mkuu wa wilaya iringa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya Iringa, Kheri James, atoa onyo kali kwa Walimu Wakuu kuhusu Klabu za Kupinga Rushwa Mashuleni

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James, ametoa onyo kali kwa walimu wakuu wote wanaopinga uwepo wa klabu za kupinga rushwa mashuleni, akisisitiza kuwa serikali haitawavumilia wale watakaobainika kuhujumu juhudi hizo. Kauli hii aliitoa akiwa mgeni rasmi katika mahafali ya klabu za wapinga rushwa...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Iringa na kampeni ya mtaa kwa mtaa kusikiliza Wananchi, kukagua miradi ya maendeleo, kuhamasisha shughuli za maendeleo na utoaji wa huduma

    Mkuu wa wilaya ya Iringa Komred Kheri James ameendelea kuwafikia Wananchi wa wilaya ya Iringa kupitia ziara yake ya Mtaa kwa Mtaa, yenye lengo la kusikiliza Wananchi, kukagua miradi ya maendeleo, kuhamasisha shughuli za maendeleo na utoaji wa huduma. Akizungumza na Wananchi katika mitaa ya Kata...
Back
Top Bottom