akalia kuti kavu

    MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Kennan Kihongosi amekalia kuti kavu baada ya kushindwa kusimamia shughuli za Serikali ndani ya Mkoa huo na kutumia muda kujihusisha na makundi ya kisiasa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Bariadi. Tetesi zinazoenea ni kwamba mkuu huyo wa mkoa ameshagombana na Mwenyekiti...
  4. Pdidy

    KAMA HILI LA MKUU WA MKOA MWANZA KWELI..TFF BODI YA LIGI MNAHITAJI MPELEKWE KWA MWAMPOSA MKAOMBEWEEE

    Jana nimemsikia mkuu wangu kaka Yangu msemaji wangu wakimhoji kuhusu UWANJA Simple akasema kaulizen tff waliopokea wale waliokuja kukagua wakatangaza kuufungia Nirudi kwenye madaa HAPO juu Nimemsikia mkuu WA MKOA MWANZA akilalamika UWANJA umefungiwa Akaita viongozi WA UWANJA JE Kuna mtu...
  5. Roving Journalist

    Pre GE2025 Rais Samia azindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025

    Rais Samia akizindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025 https://www.youtube.com/live/ZwUZMNQWlbc?si=stvFOddgPgJ_0AHW Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kukamilika kwa Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe ni ukombozi kwa wananchi katika Wilaya za...
  6. I

    Wafanyabiashara wa vyakula wa mkoa wa mbeya faida wanazipataje?

    Niko mkoa wa mbeya hasa shughuli zangu zilizonileta nazifanyia mbeya mjini na Tukuyu. Hizi bei ndogo za vyakula wanazouza zimenifanya nijiulize hawa watu faida wnazipataje. Mfano Kande la mahindi mabichi na maharage wanauza sh 500,wakati dar mara ya mwisho kula kande niliuziwa 2,000/= Wali...
  7. Somaiyo

    Maigizo ya ujenzi wa barabara na maendeleo ya mkoa wa Mwanza

    Katika pitapita zangu mjini Mwanza, nimeona barabara kuu mbili zote zina wakandarasi zikiboreshwa kutoka njia mbili mpaka nne, na inasemekana wanaacha nafasi kubwa katikati Kwa ajili ya mwendo Kasi, Sema sasa MAIGIZO ni mengi yaani ni kama mambo hayaendi!! Nata to Igoma:- barabara mkandarasi...
  8. petro matei

    Ushauri. Ni muda sahihi Bagamoyo ipewe hadhi ya mkoa

    Kwa heshima ya jina la bagamoyo na pia ukuaji wake wa kimaendelea ya kimkakati kama bandari inayoambatana pamoja ukanda maalumu Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo (Bagamoyo Special Economic Zone – BSEZ), Sasa ni muda kwa Mkoa wa Pwani kugawanywa Wilaya Bagamoyo Wilaya kibaha Wilaya chalize...
  9. RWANDES

    Jimbo la mhambwe ni aibu kwa mbunge wa jimbo hilo barabara inayounganisha mkoa kutoka kibondo mjini ni chakavu na inatisha.

    Mbunge wa jimbo la mhambwe wilaya ya kibondo mkoa wa kigoma alichofanya nikugawa pikipiki za samia 2025 ameshindwa kutetea jimbo lake akiwa bungeni barabara hazipitiki za wapiga kura hata ameshindwa kuishauli serikali kujenga soko la kisasa kwa ajiri ya wajasiriamali. Utakuwa ni aibu kubwa kama...
  10. Mindyou

    Tabora: RC Paulo Chacha amsimamisha kazi Meneja GPSA kwa kutukana wateja

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa kumsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) Mkoa wa Tabora, Mayala Mburi, kutokana na tuhuma za kumtukana matusi wateja waliokwenda kupata huduma za mafuta, akiwemo mtumishi kutoka ofisi...
  11. S

    TAALUMA MKOA WA KAGERA INAPOROMOKA KWA KASI YA AJABU

    Mkoa wa Kagera ni miongoni mwa mikoa michache hapa nchini iliyojijengea heshima kubwa katika utoaji wa elimu Bora na wataalamu wengi katika fani mbalimbali. Ndiyo maana hata Sasa hivi ukimuuliza mtanzania yeyote akutajie mikoa inayoongoza kuwa na wasomi wengi lazima Kagera ni mkoa mmojawapo...
  12. RWANDES

    Taifa letu wapinzani kutekwa limekuwa jambo la kawaida kijana wa BAVICHA mkoa wa Mwanza amefikisha siku 15 na hakuna taarifa yoyote

    Leo ni siku ya 15 kijana wa BAVICHA mkoa wa mwanza tangu amenyakuliwa na watu wasiojulikana hakuna taarifa yoyote ya maana iliyotolewa na viongozi wa serikali. Kwa sasa nchi yetu siyo mahali salaama kuishi hususani kwa wapinzani wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii maisha ya wapinzani yamekuwa...
  13. L

    Rais Samia Aufunga Mkoa Wa Tanga Kwa Muda .Watu Wafurika Mkutanoni hata sisiminzi hawezi kupata mahali pa kupitisha Mguu Wake..

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ni zaidi ya upendo ndugu zangu watanzania ,haya ni mahabaa ambayo watanzania wanampatia Rais Samia. Huu ni upendo wa kukabidhi moyo kwa Mtu. Kwa hakika watanzania wametoa mioyo yao ya upendo na kumpatia Rais Samia. Huyu Rais Samia siyo binadamu wa kawaida hata...
  14. Stephano Mgendanyi

    Rais Dkt. Samia: Barabara ya Bagamoyo - Pangani - Tanga na Daraja la Pangani Kufungua Mkoa wa Tanga Kiuchumi

    RAIS DKT. SAMIA: BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA PANGANI KUUFUNGUA MKOA WA TANGA KIUCHUMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa dhamira ya Serikali ni kuufungua na kuunganisha Mkoa wa Tanga na ushoroba wa Ukanda wa...
  15. mdukuzi

    Tanga ilitakiwa uwe mkoa wa pili kwa uchumi baada ya Dar Es Salaam

    Mkoa umebarikiwa kila kitu Sijui wagosi wanafeli wapi
  16. Roving Journalist

    Rais Samia afungua Shule ya wasichana Tanga, apendekeza iitwe Beatrice Shellukindo

    Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025. https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi iitwe jina la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi kupitia CCM Beatrice Shellukindo aliyefariki...
  17. chiembe

    Mchungaji Msigwa apewe ukuu wa Mkoa wa Iringa ili akasimamie ajenda zake kwa wananchi

    Msigwa amewapigania wana iringa kwa uchungu mkubwa sana wa kiwango cha mama mjamzito. Nashauri Mh. Rais amateur kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa ili akatimilize kiu yake ya kuendeleza Mkoa wa Iringa
  18. Teko Modise

    Wakali wa location, hapa ni mkoa gani?

    Twende kazi, hapa ni mkoa gani? Taja sifa moja unayoijua kuhusu hapa…
  19. milele amina

    Rais Samia amesema Mkoa wa Tanga umepokea Sh3.1 trilioni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali! Hiyo miradi Iko wapi?

    Rais Samia Suluhu Hassan ameweka wazi kuwa Mkoa wa Tanga umepokea kiasi cha Sh3.1 trilioni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali. Hata hivyo, kauli hii imeibua maswali mengi miongoni mwa wakazi wa mkoa huo, huku wengi wakihitaji ufafanuzi kuhusu miradi hiyo na jinsi fedha hizo...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Ashiriki Sherehe ya Police Simiyu Family Day

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Ashiriki Sherehe ya Police Simiyu Family Day 📅 Tarehe: 22 Februari 2025 📍 Eneo: Viwanja vya Kituo cha Polisi, Itilima Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameshiriki katika sherehe ya Police Simiyu...
Back
Top Bottom