mkulima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Kati ya Mkulima na CCM nani anastahili ruzuku?

    Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi, kumekuwa na utaratibu wa kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa. CCM imekuwa ikichukua lion's share. Hapohapo mkulima wa Tanzania anayezalisha chakula hapati ruzuku ya pembejeo. Kati ya mkulima na vyama vya siasa nani anastahili ruzuku?
  2. L

    Roho za aina tatu zenye thamani alizoziacha duniani profesa mkulima Yuan Longping

    "Mwanadamu ni kama mbegu, anatakiwa kuwa mbegu bora. " Haya ni maneno ambayo mwanasayansi wa kilimo wa China anayejulikana kama "Baba wa mpunga chotara " Profesa Yuan Longping alikuwa akipenda kusema wakati alipokuwa hai. Mei 22, 2021, Yuan aliaga dunia mjini Changsha, Hunan akiwa na umri wa...
  3. T

    Je, ni kweli kuwa hadi Rais Magufuli anafariki mfuko wa UREA Kg 50 ulikuwa Tsh. 50,000/- leo umefika Tsh. 147,000/-

    Mkulima huyu anadai ilikuwa ikiongezwa Tsh 1,000 anamwambia Waziri rudisha Tsh 50,000 Waziri wa sasa alikuwepo akiwa Naibu. Siku amekufa kesho yake kabla hajazikwa ikaongezwa Tsh 20,000 ikawa Tsh 70,000. Leo ni Tsh 147,000 na Naibu kawa Waziri. Wadai mnaofatilia bei ya pembejeo tupeni...
  4. Balqior

    Hivi anaetumia id ya mkulima kwenye draft la playok ni nani haswa? Ni jini au?

    Nasikia huyo mkulima aliwafunga Ronaldo, sisqo na noel, Nimeshuhudia hata mabingwa wengine wa playok wenye point 1500+ anawafunga, halafu cha kushangaza zaidi nasikia hachezi copy.. Huyu mtu anachezea kijiwe kipi? Maana anaetumia id ya mkulima Kwenye playok nasikia sio mangwelele
  5. Richard

    Kahawa ya kutoka Lyamungo Kilimanjaro yauzwa na moja ya maduka makubwa Ulaya

    Nipo katika moja ya nchi za Ulaya kikazi na nimebahatika kuingia katika duka kubwa la Costco. Humo katika pitapita kwenye sehemu ya groseries nimekuta kahawa ya kutoka Tanzania sehemu ya Lyamungo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro. Kahawa hii ni nzima na imeokwa (roasted) na mtumiaji hutakiwa...
  6. John Haramba

    Benin: Mkulima aokotoa furushi lenye mamilioni ya fedha, arudisha kwa mwenyewe

    Mkulima mmoja nchini Benin amepokea tuzo ya heshima kutoka kwa mamlaka ya nchi yake hiyo ni baada ya kuokota mamilioni ya fedha kisha kumrudishia mmiliki. Fedha hizo aliziokota kwenye begi la kusafiria alilolichukua alipokuwa njiani Ijumaa iliyopita alipokuwa akirejea kutoka shambani kwake...
  7. Mtondoli

    Benki ya Kilimo Tanzania haina faida yoyote kwa Mkulima

    Wadau wenzangu wakilimo hiki kinachoitwa benki ya kilimo naona Kama hakina tija yoyote kwa mkulima halisi,najua mkulima yupo kijijini Lyazumbi, Katonto,Muze,Mtowisa,Chikumbulu huku au Ngulugulu huko Ileje ndani na vijiji vyote vinavyohusika na kilimo hawana taarifa na namna ya kunufaika na benki...
  8. GENTAMYCINE

    Je, yule Mchina Mkulima tuliyemsingia 'Kipropaganda' kuwa anayatumia Maji yote ya Mto Ruvu kwa hizi Mvua nyingi lini tutamruhusu aendelee Kumwagilia?

    Kwa hizi Mvua Kubwa na nyingi zinazonyesha sasa Nchini Tanzania nimetaarifiwa kuwa tayari zimeshaanza Kujaza Mito yetu Mikubwa kiasi kwamba muda si mrefu inaweza ikaanza Kufurika na kujuta hata kwanini kwa Uwongo, Roho Mbaya na Propaganda zetu tuliamua Kumtupia lawama Mchina Mkulima wa Ruvu kuwa...
  9. mshale21

    Waziri Mkuu Majaliwa awataka Mawaziri wa Kilimo, Viwanda na Biashara, pamoja na uwekezaji kuja na mkakati wa kilimo cha kisasa

    Majaliwa ametoa maelekezo hayo leo Alhamisi Septemba 23, 2021 Moshi mkoani Kilimanjaro wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha pombe kali cha Serengeti. Amesema mawaziri hao wanapaswa kujipanga vizuri kwa kushirikiana na sekta binafsi kuja na mkakati utakaoboresha kilimo nchini. "Natoa maelekezo kwa...
  10. Jimytz

    SoC01 Mkulima wa Jembe la Mkono Tanzania

    TEGEMEO LA MKULIMA WA JEMBE LA MKONO Ni zama hizi hizi za karne ya 21 ambayo bado mkulima anatumia jembe la mkono katika kipande cha ardhi alichobakisha baada ya unyanganyi wa mabavu wa wawekezaji wakipewa nguvu na viongozi hawahawa tulio waamini na kuyaamini maneno yao, Tuachane na hayo maana...
  11. IZENGOB

    Stakabadhi ghalani ni kupe kwa mkulima

    Mfumo huu ni umekua ni wa hovyo sijawahi kuona.Fikiria mkulima amejinyima kula vizuri,kuvaa na watoto wake lakini leo hii mkulima anakuja kumkopesha tajiri ambaye ana mali kedekede inauma sana. Zaidi ya mwezi sasa tangu niuze mazao yangu kwa mfumo huu ambao serikali imeshindwa kuusimamia...
  12. Pascal_TZA

    Bilionea wa mpunga mkulima aliyeitwa na Bill Gate, gari za kifahari, jumba kiwanda

    Karibu nikukutanishe na mkulima kutoka Jijini Mbeya Rafael Saimon Ndelwa, Mmiliki wa Kampuni ya Rapha Group iliyo Uyole Mkoani hapo. Rapha ni miongoni mwa Mabilionea wa Mkoa wa Mbeya na utajiri wake unatokana na Kilimo cha mpunga, kilimo ambacho kilimfanya Bilionea Bill Gate amuite ili waweze...
  13. Shadow7

    Kilimanjaro: Mkulima awamiminia risasi mke na mtoto wake, sababu zaelezwa

    Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Alson Shangali (61) mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kimashuku kata ya mnadani katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro anatajwa kuwajeruhi kwa kuwapiga risasi mke wake Magret Shangali (51) na mwanae Albert Shangali (28). Chanzo Bongo five
  14. MPUNGA MMOJA

    Ni Tanzania tu kama mtu ni mara yako ya kwanza kuingia katika kilimo hukopesheki kwenye taasisi za fedha

    Hoja hii inaweza kuwa ngumu kueleweka lakini maana yake ni hii; Ili Mkulima ukopesheke kwenye taasisi za benki unapaswa ukidhi haya: ~ Uwe na taarifa za mauzo ya mazao yako ~ Uwe na hati ya umiliki/kukodi mashamba ~ Uwe unalima mazao biashara Kwa anaeanza kilimo hapa anakwama maana hayo...
  15. J

    Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

    Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana. Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani? Je, ni Ufipa? Na kwanini mwakani watakosa chakula? Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe. Maendeleo hayana...
  16. S

    Namtafuta mkulima mzoefu wa migomba kwa kumwagilia

    Members natumain ni wazima. Namtafuta mkulima wa ndizi kibiashara na mzoefu vya kutosha hasa shamba la umwagiliaji tuweze kubadilishana uzoefu na kuboresha mashamba na kipato kwa ujumla. Mfano aina za migomba na changamoto na uzalishaji wake. Masoko yaliopo na mahitaji...
  17. Sky Eclat

    Maisha ya mkulima yanaweza kuboreshwa zaidi.

    Nilisoma habari ya mwanaume wa kizungu alizaliwa mwaka 1920. Alieleza kuwa walizaliwa watoto 10 na wote walikua na kupata miji yao. Baba na mama walikua wakulima. Nyumba yao ilikua mbele ya shamba lao. Shambani walifuga nguruwe, ng’ombe na kuku. Walilima nyanya, caroti, vitunguu, kabeji na...
  18. sky soldier

    Vijana Ujasiriamali sio Muhuri wa utajiri: Mafanikio yake hayana utofauti na ya mwajiriwa, mkulima, mwanasiasa, mwanamuziki au Mcheza mpira

    Nimecopy na kuileta humu Naomba unisikilize na unielewe vzr sana. Ujasiriamali/biashara ni career sijui nisemaje ulielewe, yani ni lifestyle km ilivyo kuwa mwajiriwa au mkulima au mwanasiasa au mwanamuziki Sio waajiriwa wote wataishia kuwa CEO ktk kampuni kubwa km Vodacom, TBL au Delloite...
  19. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 SAU wazindua Kampeni na Ilani kwa vitendo. Watumia Trekta Kulima kuonesha dhamira ya Kumtoa Mtanzania kwenye Jembe la Mkono

    Salaam Wakuu, Chama cha sauti ya umma (SAU) Kimezindua Kampeni na Ilani kwa Vitendo, Baada ya Kutumia Trekta kama mfano wa Jinsi Watanzania Watakavyokuwa Wanalima Pindi Wakipewa Nafasi ya Kuongoza Nchi. Wamezindua kwa kuvuna Miwa na Viazi Shambani. Uzinduzi wa ilani umefanyika kivitendo katika...
  20. MakinikiA

    Serikali wekeni mikakati ya kumsaidia mkulima kila mkoa kila wilaya

    Ushauri kwa Serikali ya Tanzania ya viwanda hii bank ya TADB mliyoanzisha ifanye kila namna ifungue matawi kila wilaya ili kwenda na kasi ya Tanzania ya kilimo na viwanda haiwezekani mnawahubiria wakulima kulima na huku back up mkulima hakuna msiitegemee crdb ndio ikopeshe wakulima la sivyo...
Back
Top Bottom