mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge Norah Mzeru Aendeleza Mbio za Ujenzi wa Nyumba za Watumishi wa UWT Mkoa wa Morogoro

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi NONDO NA KOKOTO KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA MTUMISHI WA UWT MKOA WA MOROGORO vyenye thamani ya shilingi milioni moja (1,000,000) Sambamba na hilo Mhe. Norah Waziri Mzeru amesema ataendelea kutekeleza Ilani ya Chama...
  2. Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara MTPC wapewa mafunzo ya Usalama Mtandaoni

    JamiiForums imeendesha mafunzo ya Usalama Mtandaoni kwa Waandishi wa Habari 25 wanaowakilisha Vyombo mbalimbali vya Habari Mkoani Mtwara kwa kushirikiana na Chama cha waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara MTPC Mafunzo hayo yanalenga kuongeza ufanisi kwa Waandishi katika kazi zao kwa kuzingatia...
  3. Kila mkoa kuwe na eneo maalum la walemavu

    Huwa napata uchungu sana pale nikiwa natembea bara barani halafu nakutana na mtu mwenye ulemavu akiwa na bakuli anaomba omba, Wazo langu kwakuwa sisi watanzania hatunaga baya pale tunapoona serikali inatoa msaada basi serikali itenge maeneo maalumu ya watu hawa na iwatengenezee miundombinu ya...
  4. Maonesho ya Madini yafungua Mkoa wa Lindi

    #Mkoa watajwa wa Tatu kwa wingi wa Madini nchini. Ruangwa - Lindi Maonesho ya Kwanza ya Madini na Fursa za Uwekezaji yanayoendelea Mkoani Lindi yametajwa kuufungua mkoa huo kiuchumi na kuongeza fursa mbalimbali za uwekezaji katika Sekta ya Madini. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini Dkt...
  5. Ni sawa dalali kufanya kazi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa?

    Naomba kupata Uelewa kuna jamaa mmoja ni dalali wa magari na mambo kama hayo ila anafanya kazi ofisi ya mkuu wa mkoa fulani hivi hii iko sawa?
  6. Mbunge Martha Mariki Achangia UWT Milioni 2 na Mifuko 60 ya Saruji Ujenzi Nyumba za Makatibu UWT Wilaya ya Mpanda na UWT Mkoa wa Katavi

    MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya Simenti kwaajili ya Kusaidia Ujenzi wa Nyumba za watumishi wa UWT Wilaya ya Mpanda na UWT mkoa wa Katavi. Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya...
  7. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma imekuwa ya ndugu wa Madaktari, Manesi na Washkaji zao

    Hospitali hii imekuwa ya ndugu wa madaktari, manesi na washkaji zao.. Tangu afe Magufuli huduma za hospitali Rufaa Mkoa wa Ruvuma zinatolewa kwa kujuana sana, ndugu wa watoa huduma hospitalini madaktari na manesi pamoja na washkaji zao wao kwa wao wanaingia na kutoka sisi wengine tumekaa tu...
  8. DOKEZO Mkuu wa mkoa wa Dar, wadhibiti wanaotaka kujigawia soko la Mbagala Zakhiem kinyume na utaratibu uliopangwa na Manispaa

    Ujenzi wa uboreshaji soko la Mbagala Zakhiem umekamilika na wafanyabiashara wa soko hilo walitegemea warejeshwe kwenye soko hilo kulingana na utaratibu waliopewa kabla ya ujenzi, kinachoendelea hivi sasa ni wamejitokeza viongozi wanaotaka kuvuruga utaratibu wa kuwarejesha wahusika ili wajigawie...
  9. Ni mkoa gani Tanzania kinafanyika kilimo Cha umwagiliaji?

    Kama unataka Mali basi utaipata shambani, Mimi nimeamua kuunga juhudi nikashinde na kuteketea shambani huko labda tutatokea huko, nilichogundua biashara sio kwa ajili ya Kila mtu huko competition+uchawi ni mkubwa. Mtaji wa kilimo kianzio kama million 5 upo, nataka nilime kwa kutegemea...
  10. TANZIA 10 wafariki baada ya lori la Polisi kugongana na kirikuu Kilimanjaro

    #BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
  11. Ziara ya Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Mkoa wa Tabora, Igunga

    📍Igunga, Tabora Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Zainabu Shomari (MNEC) akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe. Sauda Mtondoo, Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Bw. Francis Msabila, Mganga Mkuu wa Wilaya, Mganga...
  12. A

    DOKEZO TAKUKURU na Serikali ya Mkoa Songwe ielezeni jamii kilichotokea kuhusu tuhuma za Kaimu Meneja wa TANROADS

    Kuna jambo limetokea linahusu rushwa, sijajua kwa sababu zipi halitangaziwi au halitajwi hadharani, inawezekana kuna bado mamlaka zipo kazini au inawezekana pia kuna vitu havipo sawa. Hapa kwetu Mkoani Songwe kuna jambo limetokea likimhusisha Kaimu Meneja wa Wakala ya Barabara Tanzania...
  13. Natafta kazi yeyote halali Niko mkoa wa Arusha

    Mimi ni kijana mwenye miaka 25, naishi mkoa wa Arusha ,elimu yangu ni kidato cha nne, naomba mwenye kazi yoyote kama kichwa cha habari nilivyo andika anisaidie, nna uzoefu mzuri katika kazi za jikoni kwa upishi wa vyakula mbalimbali ikiwa ni pamoja na usafi wa jikoni unahusika pamoja na vyombo...
  14. Albert Chalamila, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliyelishika jiji kwa uharaka

    Inawezekana nikawa nipo sahihi au sipo sahihi . Kwa maoni yangu tangu Chalamila afike DSM jiji limetulia, kila kitu ni shwari. Kinachofurahisha zaidi Chalamila ameishika Dar bila Kiki wala ubabe, ametulia anachapa kazi. Namuona mtu huyu akija kuwa kiongozi mkubwa zaidi siku za usoni. Mnyonge...
  15. S

    Hii issue ya Daladala na Bajaji Arusha serikali ya mkoa imeshindwa

    Tulishuhudia mgomo wa daladala za kutoka Morombo kwenda mjini Arusha, wakaahidiwa kulishughulikia. Wakiwa ktk mchakato wa kulishughulikia bajaji wakaandamana, serikali ikawagwaya, imewaogopa maana waliitishia serikali kuwa watarudia kazi yao ya kuvunja na kuiba. Nafikiri Rais angewaondoa hao...
  16. Mbunge Martha Festo Mariki Ahitimisha Ziara na kugawa Milioni 29 Katika Kata Zote 58 za Mkoa wa Katavi

    MBUNGE MARTHA FESTO MARIKI AHITIMISHA ZIARA NA KUGAWA MILIONI 29 KATIKA KATA ZOTE 58 MKOA WA KATAVI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amehitimisha ziara yake ya kutembelea Kata 58 za Mkoa wa Katavi katika Kata ya Majimoto na Kasansa zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya...
  17. Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Pwani, Subira Mgalu

    MBUNGE SUBIRA MGALU AKIWA KATIKA ZIARA MBALIMBALI NDANI TANZANIA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu ameendelea na ziara mbalimbali na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM katika mikoa mbalimbali nchini. Mhe. Subira Mgalu katika kilele cha Sikukuu ya NaneNane ametembelea...
  18. Mufti Mkuu amtengua Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Simiyu kwa kukiuka maagizo ya Mkutano Mkuu wa BAKWATA

    Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar Zuber Bin Ally amemsimamisha Sheikh wa Mkoa wa Simiyu, Mahamoud Salum Kalokola kutokana na kukiuka maamuzi halali na maagizo ya mkutano Mkuu ya Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Mkoa uliofanyika Juni 10, 2023. Baada ya maamuzi hayo Khadhi wa Mkoa wa Simiyu, Issa...
  19. Ni rasmi sasa kwa watu wa mkoa wa Kigoma ni rukra kuvaa chapa (logo) ya JWTZ

    Ni marufuku kuvaa nguo ya jeshi kama wewe sio mwanajeshi, lakini kwa heshima yako wewe mwana Kigoma, kwa heshima ya mashabiki wa Mashujaa Football Club, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Jacob John Mkunda kakupa uhuru sasa utavaa Logo ya JWTZ kifuani kwako. Hii ni heshima kubwa...
  20. Dkt. Kijaji: Uongozi Mkoa wa Tanga shirikianeni na Taasisi kutatua changamoto za wafanyabiashara

    Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Ashatu Kijaji(Mb.) ameushauri uongozi wa Mkoa wa Tanga kushirikiana na Taasisi husika kutatua changamoto za wanazopata wafanyabiashara wa Jiji la Tanga. Dkt. Kijaji ameyasema hayo Agosti, 3 2023 alipokua na wafanyabiashara Jijini Tanga kwa lengo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…