mkuu wa mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera. Wakuu wa mikoa 10 wamebaki kwenye vituo vyao vya kazi vya awali huku 7 wakihamishwa. Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi...
  2. Shehe mkuu wa Mkoa wa Mtwara ndani ya tamasha la ‘Muziki Mnene’

    Naona shehe mkuu wa mkoa wa Mtwara ameenda kwenye tamasha la Muziki Mnene lililo waleta wasanii wa muziki wa kizazi kipya mkoani Mtwara. Hongera ndugu zangu waislamu kwa kukubali kushiriki kwenye tamasha hili la Muziki wa Bongo fleva na Singeli. Pia niwapongeze waumini wenu kama Naseeb Abdul...
  3. Mkuu wa Mkoa Mwanza atangaza Shilingi bilioni 1.45 zilizodaiwa ‘kupigwa’ zimerejeshwa

    Miezi minne tangu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel aagize wanawake, vijana na wenye ulemavu waliotokomea na Shilingi bilioni 4.9 za mikopo ya halmashauri kuzirejesha tayari shiingi bilioni 1.45 zimerejeshwa na vikundi hivyo. Gabriel alitoa agizo hilo Aprili 25 mwaka huu huku akisema Sh4.9...
  4. RC Makalla, inaonekana hujui tatizo la wavamizi ardhi unaopambana nao

    Salama wandugu, Nimemsikiliza leo Makala sijamuelewa kabisa,yeye anadai anapambana na wavamizi ardhi, hivi ardhi inakaa tu idle ina vichaka haziendelezwi halafu wananchi wasivamie lazima wavamie na wapo sahihi kwa sababu watu wa nchi hii ni selfish sana wao. Wanaona kumiliki ardhi kubwa ndio...
  5. Mkuu wa Mkoa aagiza shule zote za Sekondari za Dodoma kufunga CCTV Camera

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka ametoa wito kwa Shule zote za Sekondari ndani ya Jiji la Dodoma kuhakikisha zinafunga CCTV Camera ili kusaidia kubaini watu wanaojihusisha na vitendo vya kiuhalifu katika maeneo ya Shule. Ameyasema hayo wakati akizungumza na Walimu na Wanafunzi wa Shule ya...
  6. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro apiga marufuku Walimu kuwekwa ndani

    RC apiga marufuku walimu kuwekwa ndani Martine Shigela alitoa agizo hilo wakati wa akifungua kikao cha wadau wa elimu wa mkoa wa Morogoro katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) kilicholenga kutathmini masuala ya sekta hiyo. Kikao kazi hicho cha wadau wa sekta ya elimu mkoa...
  7. Waziri Mkenda na RC Kagera, kwanini watoto wanarudishwa majumbani kwa mzazi kushindwa kulipa mchango? Je, elimu bure ni kuhadaa wananchi?

    Leo limetokea tukio la kustaajaabisha sana hapa katika shule ya msingi Tumaini iliyopo manispaa ya Bukoba, watoto wamerudishwa majumbani kwa kuwa wazazi hawajalipa mchango wa Tuition ya jioni. Kinachoumiza ni kumrudisha mtoto asubuhi nyumbani, yaani akose vipindi vya msingi vya asubuhi kisa...
  8. Mbeya: Akamatwa kwa kujifanya Mkuu wa Mkoa

    Polisi Mbeya wanamshikilia Warren Mwinuka (20) wa Makondeko Mbeya kwa tuhuma za kujifanya Mkuu wa Mkoa Mbeya (Juma Homera ) na kutumia Instagram yenye jina la Mkuu huyo kutaka Watu wampe kero zao na kuwatapeli pesa, upelelezi ukikamilika atafikishwa Mahakamani.
  9. Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Arusha amesema wakazi wa Ngorongoro wanabomoa makazi yao kwa hiyari, Wakazi 296 wajiandikisha kuhamia Tanga

    Baada ya Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kueleza kuwa imekamilisha maandalizi ya msingi katika makazi mapya yaliyopo Handeni Mkoani Tanga, ambapo yanatarajiwa kutumiwa na Wananchi watakaohamishiwa hapo hivi karibuni, Serikali imezungumzia jinsi Wakazi wa Ngorongoro wanavyoboa...
  10. N

    Morogoro: Mkuu wa Mkoa asitisha mfumo wa stakabadhi ghalani ili kuwabeba walanguzi

    Hii ni habari ya kusikitisha kwa Wakulima na hujuma kubwa toka kwa Mkuu wa Mkoa, mtu aliyetegemewa kuwasaidia wananchi sasa amekuwa mkandamizaji kwa wananchi. Kwa takribani mwezi sasa kumekuwa na juhudi toka kwa wafanyabiashara wahindi na madalali wao wa kuzuia mfumo wa stakabadhi ghalani...
  11. Kwa hizi Kauli ya Spika na Mkuu wa Mkoa ukiunganisha na tukio zima,Kipi tuamini Mgogoro toka zamani upo au umeibuka saivi?

    Spika anatoa kauli yake Juu ya swala la Ngorongoro na mkuu wa Mkoa anatoa Taarifa yake ambayo ina kinzana na Taarifa ya Spika na ukitazama Mtu alie kwenye control ya Lile eneo ni Mkuu wa Mkoa so ana details za kutosha na inaonyesha huu Mgogoro sio wa Leo lakini spika alikanusha hapa, Nani...
  12. Ngorongoro - Loliondo: Askari Polisi amekufa baada ya kupigwa Mshale mmoja tu, RC Mongella amlilia

    Askari Polisi mmoja ameuawa kwa kupigwa mshale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa zoezi la uwekaji mpaka katika eneo la pori tengefu kwenye Tarafa ya Loliondo. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akisema kwamba kifo hicho kilitokea Juni 10 alasiri, na...
  13. Zoezi la 'Beacons' Loliondo lamuibua Mkuu wa Mkoa John Mongella

  14. R

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma azindua tamasha la majimaji selebuka 2022

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mh Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge, ameagiza ushiriki wa wilaya na halmashauri zote za Mkoa Wa Ruvuma kwenye tamasha la Majimaji Selebuka litakalofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 30 July 2022 mjini Songea. Tamasha hili limekua jukwaa kuu la biashara, kutangaza...
  15. Antony Mtaka Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na ya Nebukadneza Mfalme wa Babel

    Jana nilifatilia kongamano la usalama la mkuu wa mkoa wa Dodoma maeneo ya s/m kisasa, mkutano huu ulikuwa mbashara TBC TAIFA, kilichoniskitisha ni kupigwa marufuku kwa mapambio ya kumsifu Mungu wakati wa mikesha usiku, nimeskitika Sana , niseme huo ni ushetani, Mungu wetu hana mipaka katika...
  16. Zoezi la ugawaji wa pembejeo kwa wakulima, RC Mtwara wabane sana viongozi wa vyama vikuu vya ushirika kuna mchezo wanaucheza

    Zoezi la ugawaji wa pembejeo Kwa kiasi kikubwa linatiwa dosari na viongozi wa vyama vikuu vya ushirika. Wengi wao wanahujumu pembejeo za wakulima Kwa kujilimbikizia viwatilifu na kuviiza. Lakini pia waangalie Kwa umakini maafisa ushirika Kuna mchezo wanaucheza Kwa kushirikiana na makatibu wa...
  17. Iringa: Mkuu wa Mkoa azungumzia Wanaume Wanaonyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha ili kukata pombe

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Queen Sendiga ametangaza kuwasaka wale wote wanaojihusisha na vitendo vya ukatili ndani ya mkoa huo. Pamoja na msako huo amedai ukatili wa baadhi ya wanaume hasa wanaolewa kupindukia kunyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha kwa imani ya kukata pombe unaendelea kupungua...
  18. Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) latengua maamuzi ya Mkuu wa Mkoa simiyu

    Mwenyekiti wa TFC Taifa, Gishuli Charles SHIRIKISHO la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) limetengua agizo la kuzivunja Bodi za Vyama vya msingi vya Ushirika (AMCOS) 335 mkoani Simiyu ambalo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila kwa vile halikuzingatia taratibu za ushirika...
  19. K

    Kufutwa kazi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kutawakumbusha Viongozi hatupo awamu ya Tano

    Kwa alichofanya mkuu wa mkoa wa Mwanza cha kumdhalilisha mwandishi wa Habari Mabere makubi pamoja na kutumia madaraka yake kumfukuza kazi mtangazani huyo ni ishara ya ukatili na uonevu unaofanywa na viongozi wanaolipwa Kodi na wananchi. Mhe.Rais Naamini hatovumilia aina hii ya viongozi...
  20. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mungu akubariki kwa kuwaambia watanzania ukweli

    🤝🤝🤝
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…