Kusuhu hali ya Ugonjwa wa Figo nchini
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amezungumzia ongezeko la magonjwa ya figo nchini, akitaja vichocheo vikuu vinavyosababisha hali hii kuwa mbaya. Akizungumza Bungeni leo Dkt. Mollel amesema kuwa sababu za msingi zinazochangia kuumwa kwa magonjwa ya...