Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.
Mkuu wa Mkoa wako uliko sasa je anafaa kuendelea kushika wadhifa huo kuwahudumia wananchi? mimi Mkuu wangu wa Mkoa Chalamila naona ni vema akae pembeni sijui wewe huko uliko mkuu wako wa mkoa anawajibika?
RUVUMA: Mkuu wa Wilaya, Kapenjama Ndile amesema uwepo wa mifugo mingi kupita kiasi umekuwa ukiathiri kilimo na kuathiri mazingira Wilayani hapo na kuwa hali hiyo inachangiwa na rushwa inayosababisha uingizwaji wa mifugo kinyemela
Ameeleza hali hiyo inatokana na kukithiri kwa Rushwa ambayo pia...
Hakika jeshi limekuja kivingine, ukiweka ugoko wanaweka jiwe.
Hii ni moja ya zana ya kisasa ya kudhibiti wahuni kipindi cha uchaguzi, nyingine bado hazijaonyeshwa. Nasubiri nione dizaini ya rungu, nashauri kule Mbele ziwekewe kama miba miba hivi, ili zikigonga ugoko mtu asikilizie mpaka kwenye...
Haya mambo ya kiwaki hawapaswi kuchukuliwa poa wazee. Mtu Gani anatukana wananchi ambao wanalipa Kodi na ndiyo nguzo ya taifa lolote. Hivi huyu chalamila anavuta bangi? Au ana matatizo Gani ya kiakili huyu mtu?
Unamtukana mama mjamzito bila sababu ya msingi? Kweli? Huu ni utopolo mkubwa mazee...
Tunapoelekea uchaguzi mkuu safu mpya zinazokuja kuziba mapengo ni pamoja na Nape kuchukua nafasi ya Nchimbi huku Pole pole akirejea nchini kumsaidia Kazi Mzee Amos.
Makongoro Nyerere anakwenda kuchukua jiji la DAR. Mzee Januari anarudi kusimamia Muungano
Hili suala la kukatika umeme limeanza upya mbali na kuaminishwa na Naibu Waziri Mkuu kuwa limekwisha baada ya Mitambo kuanza kufanya kazi Rufiji. je kulikoni leo huku Kabuhoro wamekata muda mrefu tu bila taarifa.TANESCO iko shida kubwa, Watamharibia mama.
Watanzania wamesikia kauli ya mkoa wa Dar, Albert Chalamila kuwa, mjawazito atawajibika kuchangia matibabu na akishindwa aende akajifungulie nyumbani. Japokuwa imetolewa kwa kebehi lakini ni kauli iliyobeba uzito mkubwa ikizingatiwa sera rasmi ya serikali katika sekta ya afya ni mjawazito...
Leo watu wanamshambulia Mkuu wa mkoa wa Dar Kwa kumjibu mama mjamzito aliyeambiwa na wauguzi kuhusu kuchangia pesa ya kumnunulia gloves 🧤 za kumsaidia kujifungua
Mimba ni miezi 9 sio suala la ghafla kama ajali,
Yaani mwanamke anavua chupi, mimba inaingia, unalea mimba miezi 9,
Hadi siku ya...
Msikilize huyu mtanzania!!
Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu!
Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC
Manesi wamezidiwa...
Haya maneno yamekuwa yakisikika sana midomoni mwa Wanasiasa wakubwa na wadogo.
Kuna mahali watu wanayachanganya wengine kwa kujua na kutokujua.
Wadau wa siasa za Tanzani tujitokeze hapa angalau kwa kundi Mhhimu la.Wanajamii forums na wasomaji wake tuweze kuelewa mambo haya kwa kiasi cha...
Wakuu nimejaribu kutafakari kidogo kwa haraka, pamoja na uwepo wa Mheshimiwa Doto Biteko kama msaidizi wa waziri mkuu wa sasa Mheshimiwa Kassim Majaliwa.
Naona bado kuna namna Mheshimiwa Bashungwa anaandaliwa kwa nafasi ya uwaziri mkuu. Nikiangalia ni kama anapitishwa hizi wizara mbalimbali ili...
https://www.youtube.com/live/P1Wh1QZrawc
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali atakuwa akiongea na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Morogoro na Dodoma kutoa Taarifa ya Serikali kwa Wanainchi Kupitia vyombo vya Habari .
Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako.
Kabla ya kwenda mbali kwanza naomba ku declare intrerst kuwa mm ni mwanaCCM kindakindaki na juzi nilikuwepo ndani ya ukumbi kule...
Ukitafakari sana, bila kuwa na utando wa kishabiki kichwani, Lissu anaongea kitu cha maana na hapa tayari ameonyesha ku-compromise na CCM. Nimesikiliza mahojiano yake kwa makini sana.
Pendekezo lake la "No Reforms na Elections" kwa alivyofafanua na nikamuelewa, anasema kwamba, Chadema wako...
Major General Peter NKUBA CHIRIMWAMI, mkuu wa jeshi na mkuu wa mkoa wa Kivu Kasikazini, jana tarehe 23 Januari 2025, majira ya saa moja na dakika 44 usiku,alipokuwa amewatembelea wanajeshi wake kuwaunga mkono katika vita na kundi la waasi la M23, alimiminiwa risasi na kufariki hapo hapo.
Baada...
Kwako Rais wa JMT,
Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan,
Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia kufika muda na wakati tukiwa tu wazima wa afya na kuendelea kulijalia Taifa letu amani, umoja na mshikamano.
Pia, nakupongeza kwa kuteuliwa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya...
1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao.
2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia risasi badala ya hoja. Rudisheni risasi mfukoni, nendeni shule mjifunze hoja. Wamarekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.