mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

    Ni kweli kwamba ni siku ya Mazishi , lakini kama tulivyosema awali , kila kwenye jambo kubwa hakukosekani tuvituvitu tudogo tusitoonekana kirahisi . Sisi wengine pamoja na msiba huu macho yetu ni kama yamefungwa shingo ya feni , tunaona yasiyoonekana kirahisi . Nabii wa Mungu Godblesa Lema...
  2. Tupo Oslo, Norway Hiki alichovaa huyu jamaa anayempa mkono Madam President ni kitu gani?

    Pamoja na baridi kali hapa ila tunavumilia tu sababu ni kesho tu tunarudi zetu Dodoma kwenye hali yetu tuliyozoea. Amasema alitaka kumuuliza ila kwa sababu za protocol akashindwa, ni kitu gani hicho?.
  3. John Mnyika: Sikuunga mkono Lowassa kuwa Mgombea wa Urais 2015 kupitia CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema hakuunga mkono Hayati Edward Lowassa kuwa mgombea wa urais kwenye chama hicho, bali alitaka akijiunga CHADEMA awe mwanachama wa kawaida.
  4. Je, historia ya mgombea unayemuunganga mkono inaonesha mafanikio au kushindwa katika kutekeleza ahadi zake?

    Uchaguzi ni wakati muhimu sana katika mchakato wa kidemokrasia ambapo wananchi wanapata fursa ya kuchagua viongozi na chama ambacho wanaamini kitatekeleza sera na ahadi zilizowekwa. Katika kufanya uamuzi huu muhimu, ni muhimu kuchunguza historia ya mgombea anavyotekeleza ahadi zao za kampeni...
  5. Wabunge wa Zimbabwe waunga mkono kufutwa kwa adhabu ya Kifo nchini humo

    ZIMBABWE: Waziri wa Habari wa Zimbabwe, Jenfan Muswere amesema Bunge la nchi hiyo limekubaliana na pendekezo la Serikali kufanya mabadiliko ya Sheria ya Adhabu yanayotaka kufutwa moja kwa moja kwa hukumu za Kifo. Waziri huyo amesema uamuzi huo unatokanana na Maoni ya Wananchi ambapo wengi...
  6. Katibu BAKWATA Kagera akatwa mkono, mkataji auawa kwa kipigo

    Mkazi wa Muleba mkoani Kagera, Abdulmalick Yahya (42) ameuawa kwa kushambuliwa na wananchi, baada ya kuonekana akimshambulia kwa panga Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) Mkoa wa Kagera, Hamza Zacharia (43). Kutokana na tukio hilo, Zacharia anauguza majeraha katika Hospitali ya...
  7. G

    Sababu mojawapo kuu ya kutahiri ni kuweza kutumia condom, Mtu mwenye mkono wa sweta hawezi kutumia condom hivyo yupo hatarini zaidi kupata magonjwa

    Wapo watu akiwamo mgombea urais wa Kenya William Ruto kutetea kwamba hakuna haja ya kutahiri sababu ndivyo tulivyoumbwa Mkono wa sweta na condom ni sawa na kutumia mafuta ya kujipaka mwilini useme upikie chakula Huo mkono wa sweta laba uupige stepla iwe condom
  8. Plot4Sale Viwanja vinauzwa roundabout ya East Africa chini Njiro - Kwa Mkono

    Nauza Viwanja kwa bei nafuu . 10 kwa 10 ml 1500000 15 kwa 10 ml 2500000 Hivi vipo karibu na barabara ya huko sio lami Ndani kwa ndani Ml laki 1 unapata 10 kwa 10 20 kwa 20 ml 7 mpaka 10ml Heka Inaanza ml 50 nusu heka ml 20 Mahitaji yote ya kijamii yapo kutoka impala mpaka kwa mkono ni km 5...
  9. Ni kwelii kuna kuandika barua kwa mkono au kutype utie kwenye bahasha na hela mshenga apeleke kwa binti usubiri majibu

    Naitaka Nioe Sasa Kuna MTU kaniambia ukitaka kuoa Kuna mlolongo mrefu hadi kuandika barua kwa mkono au kutype then iende kwa binti usubiri majibu. Binafsi Mimi ni Mtu ambae hua sipendi vitu vya kunisumbua au kusubiri hususani milolongo. Naweza kubadil mawazo ndani ya Dakika moja Sasa nauliza...
  10. L

    Nchi za Afrika zinaendelea kuunga mkono sera ya kuwepo kwa China moja

    Kwa muda mrefu sasa jumuiya ya kimataifa imeendelea hatua kwa hatua kuitambua sera ya kuwepo kwa China moja kama ilivyo kwenye sheria ya kimataifa, sera inayosema kuwa kuna China moja tu duniani, na Taiwan ni sehemu isiyotengeka ya China. Nchi mbalimbali duniani ambazo kwa sababu moja au...
  11. Ni sababu zipi zilikufanya kukipenda chama cha siasa unachokiunga mkono?

    Kila mmoja wetu ana sababu zake za kuchagua na kupenda chama cha siasa anachoona kuwa kinamwakilisha vyema. Huku kila mmoja akiwa na sababu tofauti, ni muhimu kujiuliza: Je, ni sababu zipi zinazotuongoza kuchagua na kukipenda chama fulani cha siasa? Moja ya sababu kuu inaweza kuwa ni sera na...
  12. Pre GE2025 Sheikh Ponda Issa Ponda aunga mkono Maandamano ya CHADEMA ya 24/01/2024

    Ponda Issa Ponda , ambaye ni miongoni mwa Mashehe Wachache wa eneo la Maziwa makuu wanaopigania haki , leo amejitokeza hadharani kuunga mkono maandamano ya Wananchi ya kupinga miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi Shehe Ponda amedai kwamba kimsingi yale maoni ya wananchi , Wadau na Taasisi...
  13. D

    Pre GE2025 John Shibuda: Niko njiani kuja kuunga mkono maandamano ya Chadema 24/1/2024

    Mwanasiasa mkongwe nchini na M/kiti mstaafu wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini John Magale Shibuda amesema yuko njiani kutosha Shinyanga kwenda Dar es salaam kuyaunga mkono maandamano ya Chadema ya 24/1/2024 na kutoa sababu za kufanya hivyo. Shibuda ambaye amewahi kuwa kada wa Chadema na...
  14. K

    Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

    .
  15. Pre GE2025 Huyu shekhe vipi, sisi waisilamu turudishe kadi za chadema halafu tuunge mkono kunakokimbiwa na wenye akili wote?

    Ni kuchanganyikiwaaa au vipi Watanzania siyo wajinga kiasi kwamba mtu mmoja mwenye masilahi yake na chama anachokipenda, halafu atuchonganishe na atufanye mazuzu kama alivyo yeye Watanzania kwa sasa ni werevu kwenye siasa pia kwenye masuala ya Dini, Watanzania wa miaka 20 iliyopita, si kama...
  16. K

    Uzembe wa Wauguzi wadaiwa kusababisha mtoto mchanga kuvunjika mkono wakati mama mtu akijifungua Hospitali ya Magunga - Tanga

    UZEMBE KWA WAJAWAZITO WAKATI WA KUJIFUNGUA ULIOPELEKEA MTOTO MCHANGA KUVUNJIKA MKONO KATIKA HOSPITALI YA MAGUMGA WILAYANI KOROGWE KATA YA MAGUMGA Mama aliyejifungua mtoto siku ya tarehe 15/01/2024 katika hospitali ya Magunga ameshindwa kuruhusiwa mpaka leo hii kutokana na tukio la mtoto wake...
  17. Pre GE2025 Zikiwa zimesalia siku chache, Wadau wazidi kuunga Mkono Maandamano ya Amani

    Huku kukiwa Tayari kumetolewa ratiba kamili ya maandamano ya Chadema na Wananchi , ili kupeleka ujumbe duniani wa kushinikiza kuondolewa kwa miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi bungeni , Tayari lundo la Wadau wameunga Mkono jambo hilo wakiwemo Waandishi wa habari Hesabu ya leo inaonyesha...
  18. Pre GE2025 CHADEMA Katavi yasema inaunga mkono kauli ya Mbowe ya kuandamana Januari 24

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi kimejipanga kutekeleza kufanya maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika Januari 24, 2024. Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Roda Kunchela ameyasema hayo akiwa katika ofisi ya chama hicho mkoani humo ambapo amesema agiza la...
  19. Pre GE2025 Kwa sababu hizi, maandamano ya CHADEMA Tar 24 yaungwe mkono na kila mtanzania

    1. Jeshi la uhifadhi linaua raia kila siku na rais Samia yupo kimya. Wananchi wanauliwa hata wakichanja kuni hifadhi. 2. Ufisadi umetamalaki kila kila mahala serikalini. Hii ni baada ya mkuu wa nchi kuruhusu kila mtumishi ale kwa urefu wa kamba yake. 3 Waarabu ambao ni ndugu zake na rais Samia...
  20. I

    Ujerumani yaiunga mkono Israel kwenye kesi yake katika mahakama ya ICJ

    Serikali ya Ujerumani imesema iko tayari kuiunga mkono Israel katika kesi yake kwenye mahakama ya ICJ nchini Uholanzi. Kesi hiyo iliyowasilishwa na serikali ya Afrika Kusini inaituhumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki dhidi ya wananchi wa Palestina madai ambayo serikali ya Ujerumani inadai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…