mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Geita: Wazee wa mkoa wawataka vijana kuchangamka na kuacha kuilaumu serikali

    Ikiwa leo Tanzania Bara inaadhimisha miaka 63 ya Uhuru wazee waliozaliwa kabla ya uhuru mkoani Geita wamewataka vijana kuacha kuilalamikia serikali kwamba haileti maendeleo kwenye jamii zao Badala yake waiunge mkono izidi kuleta maendeleo kwani mpaka sasa Tanzania imepiga hatua kubwa ya...
  2. Fashion Black Cuban Chain Bracelet On Aliexpress Tanzania Mkoa wowote

    Fashion Black Cuban Chain Bracelet Elevate Your Style with the Fashion Black Cuban Chain Bracelet Buy: Here Introduction Are you on the hunt for a stylish accessory that speaks volumes about your fashion sense? Look no further than the Fashion Black Cuban Chain Bracelet from Show Jewelry Store...
  3. M

    Nimekwama huku Pwani, natafuta kibarua au kazi

    Habari zenu Wana jamiiforums, Ni mwenyeji wa mkoa wa Singida, naombeni connection ya kibarua iwe ni ujenzi (kama saidia fundi au kupanga pavings Nina uzoefu nayo) yaani chochote hata Cha kulima, kusafisha mashamba kwa maeneo ya huku Pwani ya kibaha maana Mimi nipo sehemu inaitwa mlandizi. Sina...
  4. Mkoa nitakaoweza kutoboa kimaisha kirahisi kati ya Dar na Mwanza nikiwa na mshahara wa laki 5 na point

    Ndugu zangu Mimi ni mtumishi wa umma, mshahara wangu ni kati ya laki 5 mpaka 6 kwa mwezi nikiondoa makato na Kodi Hivi Sasa naishi kwenye mkoa wa kawaida kutokana na location ya ajira , hivyo kutokana na ugumu wa maisha minaokumbana nao hapa ikiwa ni pamoja na kukosa kitu cha ziada cha kuongeza...
  5. LGE2024 Ruvuma: Mkuu wa Mkoa Ahmed Abas ashiriki kwenye zoezi la kupiga kura Songea

    Leo Novemba 27,2024 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas akiwa ameongozana Mkewe Bi.Riziki kwa pamoja wameungana na Watazania Wengine kushiriki katika zoezi la kupiga kura za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika kituo Ofisi ya Kata Namba Moja kilichopo Mtaa wa Mahenge Manispaa ya Songea ...
  6. LGE2024 Zoezi la Upigaji Kura Mwanza linaendelea licha ya mvua kunyesha, leo Novemba 27, 2024

    Mbali na baadhi ya wananchi kujitokeza lakini kumekuwa na changamoto mbalimbali kama vile Utaratibu wa majina haujafuata mpangilio wa majina ya watu (alfabeti) na kuchanganywa hali ambayo inasababisha usumbufu kwa wapigaji kura Mfano Katika kituo cha kupigia kura cha National Housing Kata ya...
  7. LGE2024 Simiyu: RC Kihongosi ahamasisha Wananchi kujitokeza kupiga Kura na kuepuka kusalia Vituoni

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaasa wakazi wa mkoa huo kuendelea kujitokeza kwa wingi katika vituo vya kupigia kura katika mitaa yao ili kuchagua viongozi watakaowaongoza katika mitaa yao. Akizungumza baada ya kupiga kura katika mtaa wa Sesele uliopo kata ya Nyakabindi wilayani...
  8. Wawili wafa kwa radi Mkoa wa Rukwa

    Jana,katika Mkoa wa Rukwa watu wawili wameuawa kwa kupigwa radi walipokuwa shambani baada ya mvua kunyesha kidogo mchana kweupe. Shuhuda mmoja wa hili tukio amesema,"Kama yupo mtu yoyote aliyefanya hiki kitendo,anapaswa kuona aibu. Angalia watu wote hawa wanavyolia!" Waliokufa ni mama na mtoto...
  9. A

    KERO Tatizo la umeme kukatika limekithiri mkoa wa Mtwara

    Hivi karibuni tatizo la kukatika kwa umeme mkoa wa Mtwara limekuwa kubwa na kero kwa wananchi. Mkoa wenye gas asilia na makaa ya mawe lakini tatizo la umeme limekithiri. Najiuliza wakazi wa Mtwara wameongezeka kiasi kwamba Tanesco wanazidiwa au tatizo nini. Umeme unaweza kukatika zaid ya...
  10. LGE2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja, akamatwa na Polisi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja, kwa madai ya kutoa kauli za kuhamasisha wananchi kuvamia makazi ya wasimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 wa Mkoa wa Kilimanjaro. Kwa mujibu...
  11. D

    DOKEZO TANROADS mkoa wa Arusha wekeni matuta pale shule ya msingi Kimandafu na njia ya ng'ombe au mnasubiri maafa makubwa yatokee

    Shule ya Msingi Kimandafu ipo kati ya Maroroni na Kikatiti. Ukitokea Maroroni, eneo hilo ni mteremko wenye kivuko cha watoto chenye alama za pundamilia, lakini madereva wengi hawazingatii. Leo asubuhi, mwanafunzi alinusurika kugongwa na gari ndogo iliyokuwa ikitokea Maroroni. Pale eneo la...
  12. Serikali Ijenge shule za Michezo kila Mkoa

    Ndugu wana Jamiiforums Kwanza nianze kwa kuipongeza timu yetu ya taifa (Taifa Stars) kwa kufuzu kushiriki fainali za kombe la Mataifa ya Africa zitakazofanyika nchini Morocco. Ni hatua nzuri na ya kujivunia kuona soka la Tanzania linazidi kukua na kuonesha mwanga mwema wa mafanikio. Pia ni...
  13. LGE2024 ACT Wazalendo: Tumesikitishwa na kitendo cha Polisi kumkamata Mwenyekiti wetu Mkoa wa Songwe, Ezekia Zambi

    TAARIFA KUTOKA ACT WAZALENDO Kwa masikitiko makubwa, tumepokea taarifa ya kukamatwa na Polisi kwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo wa Mkoa wa Songwe leo tarehe 22, November, Ndugu Ezekia Elia Zambi bila sababu za msingi zinazojulikana. Pia soma: LGE2024 - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro...
  14. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mtanda: Ajibu shutma vurugu za Simba SC, CCM Kirumba, "Sikuingia Uwanjani"

    Kufuatia sakata lililotokea Mwanza, na Uongozi wa klabu ya Simba kutoa taarifa ya kulaani vikali vitendo visivyo vya kiungwana vilivyodaiwa kufanywa na viongozi wa timu ya Pamba Jiji FC kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, pamoja na maafisa wa polisi. Soma, Pia: + Vurugu...
  15. L

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza RC Mtanda unamchonganisha Rais na mashabiki wa Simba kwa mambo ya hovyo kabisa, Omba radhi yaishe

    Najaribu kufikiria sana kwanini RC uliamua kufanya haya uliyoyafanya, wewe ni wa kwenda uwanjani kweli na masilaha ya moto? Wewe kazi yako c kuagiza tu kwa RPC ss iweje ubebe magari ya umma na masilaha kwenda kukabiliana na wachezaji na viongozi ambao hawana hatia? Hihi kweli RC wangap...
  16. Simba heshimu mamlaka, mkuu wa mkoa ni Rais wa eneo lote la Mkoa wake

    Viongozi wa Simba mmeonesha ni jinsi Gani mlivyo watu wa matukio na madeko Hamjui kuwa mkuu wa mkoa ndo Rais wa mkoa katika mkoa wake Utamzuiaje mkuu wa mkoa kuingia uwanjani ulio ndani ya mkoa wake kama sio dharau Kwa mamlaka Mmekaribishwa vizuri Mwanza, Sasa mnazua taharuki na kujifanya mko...
  17. Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba

    Soma pia: Vurugu kali zimezuka Uwanja wa CCM Kirumba wakati Simba SC ikifanya mazoezi kuelekea mechi na Pamba Jiji hapo kesho' ======== Uongozi wa klabu ya Simba umesikitishwa na vitendo visivyo vya kiungwana vilivyofanywa na viongozi wa timu ya Pamba Jiji FC, kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa...
  18. LGE2024 CCM Mkoa wa Simiyu: Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimezindua rasmi kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, ikiwa ni hatua muhimu katika kuhakikisha wananchi wanashiriki kikamilifu katika uchaguzi huu muhimu. Uzinduzi wa kampeni hizi umefanyika katika kijiji cha Dutwa, Wilaya ya...
  19. L

    LGE2024 Tundu Lissu nakushauri wewe ndio ukamzuie Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na sio kuwatafutia matatizo wananchi

    Unawatangazia wananchi kuwa wakimuona Mkuu wa Mkoa wamzuie, ebo.Mkuu wa Mkoa ambaye ametajwa kikatiba, ametajwa kwenye sheria ya Tawala za Mikoa Na.19 ya mwaka 1997, ametajwa kwenye kanuni za kudumu za utumishi wa umma, mwenyekiti wa kamati ya usalama mkoa, wananchi wazingire gari lake...
  20. KERO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho hakina mpangilio wa huduma: TANROADS, Jeshi la Polisi, DED Ubungo na Ofisi ya RC ujumbe huu unawahusu

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli. Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…