mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mkoa Wa Dodoma Umebahatika Kutoa Viongozi Wakubwa Karibu Wote Kuanzia Makamu Wa Rais John Ndejembi ,Waziri Mkuu John Marecela na Spika Jobu Ndugai.

    Ndugu zangu Watanzania, Mkoa wa Dodoma ni Mkoa Pekee Ama Miongoni Mwa Mikoa Michache Sana Nchini Ambayo Imebahatika Kupata Bahati ya Kutoa Viongozi wakuu Wa nafasi ya pili na tatu pamoja na Katika Mhimili wa Bunge . Ambapo Katika Nafasi ya Umakamu wa Rais Imeweza Kumtoa na Kulipatia Taifa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mbeya hali ni tete baada ya kuanza utekelezaji wa agizo la mkuu wa mkoa

    Nimeona mitandaoni na nikajaribu kuwapigia jamaa zangu waliopo mbeya ni kwamba kuna taharuki kubwa na kuna maandamano na migomo inafukuta kwa nguvu sana chini kwa chini kufuatia agizo la mkuu wa mkoa kuhusu hamisha hamisha ya machinga bajaji na bodaboda hasa maeneo ya mwanjelwa.
  3. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Vijana na Uchaguzi wa 2030: Funzo kutoka kwa Jihan

    Great Thinkers, Ushindi wa Jihan Dimack katika Miss Grand International 2026 nchini Thailand umetupa somo kubwa kuhusu nguvu ya umoja. Watanzania waliungana kumhamasishia kura na kumuunga mkono kupitia mitandao na mikusanyiko mbalimbali. Kwangu, namna vijana walivyojitoa katika kampeni hiyo...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya mkuu wa mkoa Dar iboreshwe

    Salute. Naomba niende kwenye mada binafsi naishi Dar es salaam kiukweli OFISI ya mkuu wa mkoa Dar ningependekeza serikali ijaribu kuboreshea iendane na hadhi ya Jiji kiukweli ukipita pale ni aibu majengo ya kizamani ukiangalie na vile vigae hadhi inapungua ningeshauri mfanye jengo lenye...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, Mchengerwa anaandaliwa nafasi ya juu CCM? Na ndio mrithi wa Balozi Migiro kwenye ukatibu Mkuu wa CCM?

    Nimeanza kutafakari kwa jicho la tatu la yajayo katika Siasa za CCM, na kuishia kujiuliza swali hilo juu. Hapo ndio namuona kiongozi mwenye kukemea rushwa na ufisadi ndani ya CCM kwa nafasi ya mtendaji Mkuu wa Chama. Kwa jicho la tatu unaona kauli ya Mchengerwa imekuja wakati sahihi ambapo...
  6. Slim

    JamiiForums Tanzania Pongezi nyingi kwa Prof. Eliamani Sedoyeka kwa Mapinduzi ya Maendeleo (IAA Mkuu WA Chuo)

    Leo natamani kutoa pongezi zangu za dhati kwa kaka yangu, Prof. Eliamani Sedoyeka, kwa kazi kubwa na ya mfano anayoifanya kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu. Kumbukumbu zangu zinarudi nyuma mbali sana, wakati ninaingia Kidato cha Kwanza katika shule ya ufundi ya Moshi Technical School (Moshi...
  7. Kilawo

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Tunduru ilitakiwa asiwepo Ofisini

    Kwa Mambo yanayo endelea Tunduru kuhusu migogoro na mauji mengi ya Raia ilitakiwa Mkuu wa wilaya Tunduru atumbuliwe maana ameshindwa kusimamia usalama wa wilaya ya Tunduru yeye kama mwenyekiti wa kamati ya usalama..
  8. M

    JamiiForums Tanzania Historia mbadala: Hivi ingekuwaje kama UKAWA wangeshinda uchaguzi mkuu wa 2015

    Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ulikuwa na ushindani sana mgombea wa CCM alipata kura milioni 6.8 na ule wa ukawa alipata milioni 6. Hivi vipi kama kwenye ule uchaguzi UKAWA wangeshinda urais na kupata majimbo mengi zaidi leo Tanzania ingekuwaje Kwenye nyanja za 1. Miundombinu 2. Demokrasia 3...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live From Maktaba Kuu ya Taifa: Press Conference ya Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba ya Taifa, TLSB, Dr Mboni Ruzegea Akizungumzua Kongamano la 4 la Maktaba

    Wanabodi Niko hapa Maktaba Kuu ya Taifa, kuwaletea live press conference ya Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba, Dr Mboni Ruzegea. Karibu https://www.youtube.com/live/2hjHsBrQJNo?si=ZjKG4sWP3KUGRlhg Mzee Pasco
  10. B

    JamiiForums Tanzania USHAURI WA KISHERIA: KWA NINI MKUU WA GEREZA LA UKONGA ANAPASWA KUFUNGULIWA MASHTAKA KWA KUVUNJA KATIBA NA KANUNI ZA NCHI

    Leo, Oktoba 16, 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi wa kihistoria katika Shauri la Kikatiba Na. 7300/2026 lililofunguliwa na Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu (Kulwa Maduhu, Nashon Nkung'u, na Paul Kisabo). Mahakama imebainisha wazi kuwa vitendo vya uongozi na maafisa wa...
  11. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Looh! Eti naye Mzee Kimiti ni tisho la usalama wa Waziri Mkuu na Makamu!

    Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa...
  12. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Je! Zile hela za Donation za kulisha mkutano mkuu wa chadema bado zipo? Maana naona CHADEMA Kuna UTAPELI mwingine wanataka waucheze kupitia Pambalu

    Watanzania shitukeni Kuna UTAPELI mkubwa sana ndani ya chadema, mpaka sasa mkutano mkuu haujafanyika ili hali watu walishashangishwa Hela nyng ambazo inasemekana zimeliwa na viongozi wa chadema. kama hela hazijaliwa basi viongozi wa chadema wajitokeze waseme zipo wapi na zipo sh ngapi mpaka...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt. Nchemba Bagamoyo

    𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝗛𝗮𝗹𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗮𝗴𝗮𝗺𝗼𝘆𝗼 Kunogile Ukae Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 🕰️ 4:00 Asubuhi. 📆 Ijumaa - 16 Oktoba, 2026. Ratiba ya Ziara 1. Kutembelea eneo la uwekezaji TISEZA. 2. Kukagua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. 3. Kuzungumza...
  14. H

    JamiiForums Tanzania OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 📆 14 Oktoba, 2026.

    OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 📆 14 Oktoba, 2026.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya J. Nyerere

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, iliyofanyika leo Oktoba 14, 2026 Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania, Sumbawanga, Rukwa. Katika Ibada hiyo...
  16. H

    JamiiForums Tanzania 𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝗛𝗮𝗹𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗮𝗴𝗮𝗺𝗼𝘆𝗼 Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano w

    𝗞𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝗛𝗮𝗹𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗮𝗴𝗮𝗺𝗼𝘆𝗼 Kunogile Ukae Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 🕰️ 4:00 Asubuhi. 📆 Ijumaa - 16 Oktoba, 2026. Ratiba ya Ziara 1. Kutembelea eneo la uwekezaji TISEZA. 2. Kukagua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. 3. Kuzungumza...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Nchemba Rukwa Kilele cha Mwenge

    Waziri Mkuu Dkt MWIGULU LAMECK NCHEMBA akiwa ameambatana na Mke wake, NEEMA MWIGULU NCHEMBA wakiwa wanawasili katika Kiwanja cha NELSON MANDELA Mkoa wa Rukwa, kwa ajili ya kushiriki maadhimisho ya Kilele cha Mwenge na Kumbukizi ya Miaka 27 ya Baba wa Taifa, Mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE.
  18. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Bashite ananikumbusha Waziri Mkuu katili wa Ethiopia, Mengistu Haile Mariam

    Daudi albert Bashite hana akili za darasani ila anajua njia za kufikia kwenye mammlaka ni watu ambao mnashtuka wameshika Urais Mengistu Haile Mariam ni moja ya marais makatili sana kuwahi kutokea east afrika hata wakina idd amini na mobutu hawamfikii mengistu haile mariam hakua na akili za...
  19. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Huyu Chalamila, Mkuu wa Mkoa DSM, akapimwe!

    Mapepo si mapepo! Siyo bure, akapimwe!
  20. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maurice Ogeta - Mlinzi Wa Aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga Afunguka Mazito Kuhusu Maisha Yake na Baba

    Karibu mwaka mmoja baada ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, Maurice Ogeta, mlinzi na msaidizi wake wa miaka 29, amefunguka kuhusu matukio mazito aliyodai kuyashuhudia akiwa pembeni ya mwanasiasa huyo, kuanzia tukio aliloamini lingemgharimu maisha Raila hadi kutekwa kwake mwenyewe...
Back
Top Bottom