Habari za Asubuhi ?
Ninatanguliza shukrani kwa jukwaa hili la fichua UOVU.
Nimewahi kwenda kupata msaada kwenye ofisi ya mtendaji wakata ya Nyaruzumbura , Wilaya Ya kyerwa, Mkoa Kagera, nilichokutana nacho huko kinatisha sana
Rushwa imetawala vyakutosha kuanzia kwa MTENDAJI WA KATA, MTENDAJI...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kufanya...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amekemea Matendo ya Mauaji, imani za kishirikina pamoja na Ubakaji na Ulawiti.
RC Chongolo ameyasema hayo alipofanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na Wananchi Wilaya ya Mbozi.
Pia soma ~ Watoto waliopokelewa Shule Mwaka 2024 Mkoani...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ashiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki
Maswa, 16 Januari 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif, ameshiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki uliofanyika katika Uwanja wa Ngunzo Nane, Maswa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemtia mbaroni Mtu mmoja aitwaye Emmanuel Sulwa Mapana (24) maarufu Mchambi Mkazi wa Mtaa wa Sima, Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu akiwa na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania zenye cheo cha Luteni.
Polisi Simiyu wamesema leo February 14,2025 saa 6:30 mchana...
Habari ndugu zangu wa Jammi Forum, mimi ni kijana wa miaka 29, mwenye uzoefu wa kusimamia watu na tasisii kwa miaka 7, saizi sina kazi, naomba kazi yoyote ndani ya mkoa wa Mbeya, kazi yoyote nipo tayari. Asante.
Ndiyo maana wenye Akili tunakudharau kwani tunajua kuwa hizi Sifa zako zote za kuja na Kampeni za kila aina sijui Land Rover Day mara Nyama Day mara Couples Day na nyinginezo zisizo na Sifa wala miguu ni dalili ya Kiongozi Goi Goi ambaye anapenda Cheap Popularity ili kuyaficha Madhaifu yatonayo...
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amewasihi wazazi na walezi mkoani Humo kuhakikisha wanawasimamia Watoto wao wanapata elimu iliyo bora itakayowawezesha kujitengenezea maisha badala ya kutumia muda mwingi kujipendekeza na kuwa machawa.
Mwassa ametoa kauli hiyo Februari 11, 2025 kwenye...
Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo 13 yenye thamani ya zaidi ya sh. Bil 4.4 kwenye sekta ya Elimu, Barabara na Biashara ambapo kati ya hiyo...
Mkuu wa Mkoa wako uliko sasa je anafaa kuendelea kushika wadhifa huo kuwahudumia wananchi? mimi Mkuu wangu wa Mkoa Chalamila naona ni vema akae pembeni sijui wewe huko uliko mkuu wako wa mkoa anawajibika?
Wabunge wa Mkoa wa Simiyu wamesusia kongamano lililoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kihongosi kwa lengo la kuunga mkono Azimio la Mkutano Mkuu kumpitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais mwaka 2025.
mkutano huo umefanyika wilaya ya Bariadi ambapo hata mbunge jimbo husika la...
Ni aibu ufafanuzi wake kuhusu clip inamfunua akikebehi maskini hasa wagonjwa wasio na uwezo kiuchumi kujigharamia , lugha yake ya mwili katika kujitetea hauji katika ukweli awamu hii Chalamila amekamatika tena ajiuzuru ama afukuzwe haraka sana amevimbiwa,.
Huyu mtu pumbavu wa kutupwa...
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AWAJIBISHWE HARAKA KULINDA UTU WA WANANCHI
Chama cha ACT Wazalendo kinalaani vikali kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Albert Chalamila inayowataka wanawake kujifungua nyumbani kwa kutumia visu na mikasi endapo watakosa fedha za kulipia huduma...
Watanzania wamesikia kauli ya mkoa wa Dar, Albert Chalamila kuwa, mjawazito atawajibika kuchangia matibabu na akishindwa aende akajifungulie nyumbani. Japokuwa imetolewa kwa kebehi lakini ni kauli iliyobeba uzito mkubwa ikizingatiwa sera rasmi ya serikali katika sekta ya afya ni mjawazito...
Leo watu wanamshambulia Mkuu wa mkoa wa Dar Kwa kumjibu mama mjamzito aliyeambiwa na wauguzi kuhusu kuchangia pesa ya kumnunulia gloves 🧤 za kumsaidia kujifungua
Mimba ni miezi 9 sio suala la ghafla kama ajali,
Yaani mwanamke anavua chupi, mimba inaingia, unalea mimba miezi 9,
Hadi siku ya...