Stanslaus Nyongo, amesema ofisi yake imeandaa mkakati wa kuanzisha soko la ardhi litakalowawezesha wananchi kununua na kuuza ardhi.
Note: Je huu ndio msumari wa migogoro ya ardhi?
Source...
Kero yangu ni kutokulipwa malipo ya extra duties kwa watumishi ambao tumehama katika Hospitali ya Wilaya ya Nzera, Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Mkoa wa Geita.
Viongozi wa hospitali hawajalipa malipo ya extra duties kwa wafanyakazi ambao tulifanya kazi hizo kwa nguvu zetu zote. Badala yake...
Anonymous
Thread
geita
halmashauri
hospitali
hospitali ya wilaya
katika
mkoamkoa wa geita
watumishi
wilaya
wilaya ya geita
Wakuu, habari za muda huu.
Ni lini Jeshi la Polisi na mamlaka nyingine zinazohusika zitachukua hatua kuhusu hali ya malori yanayosafirisha mizigo kutoka bandarini kwenda bandari kavu, maarufu kama “Trip Town”?
Malori mengi katika eneo hili yanaonekana kuwa katika hali isiyoridhisha kiusalama...
Naomba kupaza sauti yangu kama mkazi wa Kata ya Kitongo Sima, Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza. Tumekaa takribani wiki tatu sasa bila kupata maji. Hali ni ngumu sana na wananchi tunateseka kwa kukosa huduma hii muhimu.
Tunaomba Serikali kupitia Wizara ya Maji itusaidie kufuatilia na kukagua mradi...
Anonymous
Thread
kupitia
magu
maji
mkoa
mradi
mwanza
serikali
sima
wilaya
wilaya ya magu
wizara
wizara ya maji
Ofisi ya TAESA (Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania / Tanzania Employment Service Agency Mkoa wa Dodoma, inatoa nafasi za Internship na fursa nyingine za kazi kwa upendeleo wa kujuana, badala ya kuzingatia sifa na vigezo vinavyostahili.
Aidha, baadhi ya wanaopata fursa hizo huwahudumia waombaji...
KIGOMA: Tukio la wizi limetokea usiku wa kuamkia leo katika ofisi za Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Kigoma, ambapo mikeka 100 imeibwa ikiwa na thamani inayokadiriwa kufikia shilingi milioni 1.5.
Mikeka hiyo ilitolewa na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mhe. Babalevo, kwa...
Kinachonisumbua zaidi ni namna anavyosimulia maamuzi hayo kana kwamba hatma ya Tanganyika ilikuwa jambo ambalo alikuwa na mamlaka binafsi ya kuliamua. Kana kwamba nchi ilikuwa mali yake kiasi kwamba angeweza kuamua mustakabali wake bila kuwashirikisha Watanganyika wenyewe.
Tanganyika ilikuwa...
Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa.
Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa...
Habari za majukumu, wanajukwaa la JamiiForums.
Tunaomba mtupazie sauti sisi watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi, kuhusu changamoto mbalimbali za kiutumishi na kiutawala zinazotukabili.
Kwanza, watumishi hatujawahi kulipwa stahiki za nauli za likizo. Aidha, fedha...
Anonymous
Thread
dhuluma
hospital
hospitali
hospitali ya wilaya
idara
jamiiforum
kilwa
kinyonga
lindi
majukumu
manyanyaso
mkoa
sauti
watumishi
wilaya
wilaya ya kilwa
Kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu, hataki kuagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Manispaa ya Moshi kupatiwa Hati za Umiliki, ili kuweka utaratibu wa kisheria wa umiliki na matumizi ya maeneo hayo?
Tunaomba mamlaka husika zifanye uchunguzi kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi na watumishi katika Ofisi za Wizara ya Ardhi Mwanza, ili zipatiwe ufumbuzi wa kudumu.
Changamoto ya vyoo vya matumizi ya pamoja
Jengo hilo lina mlango mmoja wa kuingia kwenye eneo la vyoo, ambavyo vinahusisha...
Habari wandugu.
Harufu ya UFISADI.
Kweli inasikitisha sana nchi hii hivi kweli ofisi ya mkuu wa mkoa imekosa watalaamu wa kugundua ufisadi uliofanyika .
Badala yake mkuu wa mkoa anasimama anabariki kilichofanyika
Kama jambo hili lingefanyika china hapo naamini wachina wangeanza na mkuu wa mkoa...
Kwa hakika unafanya kazi nzuri na kubwa sana kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dodoma.
Asante kwa kazi kubwa na nzuri unazofanya katika kuuheshimisha mkoa wa Dodoma na makao makuu ya nchi. Katika mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa mwaka jana, wakati wa kuteu na kuthibitisha jina la...
Sisi wananchi wa Igoma, Mwanza, tunakabiliwa na changamoto ya usafiri wa daladala kwenda maeneo mbalimbali, ikiwemo katikati ya jiji, Buhongwa, Airport na Ilemela.
Kwa sasa, tunategemea daladala zinazotoka Kisesa au Kishili. Hata hivyo, zinapofika Igoma huwa tayari zimejaa, hali inayosababisha...
Anonymous
Thread
daladala
ianzishe
igoma
latra
mkoa
mwanza
route
wananchi
Wamama na watu wanaolalamika kubomolewa nyumba zao ukifuatilia aliyehusika kubomoa nyumba hizo ni mtu wa Kilimanjaro.
Watu wa mkoa huo kukudhulumu eneo lako ni kitu cha kawaida sana.
Fuatilia migogoro inayoibuka kwa kasi sasa hivi huko Madale, Goba, Mbweni, Bagamoyo, Kibaha
Serikali imeelekeza zaidi ya Sh 1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika utekelezaji wa miradi ya umeme, barabara, maji, elimu na afya.
📍Itilima-Simiyu
🗓️Septemba 14, 2026
——————————
Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani...
awamu
awamu ya sita
katika
kipindi
mkoa
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
serikali
simiyu
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mwigulu
waziri mkuu mwigulu nchemba
zaidi ya
Kupanda bajaji na Bodaboda ni roho mkononi.
Waendeshaji wa vipando hivyo hawaheshimu sheria wala watumiaji wengine wa barabara.
Matokeo yake ni kama hiyo bajaji, lori na daladala "wamemfanyizia" bajaji,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.