mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu azungumza na diaspora Uingereza

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 11, 2026, amezungumza na Watanzania wanaoishi Uingereza na nchi jirani (Diaspora). Katika mazungumzo hayo, Dkt. Mwigulu amewasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na kuelezea miradi ya maendeleo...
  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa viongozi wote znz na sio tanganyika mpaka mkuu wa mkoa.

    Ni kwamba nchi imefikia kujipendekeza hata kesho raisi hakitokea malawi mtaenda kushinda huko na kuendesha mambo ya nchi huko.
  3. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Faris Buruhani. Ateuliwa kuwa katibu mkuu UVCCM Taifa.

    Taarifa za hivi punde ni kuwa mwenyekiti WA umoja WA vijana ccm mkoa Kagera ameteuliwa kuwa katibu mkuu wa uvccm Taifa. Hongera kwake.
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mji mkuu wa Tanzania ilipaswa kuwa Arusha, Mbeya, Kilimanjaro au Mwanza

    Katika mambo mengine ambayo Nyerere alikosea ni kuweka makao makuu ya nchi Dar es Salaam kwa Waswahili baada ya uhuru. Mambo yote yasiyo na tija yanafanyikia Dar es Salaam, wakazi wa Dar es Salaam ni watu wa "shughuli" zaidi, starehe, umbea, udaku na kupiga maneno. Bila bandari Dar es Salaam...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Aliyemrithi ubunge Keir Starmer, waziri mkuu mstaafu Uingereza.

    Sagal Abdi-Wali
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Pwani kuja na duka la ardhi

    Stanslaus Nyongo, amesema ofisi yake imeandaa mkakati wa kuanzisha soko la ardhi litakalowawezesha wananchi kununua na kuuza ardhi. Note: Je huu ndio msumari wa migogoro ya ardhi? Source...
  7. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Rais wa JMT, waziri kiongozi wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na waziri mkuu wa Tanganyika, ndio muundo sahihi kwa changamoto za Muungano.

    Swala la Katiba mpya limeendelea kuwa hoja inayojadiliwa zaidi miongoni mwa watanzania. Pamoja na mambo Mengi yanayojadiliwa, swala la muundo wa muungano limeendelea kuwa na umuhimu wa kipekee sana. Nakili kwa uwazi sijafanya utafiti rasmi unaowezesha kuwa na takwimu za kitaifa. Kwahiyo maoni...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Waziri mkuu na wizara ya Ardhi, Upimaji Haramu wa Ardhi wilaya ya serengeti.

    Nikiwa kama mdau wa maendeo nchini napenda kujua kwa nini halmashauri ya wilaya ya serengeti mkoani Mara imeruhusu upimaji wa viwanja na Mashamba bila kutoa stakabadhi za EFD wananchi wanabaki na makaratasi ambayo serikali haiyatambui nani yuko nyuma ya hili zoezi gharama ziko juu wananchi...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu kufungua Jukwaa la Uwekezaji Tanzania nchini Uingereza

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameondoka nchini leo, Oktoba 6, 2026, kuelekea Uingereza kwa ziara ya kikazi ya siku tano, ambapo atafungua Jukwaa la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza. Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia ataongoza ujumbe wa Tanzania kukutana wadau, wawekezaji na...
  10. H

    JamiiForums Tanzania 𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗘𝗧𝗡𝗔𝗠

    𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗘𝗧𝗡𝗔𝗠 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Afungua Mkutano Mkuu wa IPU Arusha

    Salamu za Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) jana tarehe 5 Oktoba 2026 katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC).
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hasara na athari za kususia uchaguzi kwa vyama vya siasa na wafuasi wao hua ni nyingi kuliko faida, taja athari wanazopata wasusia uchaguzi mkuu?

    Kwa kurelax, elezea hasara na athari hizo za kisiasa, kijamii na kiuchumi wanazopitia wasusia uchaguzi na vyama vyao vya siasa, kwa kurejea hasara na athari za wasusia uchaguzi wa Kenya, Zanzibar na Tanzania na itapendeza zaidi, kwasababu sote ni mashahidi, hakuna faida hata moja waliopata...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mungu mkuu, tunaomba ukombozi kamili wa Nchi hii.

    Twakusifu Mungu mkuu, Bwana twakuinamia. Ee Mungu, Mungu usiyeshindwa, Mungu mwenye haki, Mungu mwenye upendo na Mungu uliyewatoa wana wa Israel kutoka utumwani Misri kwa Farao kwa mkono wenye nguvu; nakuomba ukainyeshee Nchi hii UMANDE wa ukombozi kamili wa Nchi. UMANDE huo utakuwa ni laana kuu...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU. Mkutano huo unaofanyika leo Oktoba 5, 2026 jijini Arusha...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) 2026 / The Southern and Eastern African Chief Justices Forum (SEACJF)

    05 October 2026 Unguja, Zanzibar Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) umeanza leo Zanzibar , Oktoba 5 hadi 9, 2026 . The Southern and Eastern African Chief Justices Forum (SEACJF) Annual General Meeting 2026 Zanzibar Maelezo Muhimu...
  16. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dkt. Francis Daudi Mlacha aapishwa kuwa DC Kahama, RC Mhita amkabidhi vitendea kazi

    Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Dkt. Francis Mlacha, ameapishwa mapema leo katika hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga. Baada ya kiapo hicho, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, amemkabidhi rasmi vitendea kazi tayari kwa kuanza majukumu yake ya kuwatumikia...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu asisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka wazi makubaliano ya pande zinazohusika na kuzuia migogoro. Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dr. Mwigulu wasaidie wahadhiri na wafanyakazi wa Chuo Kikuu Makumira walipwe mishahara yao, hao nao ni binadamu na ni watanzania, miezi 3?

    Nimesoma malalamiko humu JF ya kuwa wahadhiri na wafanyakazi wa chuo kikuu Tumaini Makumira hawajalipwa mishahara yao tangia mwezi wa 7, hii ni hatari, huu si utu, si ubinadamu, ni uuaji, ni ukatili kwa binadamu. Dr. Mwigulu km unawajali hao watanzania na binadamu wenzako upatapo post hii mpigie...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ndege iliyombeba Waziri mkuu Mwigulu yashindwa kupaa; yalazimika kurejea airport

    Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena. Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Rubani mwenza amemchoma kisu rubani mkuu ili aweze kudondosha ndege makusudi

Back
Top Bottom