Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameongoza kwa mafanikio matembezi ya kuunga mkono maamuzi ya Chama kwa kuteua Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Mgombea Mwenza wake, Ndugu Emmanuel Nchimbi.
Matembezi haya, ambayo...
RIPOTI FUPI YA UHITAJI WA UWEKEZAJI AU MNUNUZI WA MGODI WA DHAHABU
Historia:
mgodi una leseni PMLs na ziko tatu zilizo ungana pamoja
Mgodi ulianza rasmi shughuli za uchimbaji mwaka 2019. Ni mgodi mpya ambao bado haujafikia uchimbaji wa kina, kwani uchimbaji upo kwenye miamba laini karibu na...
Major General Peter NKUBA CHIRIMWAMI, mkuu wa jeshi na mkuu wa mkoa wa Kivu Kasikazini, jana tarehe 23 Januari 2025, majira ya saa moja na dakika 44 usiku,alipokuwa amewatembelea wanajeshi wake kuwaunga mkono katika vita na kundi la waasi la M23, alimiminiwa risasi na kufariki hapo hapo.
Baada...
Tarehe 20 Januari 2025, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Virusi vya Marburg (MVD) unaoathiri wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, Kaskazini-Magharibi mwa nchi Kilomita 1450 na 1068 kutoka Dar es Salaam na Arusha kwa mtawalia.
Kufuatia mlipuko huu...
https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e
Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki...
Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA..
Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na...
freeman mbowe
makao
makao makuu
mayemba
mbowe
mbwa
mkoa
mwenyekiti wa chadema
njombe
ofisi za chadema
rose
rose mayemba
rushwa
uchaguzi
uchaguzi 2025
walinzi
https://youtu.be/nLcsl_rWxOo?si=p2kxWopIgVxceR8x
Wajumbe wenye sifa za kupiga kura kumbukeni mnawakilisha wanachama wa maeneo mnapotoka. Chagueni kulingana na matakwa ya wanachama badala ya kuangalia njaa zako.
Wanachama kutoka kila kanda wameshatoa matamko ya kumtaka Tundu Lissu, sasa ole...
Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo)
Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na kukaa buree
0695252896
Tangu mwaka huu 2025 umeanza TANESCO wamekuwa na huduma mbaya ndani ya Mkoa huu wa kwao wa kiutendaji (KINONDONI SOUTH) hasa njia ya umeme ya kutoa huduma kuanzia Kimara mpaka Kibamba.
Umeme Kila siku unakatika katika ndani ya muda mfupi na wakati mwingine kukatwa kwa muda mrefu kwa maelekezo...
Dar: NEMC na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wafanya Usafi Ilala
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki katika zoezi la kufanya usafi wa Mazingira lililofanyika katika Wilaya ya Ilala.
NEMC imeshiriki zoezi hilo ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
Nimezunguka hii nchi ila hiyo mikoa imenitetemesha. Mbeya wanayo ya asili, Mtwara wanayatengeneza mtoto anapo zaliwa, yanakuwa yanabinuka juu juu, malainii viuno wanavirekebisha na shanga, pia yanakuwa yamoto kama jiko la mkaa.
Nadhani kuna uzi unaofundisha jinsi wanavyofanya.
Kiungozi nani mkubwa kati ya Mbunge na Mkuu wa Mkoa?
Mbunge na Mkuu wa Wilaya? Nani ana ukuu kati yao. Uki refer kwa kilichotokea kwa Makonda dhidi ya Gambo. Je nani yupo sahihi na kwa nini.
Je Waziri akiwa katikati yao nani ana sauti au mkubwa kati yake na Mkuu wa Mkoa, bahati mbaya sikusoma...
Natafuta kazi nipo mkoa wa Tabora. Pia hata kufundisha masomo ya sayansi ya sekondari yaani Physics, chemistry,computer, na mathematics naweza. Kwa yeyote mwenye connection msaada
Rufiji inafaa sasa kuwa Mkoa kamili. Ili kumpelekea mwananchi maendeleo. Kaskazini mtusubiri Kwanza.
**Rufiji ndipo alipotokea Mpigania Uhuru maarufu nchini Mheshimiwa [Bibi Titi Mohammed]
MAKAO MAKUU: Ikwiriri,
Wilaya:
1. Mkuranga,
2. Rufiji,
3. Mafia,
4. Kilwa,
5. Kibiti.
Taarifa zinasema tayari ameshapewa barua ya Show cause ya kwanini asifutwe uongozi na Uanachama kwa kosa la kutukana na kukashifu Viongozi wake kwenye Mitandao ya Kijamii akiwemo Mhe Tundu Lissu na John Heche,
Taarifa zinasema Ntobi anakabiliwa na kosa la ukosefu wa nidhamu kesi ambayo...
Yes ni wapare. And we are proud to be wapare. Tupo wapambanaji na tumezoea maneno yenu hayatuzuii kitu.
Mkisusa kuwaoa wapare wao wanaoana na wala hamna shida kwani lazima kuolewa na ninyi? Mambo ya roho mbaya na ukatili ni ya kufikirika tu. Ni myths. Maana watu wamekuwa wakipakaza sana juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.