Mkoani is a town located on the Tanzanian island of Pemba. It is the capital of Pemba South region, as well as Mkoani District. Mkoani now has the busiest harbour on Pemba island, most ferries from Zanzibar or the mainland arrive at Mkoani.The Abdulla Mzee hospital is in Mkoani.
Musoma, Tanzania
Waziri Mwigulu Nchemba apigwa maswali mazito na wananchi mkoani Mara
Wakaazi wa Sirari Rorya wasema wanamtambua vizuri hata mawe na majabali ya (mawe) kote nchini yaandikwa mwigulu rais ktk ya kampeni za urais 2015.
Baada ya sofa hizo waelezea fani na kamatakamata...
Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Sinde jijini Mbeya, Faraja Kasole (16), ameuawa kwa kukatwa na shoka shingoni na mwanafunzi mwenzie aitwaye Humphrey Ngogo (17) mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya sekondari Iduda, baada ya kushindwa kumbaka.
Chanzo cha mauaji hayo...
Mtu huyo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 35 aliokotwa hapo, huku pembeni yake kukiwa na chupa yenye pombe.
Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo na kuthibitishwa na wenyeviti wa mitaa hiyo miwili huku chanzo cha mauaji hayo kikiwa bado hakijajulikana na upelelezi wa kubaini...
Agosti 25, wanariadha wanafanya maonesho ya kusafiri mtoni kwa mashua ya mwanzi mmoja kwenye Michezo ya 10 ya Watu wa Makabila Madogo ya Mkoa wa Guizhou, iliyofanyika katika wilaya ya Rongjiang.
Na Pili Mwinyi
China na Afrika ni ndugu ambao wanafaana wakati wa dhiki na faraja, na uhusiano uliopo kati yao tunaweza kusema kwamba ni uhusiano wa kihistoria duniani.
Uhusiano huu mashuhuri ambao unajulikana vizuri na kwa mapana zaidi duniani, kutokana na umuhimu wake katika kuchangia...
Ajali mbaya imetokea katika eneo la Inyala mkoani Mbeya baada ya lori la mafuta kufeli breki na kugonga basi la abiria na gari ndogo na kusababisha vifo vya watu kadhaa na majeruhi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
---
Watu nane wamefariki...
Mkuu wa mkoa wa Tanga, Omari Mgumba ametoa kilio cha mlundikano wa wahamiaji haramu katika magereza yaliyopo katika mkoa huo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan hii leo.
Akizungumza mbele ya Rais Samia ambaye yupo mkoani humo kwa ziara ya siku mbili, mkuu huyo wa mkoa amesema kwamba mkoa huo una...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifunga Mafunzo ya Awali ya Askari wa Uhamiaji Kozi na. 1/2022, katika Chuo cha Uhamiaji Boma Kichakamiba leo tarehe 15 Agosti, 2022 Mkoani Tanga.
MKUU WA MKOA TANGA – OMARY TABWETA MGUMBA
Mrundikano wa wafungwa kutoka nje wasio na...
Waziri wa Afya, Waziri Ummy Mwalimu amesema katika Mkoa wa Iringa kuna tatizo kubwa la udumavu kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.
Ameyasema hayo leo Agosti 13, 2022 akidai kuwa kiwango cha udumavu mkoani humo ni asilimia 47 ambapo katika kila watoto 100, watoto 47 wamedumaa...
Agosti 8, 2022 watoto huko Nantong mkoani Jiangsu China walijifunza ujuzi kuhusu kilimo katika uwanja wa mazoezi wa “shamba la furaha” katika kijiji cha Hangqiao mjini Rugao. Kwenye mapumziko hayo ya majira ya joto, shamba hilo lilifunguliwa bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, na...
Ndugu zangu ukizungumzia suala la kilimo kwa mikoa ya nyanda za juu kusini ndio pumzi ya wananchi wote, Ndio tegemeo la wote, Ndio uti wa mgongo kwetu, Ndio shine yetu, Ndio mkombozi wetu, Ndio tumaini letu, Ndio maisha yetu, Ndio uhai wetu, hivyo Hali yoyote ikipita na kukwamisha juhudi za...
Wasalaam,
Akiendelea na ziara yake jijini Mbeya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameendelea kusisitiza uwajibikaji kwa viongozi wote wa Serikali kuanzia yule wa chini hadi yule ya juu,
Rais ameenda mbali kwa kutumia msemo maarufu wa vijana "Wanikizingua...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi katika Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya leo tarehe 05 Agosti, 2022
======
Rais Samia leo ameweka Jiwe la Msingi la katika Ujenzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya...
Waziri wa Tamisemi fika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara. Wakuu wote wa idara ni makaimu na Wizi wa fedha ni mkubwa sana.
Ni nini kinasababisha wakuu wa idara kukaimu Nafasi hizo kwa miaka na miaka?
SHAKA AMMWAGIA SIFA KINANA, ATAMBA KAZI ZA MAENDELEO KUUFUTA UPINZANI MBEYA
Demokrasia ya vyama vingi nchini imekuwa na lengo la kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Ikiwa chama kinachoongoza serikali kinaifanya kazi hiyo kwa weledi wananchi hawana haja ya kujaribu vyama vingine vya kisiasa...
Tabia ya Watoto kutelekezwa kwa babu na bibi bila kujaliwa na wazazi wao imeonekana kushamiri Mkoani Njombe.
Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, Willfred Willa anasema watoto wengi wanaopata madhara ni wale ambao wanalelewa na bibi na babu zao huku wazazi wengi wakiwa na migogoro, majukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.