Nimestaajqbishwa mno na serekali yetu pendwa kuokota vijana mijini na kuwafundisha kilimo, badala ya kumfuata mkulima shambani na kumuongezea nguvu endapo kama ana ekari 2 muwezesheni afikie kumi, na anayelima ekari kumi muwezesheni alime 30 ekari, lakini kuokota vijana mijini na kuwapeleka...
Polisi mkoani Kigoma wamemtia mbaroni mkulima akiwa na mabomu mawili ya kurusha kwa mkono na risasi 30 za bunduki za kivita aina ya SAR/AKA 47 zikiwa kwenye magazine.
Kamanda wa polisi wa mkoa huo, Filemon Makungu alisema mwananchi huyo mkazi wa Kijiji cha Nyambemba Wilaya ya Buhigwe alikamatwa...
Ninavyowajua Watanzania wanapenda vitu vya bei rahisi Bila kuzingatia ubora
Hiyo michele iliyofichwa na Wakulima soon inaenda kuwadodea
Bashe ajipime kama anatosha!
Nimekuwa nikimsikia Bashe akijipata kuwa anawatetea wakulima wauze wanavyotaka kwani kilimo ni biashara.
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa naomba unitajie angalau majina ya wakulima 10 wwaliofanikiwa kuuza mchele sh 3,500 kwa kilo ili tuwafahamu twende tukajifunze kwao walivyotajirika kwa kilimo.
GTs,
Leo ikiwa siku ya dominika murua kabisa nimeamka zangu jijini nikiwaza hili na lile na nikitafakari namna maisha yavyoenda.
Nikiwa nawaza mara paap simu ya mkulima toka vijiji vya mbaali kabisa, nikapokea simu.
Mkulima …Halooo
ChawaWaMama … Ndiyo habari za leo?
Mkulima… Nzuri mno, za...
Watanzania wenzangu ifike mahali tuwe tunafuatilia mambo Kwa kina na tusiwe benderea fuata upepo.
Leo hii kuna mfumuko wa bei ya vyakula tunaambiwa mkulima anafaidi.
Nasema hivi huu ni uongo Kwa asilimia 100. Mchana kweupe.
Mara zote wakulima huuza mazao Yao kipindi cha mavuno kipindi bei iko...
Kazi unazofanya ni miongoni mwa vitu ambavyo vinakuchagulia mahala pa kuishi. Nimeishi sehemu nyingi za mjini na kijijini, nilichokiona mimi maisha ya mjini ni mazuri ukiwa na pesa nyingi na maisha ya kuishi kwenye kijiji kilichochangamka ni mazuri zaidi hata ukiwa na pesa kiasi.
Nimechukua...
Habari za leo marafiki, vijana wenzangu, wakubwa wangu na maboss zangu,
Naomba tushiriki huu majadala kwa kupiga kura ikiwezekana tutolee na maelezo.
Karibuni
Wakulima wa mazao hapa nchini wamekuwa wakiuza mazao yao kwa bei ya chini sana kuliko gharama za uzalishaji kwa sababu serikali iliwajali zaidi walaji wasio lima. Sasa serikali inageuza upande wa pili na kuwapa soko kubwa na la ushindani wakulima. Hatua hii imefanya bei ya mazo ya wakulima...
Habarini. Mwaka umeisha na ni wakati wa kujitathmini usomaji wetu na kuhabarishana juu ya vitabu tulivyosoma. Hii ni njia nzuri ya kujua vitabu vizuri vya kusoma. Binafsi nimesoma vitabu vifuatavyo, wewe umesoma vitabu gani?
1. The storm before the storm: Kitabu kizuri sana hiki, kinazungumzia...
MKAZI wa Kidete mkoani Morogoro anayejishughulisha na kilimo,Piniston Nzali (20) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kujibu mashtaka matatu ya kuchapisha mtandaoni taarifa yenye kuharibu hadhi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu...
Mkuu wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Filbarto Sanga, amesema kuwa mkulima yeyote atakayebainika kukabiliwa na njaa atapelekwa mahakamani kutokana na kushindwa kufuata maagizo ya kuhifadhi chakula waliyopewa wakati wa msimu wa mavuno.
Akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa msimu wa...
Kwa wachezaji wa Draft la playok, Tunajua mabingwa wa kule ni ashkelon, Davidmbeya, kongomsumari, na mohammed19997, ila cha ajabu wote hao walishapigwa na mkulima wakaishia kumuita mkulima ni software 😅😂
Nimeangalia statistics za mkulima kule playok
Ashkelon alipigwa 2 bila na mkulima...
Kwa miaka sitini ya uhuru mkulima hajawahi pata bei stahiki ya mazao yake. Haya tunayoyaona leo ni matokeo ya kumnyonya. Watu waliacha kulima kahawa na chai sababu ya kunyonywa. Lakini sababu hao si mazao ya chakula hatukuona athari zake.
Lakini ukweli hata kwenye mahindi na mazao mengine ya...
Utangulizi
Mkulima ni nani? Mkulima ni mtu yeyote anaye jihusisha na shunguli za kilimo.
Aina za mkulima, mkulima mdogo, mkulima wa kati, mkulima mkubwa.
Uelewa juu ya kilimo
Wengi wetu hawajui nini maana ya kilimo, wakati kilimo ni uti wa mgongo kutokana na elimu ya kilimo kutokufika katika...
Ahlan wa sahlan
Kuelekea kuadhimisha sikukuu ya wakulima maarufu kama Nane nane, serikali kupitia makamu wa Rais ,Mheshimiwa Dk. Philip Mpango, imetoa taarifa kudhibiti lumbesa.Ila kauli hii imekuwa ikitoka miaka nenda miaka rudi huku wakulima wakiendelea kuumia tu. Wakala wa vipimo na mizani...
Aliesema kilimo ni uti wa mgongo wa taifa hakukosea,lakini ni uti wa mgongo kwa wajanja wenye pesa na SI mtu wa Hali ya chini.
Kilimo ni sayansi ya uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara.Mkulima anapoandaa shamba,anapanda,anapalilia mategemeo yake ni kuvuna mazao Bora na hata ainuke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.