mkoani

Mkoani is a town located on the Tanzanian island of Pemba. It is the capital of Pemba South region, as well as Mkoani District. Mkoani now has the busiest harbour on Pemba island, most ferries from Zanzibar or the mainland arrive at Mkoani.The Abdulla Mzee hospital is in Mkoani.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    CHADEMA, ACT Wamkaribisha kwa Shangwe Dkt. Samia Suluhu mkoani Lindi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu leo alishiriki kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani ambapo kitaifa yalifanyika mkoani Lindi. Mapokezi ya Rais Samia mkoani Lindi yalihudhuriwa na wananchi mbalimbali wakiwemo wananchama wa vyama vya Upinzani kama CHADEMA...
  2. L

    Kituo cha umeme wa jua chajengwa wilayani Xinfeng mjini Ganzhou mkoani Jiangxi, China

    Kampuni ya nishati mpya ya Ruixin iliyoko wilayani Xinfeng mjini Ganzhou mkoani Jiangxi, China imejenga kituo cha umeme wa jua chenye uwezo wa kuzalisha megawati 30 za umeme. Seti 28 za vifaa vya kuzalisha umeme zinaweza kusafirisha kwa wastani umeme kilowati saa milioni 30 kwa mwaka kwenye...
  3. Donnie Charlie

    Ruvuma: Kakakuona aonekana Feo Girls

    Mnyama Kakakuona ameonekana katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Feo, mkoani Ruvuma, huku baadhi ya wanafunzi wakiwemo wanaofanya mtihani wa kidato cha nne, wakifurahia kutokea kwa mnyama huyo, wakiamini ni neema kubwa kutokana na tabia za mnyama huyo.
  4. GENTAMYCINE

    Kipi 'Kimewanyamazisha' ghafla Wahalifu 'Panya Road' Mkoani Dar es Salaam?

    a) Mizizi yao imeshajulikana na imedhibitiwa Kiurahisi. b) Ulikuwa ni Mpango Mkakati wa kufunika Jambo kwa Kipindi husika. c) Kuuliwa Kwao Kishalubela ( Kikatili ) na Maiti zao Kurundikana Mochwari Kumewatisha na hata Kuwakimbiza Mjini. d) Wametumika kufikisha Ujumbe mahala fulani Juu kabisa...
  5. Huihui2

    Bajeti iliyojenga Uwanja wa Chato, ilipangwa kujenga Uwanja wa Omkajunguti Mkoani Kagera

    Athari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
  6. L

    Watoto wa shule ya chekechea waenda mashambani na kujifunza ujuzi wa kilimo mkoani Zhejiang, China

    Shule ya chekechea mjini Huzhou mkoani Zhejiang, mashariki mwa China Novemba mosi ilifanya shughuli ya “Darasa la mashambani”, ambako watoto walikwenda mashambani kujifunza ujuzi wa kilimo kupitia njia ya kuchora picha za mavuno, kutambua mimea ya mpunga na kutengeneza sanamu ya kuwinga ndege.
  7. L

    Roboti yasaidia kuongeza ufanisi wa uzalishaji wa pombe kiwandani mkoani Anhui, China

    Roboti ya kutengeneza pombe inafanya kazi katika kiwanda cha kutengeneza pombe mjini Fuyang, mkoani Anhui, China.
  8. JanguKamaJangu

    Morogoro: Mauaji ya wakulima na wafugaji, IGP Wambura aagiza askari wapishe uchunguzi

    IGP Camillus Wambura ametoa maagizo hayo kutokana na watu wawili kuuawa kwa silaha za moto na wawili kujeruhiwa wakati Polisi wakizuia vurugu Kijiji cha Ikwambi Kata ya Mofu, Wilaya ya Kilombero, Oktoba 23, 2022. IGP Wambura amesema “Nimeunda Tume Huru kuchunguza vurugu zinazotokea, lengo kujua...
  9. JanguKamaJangu

    Wauguzi wafutiwa leseni kwa kusababisha kifo cha mjamzito Mkoani Mtwara

    Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC), limewafutia leseni wauguzi wasaidizi wawili wa Hospitali ya Wilaya ya Mkomaindo, Masasi mkoani Mtwara, baada ya kupatikana na hatia ya uzembe uliosababisha kifo cha majamzito na mtoto wake." Wauguzi hao Elizabeth Njenga na Pascal Mnyalu, walishtakiwa...
  10. Action and Reaction

    Barua za uhamisho kutoka mkoani kwenda wizarani huchukua muda gani?

    Wanajamii wenzangu, barua yangu ya uhamisho katika ngazi za wilaya ilikamika kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine baada ya kusota kwa muda mrefu na nilishapeleka mkoani. Nashindwa kuelewa process ya mkoani kwenda wizara itachukua muda gani isije ikawa zinawekwa kapuni mana mpaka naifikisha mkoani...
  11. T

    Tunauomba uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukarabati wa uwanja wa Jamuhuri mkoani Morogoro ili mechi za Ligi Kuu zirudi kuchezwa mkoani hapo

    Amani iwe nanyi. Mkoa wa Morogoro ni miongoni mwa mikoa katika ardhi ya nchi ya Tanzania yenye wapenzi wengi wa Soka. Wachezaji wengi mahiri wametoka katika mkoa wa Morogoro. Ni muda sasa umepita toka dimba la Jamuhuri lilipofungiwa kutumika kwa michezo ya Ligi Kuu nchini Tanzania, kutokana na...
  12. A HUMBLE LEADER

    NECTA, kwanini msitumie teknolojia ya malipo kwa wasimamizi wa mitihani ili kuepusha malalamiko kama mkoani Tabora?

    MKOANI TABORA Wasimamizi wa mitihani ya NECTA ya Darasa la nne,kidato cha pili na cha nne walioitwa kwenye semina maalumu pale AMUCTA tarehe 15 na pale Themi Hill tarehe 17 wamelalamika kutolipwa posho za semina na nauli kwa kisingizio eti muongozo wa malipo haujatoka kutokea NECTA...
  13. Roving Journalist

    Rais Samia: Tumeleta umeme Kigoma ili kuvutia Uwekezaji

    Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Kigoma, leo Jumatatu Oktoba 17, 2022 Akizindua Umeme wa Gridi ya Taifa na Uzimaji wa Jenereta katika Mkoa wa Kigoma - Kasulu Mjini. Rais Samia amesema lengo la kuleta umeme kigoma ni kuanza kuvutia wawekezaji kwenye mkoa huo ulio pembenzoni mwa nchi...
  14. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge Mkoani Kagera. Aagiza TAKUKURU na ZAECA kuchunguza miradi iliyobainika kuwa na wizi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Maadhimisho ya Mbio za Mwenge katika uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini Mkoani Kagera leo tarehe 14 Oktoba, 2022 Hotuba ya Rais Samia - Rais Samia ametoa salaam na Shukrani kwa Viongozi wote waliohudhuria pamoja na...
  15. Roving Journalist

    Ras Samia azindua chuo cha VETA Mkoani Kagera

    RAIS SAMIA AZINDUA CHUO CHA VETA MKOA WA KAGERA. - Ni chuo Cha kisasa kilichogharimu Shilingi Bilioni 22 ikiwa ni ufadhili kutoka Serikali ya China. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Leo mezindua chuo Cha ufundi stadi na huduma VETA Mkoa wa Kagera ambacho Ujenzi...
  16. ommytk

    Mabasi yote ya mkoani yamezuiwa hapa Kibaha Stendi, foleni sijawahi kuona na hatujui hata sababu

    Mabasi yote ya mkoa tupo Kibaha hapa, foleni ni kubwa mno hatujui hata sababu. Tupo tumekaa tu kwenye magari. Tunaomba msaada vyombo husika, watu tunaenda mbali jamani.
  17. dennoo_appliances

    Tunauza Rim paper aina karibia zote cartoon moja sh 65,000/= unatumiwa mpaka mkoani

    Kama Tangazo linavyosema tunauza rim paper cartoon moja sh 65,000/= kwa aina zote za rim, kwa aliyeko dar ukichukua cartoon Zaid ya mbili unaletewa bure na tunatuma mpaka mikoani zifuatazo ni mfano wa zilizopo. 255713520180
  18. MIMI BABA YENU

    Mara: Kuuawa kwa majambazi 3 Serengeti, wananchi wawapongeza Polisi

    Wananchi mbalimbali mkoani Mara wamejitokeza kulipongeza Jeshi la Polisi kudhibiti vikali vitendo vya ujambazi ambavyo vilianza kushamiri mkoani humo hivi karibuni. Wananchi hao wameelezea namna vitendo vya uhalifu wa silaha za moto ambavyo hutekelezwa na baadhi ya ndugu na wanafamilia wenzao...
  19. Kigoma Region Tanzania

    Hapa ndio Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma

    Mwanga Kaskazini ni jina la kata ya Manisipaa ya Kigoma Ujiji katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania Mandhari katika Kata ya Mwanga Kaskazini, Kigoma-Ujiji Mini mart katika Kata ya Mwanga Kaskazini, Kigoma-Ujiji Shule ya msingi Katubuka, Mwanga Kaskazini, wilaya Kigoma Mjini, mkoa Kigoma...
  20. Mpinzire

    Mtoto wa miaka 15 auawa na Jeshi la Police Mkoani Mwanza

    Kijana Yahaya Aboubakar mwenye umri wa miaka 15 anadaiwa kukamatwa na askari polisi nyumbani kwa bibi yake mtaa wa Juhudi, Kata ya Mabatini wilaya ya Nyamagana Septemba 2, 2022, akiwa mzima, kisha polisi hao waliondoka nae na kumfungia ndani bibi yake Yahaya ambapo baada ya kufanikiwa kutoka...
Back
Top Bottom